Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

Imagine Taifa lina agenda kubwa na ngumu za kujadili halafu takataka inachomoza pua yake na kuongea upupu kama huu!Nikisema kuwa Tanzania ina laana kuna watu huwa hawanielewi lakini hizi ndiyo shahidi zenyewe.
Taifa kama taifa "kwa umoja wetu twendeni kwa Mwamposa tukaombewe".

Mara sijui Babu tale anamtangza Zari kuwa balozi, mara sijui nin, yaani hi nchi inahitaji kukanyaga mafuta ya upako.
 
Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamisi, bungeni Dodoma, amemwomba Rais wa Tanzania, Suluhu Samia , kuitisha kikao maalum cha wanaume pekee ili kuwawezesha kujadilia masuala mbalimbali yanayowahusu. ā€œtunaomba Rais aite mkutano wa wanaume tu.ā€

Nini Maoni yako?
Mkutano wa wanaume unaoongozwa na rais mwanamke! Wanaume gani hao?
 
Leo ndo nimegundua jinsia yako!
Ila kwa hii reply yako dada unaelekea elekea kujiunga na ccm Wangari, kemea hilo pepo, ccm pekee ndo huwa na roho ya aina hii
Yaani mimi toka najitambua..12yrs had leo sijawah ipenda ccm mazee...had nilikua naulizwa why huipendi sina jibu! Nije niipende uzeeni...wee
 
Naona wakati umefika sasa tukodishe wabunge na speaker toka nje, bora tuwalipe wao hizo posho wanazolipana hawa vichaa wetu.
 
Huko ndiko kudemka kwenyewe!! Wanaume wabunge wakiongozwa na supika wana jambo lao na mama!!
 
Back
Top Bottom