Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

Kuna utani gani Kwenye Mambo ya Kimsingi, Hakuwa anatania Maana lile ni Bunge sio Kijiwe cha Kahawa. Huyu Speaker wetu Hajui hizo dakika alizompatia huyu Mbuge na yeye Kuongezea Upupu ni Matumizi Mabaya ya Kodi zetu. Tunae speaker wa ajabu sana.. Daah!!!!
Basi itoshe kusema huo ndio muelekeo wa taifa letu, mwenye macho haambiwi tazama.
 
Agenda zetu ni zipi ?

1- Wanaume tunanyasika sana. Mke akiwa na kipato, chake cheke cha mume ndio cha wote...
Kama unanyanyasika si ukaanzishe nyumba nyingine, au wewe ni marioo?
 
Kama unanyanyasika si ukaanzishe nyumba nyingine, au wewe ni marioo?
Unatelekezwa wakati ambao nguvu zimekuishia.

Wakati huo watoto na mama yao jambo lao moja.

Ukimpigia simu mwanao kumuomba elfu 10, kabla hajakupa anampigia simu mama yake.

Mama yake anamwambia, unakitumia pesa hicho kizee za kazi gani. Achana nacho.

Wanaume tunateseka sana ndio maana maisha yetu mafupi.

Huuuuuuu😭

Wanaume dunia siyo yetu.
 
Leo ndo nimegundua jinsia yako!
Ila kwa hii reply yako dada unaelekea elekea kujiunga na ccm Wangari, kemea hilo pepo, ccm pekee ndo huwa na roho ya aina hii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Spika vipi? Mwanamke amekutana na wanawake wenzake, mlishachelewa! Mlikuwa na nafasi ya kuomba tangu awamu ya kwanza hadi awamu ya tano kumwomba mwanaume mwenzenu (rais wakati huo) kukutana na wanaume wenzake! Hamkuona kama kuna haja hiyo, sasa mnalazimisha mama akutane na mababa!! Kisa eti kwa kuwa mama amekutana na wamama wenzake!! Huo ni wivu sampuli mpya, wivu wa kiume!!!
Labda na yeye anaingia MP
 
Kuna utani gani Kwenye Mambo ya Kimsingi, Hakuwa anatania Maana lile ni Bunge sio Kijiwe cha Kahawa. Huyu Speaker wetu Hajui hizo dakika alizompatia huyu Mbuge na yeye Kuongezea Upupu ni Matumizi Mabaya ya Kodi zetu. Tunae speaker wa ajabu sana.. Daah!!!!
Ile ni takakata tupu
 
Back
Top Bottom