Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

Basi itoshe kusema huo ndio muelekeo wa taifa letu, mwenye macho haambiwi tazama.
 
Agenda zetu ni zipi ?

1- Wanaume tunanyasika sana. Mke akiwa na kipato, chake cheke cha mume ndio cha wote...
Kama unanyanyasika si ukaanzishe nyumba nyingine, au wewe ni marioo?
 
Kama unanyanyasika si ukaanzishe nyumba nyingine, au wewe ni marioo?
Unatelekezwa wakati ambao nguvu zimekuishia.

Wakati huo watoto na mama yao jambo lao moja.

Ukimpigia simu mwanao kumuomba elfu 10, kabla hajakupa anampigia simu mama yake.

Mama yake anamwambia, unakitumia pesa hicho kizee za kazi gani. Achana nacho.

Wanaume tunateseka sana ndio maana maisha yetu mafupi.

Huuuuuuu😭

Wanaume dunia siyo yetu.
 
Leo ndo nimegundua jinsia yako!
Ila kwa hii reply yako dada unaelekea elekea kujiunga na ccm Wangari, kemea hilo pepo, ccm pekee ndo huwa na roho ya aina hii
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Labda na yeye anaingia MP
 
Ile ni takakata tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…