johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Endelea kukariri!DAB hawezi pita nafasi yoyote inayohitaji kupigiwa kura au taaluma
Makonda na Gwajima wote ni matapeli tu. Hawana lolotemakonda alishapewa laana ya kufutwa kwenye siasa na gwajima, so hawezi kurudishwa kama unavyotaka kutuaminisha, na akirudishwa masisiemu yajiandae kulipoteza jimbo
Mnahangaika sana kumtetea huyo bwana, kama mlikuwa mnakula kwa mgongo wake basi sasa ni zamu ya kuliwa migongo yenu.
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dr Tulia Ackson anautamani uspika.
Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dr Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.
Niwatakie alhamisi yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
KabsaDAB hawezi pita nafasi yoyote inayohitaji kupigiwa kura au taaluma
Nimesema hapo Ufipa mshangilie kwa kiasi kama CCM!Wewe mwenyewe umeshabikia sana anguko lake, au umeshasahau mara hii? Ndiyo shinda ya watu waongo, ukiwa mwongo jitahudi sana kuwa na kumbukumbu
Hahahaaaa...... Bwashee usikariri!Njaa mbaya sana. Huyo mtoa mada ni mpambe maarufu wa Bashite hapa JF
KimaTunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika.
Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dr Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.
Niwatakie Alhamisi yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!