Pole mkuu naona bado unateseka sana na anguko la Bashite! Lakini kufikilia Bashite kuwa spika wa bunge ni kuchosha kichwa chako bure! Taaluma yake kimo cha spika ni majimarefu! Pia kuhangaika kuwasema watu wa mtaa wa ufipa ni kujipiga mgongoni kufukuza nzi wakati nzi hao wanakuuma mbele ya kifua! Ukifuatilia hata kauli za katibu mkuu wa CCM Dk Bashiru mara kadhaa alionekana kukinzana na kauli za Makonda na sio Bashiru tu wapo wengi ndani ya CCM hawampendi mwana wa Mungu huyu, ndio maana pamoja na kuwahi kuwa DC wa kinondoni lakini alilikimbia jimbo la kinondoni akavuka ng'ambo kule Kigamboni akizania hawapo, wamemtia adabu! Sasa zile kauli za mkoa wangu......watu wangu.......Huku akiwatumia polisi kama mbwa wa kuwafuga nyumbani kwake sasa mwisho!