Spika wa Bunge la JMT siyo lazima awe Mbunge. Mnaoshangilia anguko la Makonda angalieni furaha ya nyani isije kuishia jangwani

Ishu si kushindwa, everybody knows kuwa Jiwe atamteua hata kuwa PM! Lakini message has been sent kuwa anachukiwa na UMMA wa watanzania kwa matendo yake aliyoyafanya/maneno yake etc etc. Hili ndilo la Muhimu! Vyeo atapata sana tena sana enzi ya Jiwe. LKN akija mwingine he will be held accountable on various criminal offenses! Nadhani umenielewa. It is no wonder labda Makonda ni wewe! (Mods msinfungie , I am just speculating, na speculation siyo kosa)
Bwashee usiogope mimi siyo Paul ni Yohana!
 
Spika wa bunge ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na si vinginevyo. Ila naibu Spika sio lazima awe wa kuchaguliwa

Wewe utakuwa siyo mtanzania......niishie hapo!

Kwa mujibu wa Katiba ya JMT inasemaje?: 84.-(1) Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na Wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au wenye sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje ya Bunge.

8.-(9) Mtu yeyote ambaye si Mbunge atakayechaguliwa kuwa Spika, atatakiwa, kabla ya kuanza kutekeleza madaraka yake, kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu.
 
Spika wa bunge ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na si vinginevyo. Ila naibu Spika sio lazima awe wa kuchaguliwa
Mkuu, si hivyo. Ila naibu ni lazima awe Mbunge.
Sina shaka, unakumbuka Sam Sitta alipotaka kugombea kipindi cha pili, hakuwa Mbunge. Pia, Mabere Marando alipogombea hakuwa Mbunge.
 
Ndugai akinyimwa uspika itakuwaitakuwa raha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT inasemaje?: 84.-(1) Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na Wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au wenye sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje ya Bunge.

8.-(9) Mtu yeyote ambaye si Mbunge atakayechaguliwa kuwa Spika, atatakiwa, kabla ya kuanza kutekeleza madaraka yake, kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu.
Ahsante mkuu!
 
Hata Kama akichaguliwa kuwa Rais
Watu wanachoongelea hapa Ni ujumbe alioupata kutoka kwa watz wachache waliowakilisha maelfu ya watz kwamba hafai kuwa chaguo lao period.
Na sauti ya watu Ni sauti ya Mungu
 
Ishu si kushindwa, everybody knows kuwa Jiwe atamteua hata kuwa PM! Lakini message has been sent kuwa anachukiwa na UMMA wa watanzania kwa matendo yake aliyoyafanya/maneno yake etc etc. Hili ndilo la Muhimu! Vyeo atapata sana tena sana enzi ya Jiwe. LKN akija mwingine he will be held accountable on various criminal offenses! Nadhani umenielewa. It is no wonder labda Makonda ni wewe! (Mods msinfungie , I am just speculating, na speculation siyo kosa)
BARABARA kabisa no need for (any) apologies.
 
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.

Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.

So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.

Niwatakie Alhamisi yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
We jamaa unaiaibisha JF spika wa bunge ni lazima atokane miongoni mwa wabunge waliochaguliwa kutoka katika moja ya majimbo ya uchaguzi
 
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.

Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.

So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.

Niwatakie Alhamisi yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe hazikutoshi walimkataa ni wana ccm na ndio wenye furaha sasa chadema wanahusikaje
 
Nini kupata uspika, hata akiwa waziri mkuu poa tu, tunacho shangilia na kufurahia ni kitendo cha wana dsm kumkataa hadharani kuwa hatufai.

Na ujumbe huu umemfikia mteuzi wake kuwa tulikuwa tunaongozwa na mtu tusiye mtaka.

Back
Top Bottom