Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Nakuunga mkonoMakonda alishapewa laana ya kufutwa kwenye siasa na gwajima, so hawezi kurudishwa kama unavyotaka kutuaminisha, na akirudishwa masisiemu yajiandae kulipoteza jimbo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkonoMakonda alishapewa laana ya kufutwa kwenye siasa na gwajima, so hawezi kurudishwa kama unavyotaka kutuaminisha, na akirudishwa masisiemu yajiandae kulipoteza jimbo.
Huyu Daudi Albert Bashite ana nini Special kuliko Wengine walioshindwa Kura za Maoni? Waliopiga Kura hawakuona ?Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.
Niwatakie Alhamisi yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Nilikuona pale Mtambani unazima moto usije ukafika Ufipa!Mnabakia kukomalia na Kutetea ugali wa wengine, wa kwenu hamuangali au mzee una faidika
Ova
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.
Niwatakie Alhamisi yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Alikuwa hakubaliki na ya Wabunge wa Bunge lililopita ambao walikuwa wafanyabiashara ya unga, Makonda alikuwa kichomi kwao. Makonda anakubalika sana kwa Wapiga kura kuliko huko CCMIngekuwa spika anateuliwa na rais ok, lakini anapigiwa kura na bunge najua bashite hakubaliki kati ya wabunge.
Hahahaaaa..... hahahaaaa......!Nyie mnaowaza kuwa Makonda ndiye spika ajaye mnafaa kutangulia milembe... Ukitaka kuamini kuwa hamna kitu kichwani subiri muda ufike
Kanuni za Bunge zimebadilishwa?.. Last time I checked moja ya takwa muhimu la kuwa spika ni kuwa na shahada ya Sheria angalau moja kutoka Chuo kinachotambuliwa na TCUTunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.
Niwatakie Alhamisi yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Mnawapigia debe, mnawashobokea watu wapate ugali au mzee Kuna pasu lakoNilikuona pale Mtambani unazima moto usije ukafika Ufipa!
Kama kilichofanyika kule kwa Mdee (KAWE)Sema tu anguko la Bashite linawaumiza. Lemme tell you something. Laiti Jiwe angetaka Bashite ashinde Kigamboni angemsaidia kushinda kwa kuagiza "wachawi" kutoka Kitengo "kufanya vitu vyao."
Sasa kama hakumsapoti kwenye nafasi ndogo tu ya ubunge atamsapoti kwenye Uspika? Halafu huhitaji sana kuelewa siasa za Tanzania kubaini jinsi mahusiano kati ya Bashite na "wanaompigia kura spika" yalivyo.
Poleni na maumivu ya anguko hilo
Siyo swala la kanuni za bunge bali ni jambo la kikatiba.Kanuni za Bunge zimebadilishwa?.. Last time I checked moja ya takwa muhimu la kuwa spika ni kuwa na shahada ya Sheria angalau moja kutoka Chuo kinachotambuliwa na TCU
BINAFSI NITAHAMA NCHI.Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.
Niwatakie Alhamisi yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
wala hao sio wafanya maamuzi, hayo ni maoni tu, wafanya maamuzi ni nani apeperushe bendera ni wengine kabisaHizo nguvu hazikuwepo Kigamboni.
NAWASHANGAA SANA HAWA CCM, SASA KWANI CHADEMA NDIO WALIOPIGA ZILE KURA? UJINGA MWINGINE NI WA KIWANGO CHA SGRPole sana, hizi nguvu unazotumia kujifariji ungezitumia Kigamboni kumkampenia Makonda leo usingehangaika hivi.
Halafu mbona mnaihusisha Chadema na kuanguka kwake, waliomkataa Makonda ni wanaCCM wenzake.
NASIKIA SASA ANAJISHUGHULISHA NA KILIMO CHA MBOGAMBOGAPole mkuu naona bado unateseka sana na anguko la Bashite! Lakini kufikilia Bashite kuwa spika wa bunge ni kuchosha kichwa chako bure! Taaluma yake kimo cha spika ni majimarefu! Pia kuhangaika kuwasema watu wa mtaa wa ufipa ni kujipiga mgongoni kufukuza nzi wakati nzi hao wanakuuma mbele ya kifua! Ukifuatilia hata kauli za katibu mkuu wa CCM Dk Bashiru mara kadhaa alionekana kukinzana na kauli za Makonda na sio Bashiru tu wapo wengi ndani ya CCM hawampendi mwana wa Mungu huyu, ndio maana pamoja na kuwahi kuwa DC wa kinondoni lakini alilikimbia jimbo la kinondoni akavuka ng'ambo kule Kigamboni akizania hawapo, wamemtia adabu! Sasa zile kauli za mkoa wangu......watu wangu.......Huku akiwatumia polisi kama mbwa wa kuwafuga nyumbani kwake sasa mwisho!
AKIRUDI ATAKUWA AMERUDISHWA NA MZEE WAKE ILA SISI HATUMTAKI HUKU KIGAMBONI NA UJUMBE TUMETUMA.Hata kama akirudi na tunajua kwamba pengine atarudi ila tumefurahi tuu mkuu alivyokosa.. hahhahahaa ni maisha tuu mkuu wala usipanic