johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Bwashee usiogope mimi siyo Paul ni Yohana!Ishu si kushindwa, everybody knows kuwa Jiwe atamteua hata kuwa PM! Lakini message has been sent kuwa anachukiwa na UMMA wa watanzania kwa matendo yake aliyoyafanya/maneno yake etc etc. Hili ndilo la Muhimu! Vyeo atapata sana tena sana enzi ya Jiwe. LKN akija mwingine he will be held accountable on various criminal offenses! Nadhani umenielewa. It is no wonder labda Makonda ni wewe! (Mods msinfungie , I am just speculating, na speculation siyo kosa)
Wewe utakuwa siyo mtanzania......niishie hapo!Spika wa bunge ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na si vinginevyo. Ila naibu Spika sio lazima awe wa kuchaguliwa
Mh, JFlolote linawezekana kimajina, hata mimi naweza kuwa Jiwe ndiye ninaytumia ID hii!Bwashee usiogope mimi siyo Paul ni Yohana!
Spika wa bunge ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na si vinginevyo. Ila naibu Spika sio lazima awe wa kuchaguliwa
Wewe utakuwa siyo mtanzania......niishie hapo!
Mkuu, si hivyo. Ila naibu ni lazima awe Mbunge.Spika wa bunge ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na si vinginevyo. Ila naibu Spika sio lazima awe wa kuchaguliwa
Hizo nguvu hazikuwepo Kigamboni.Hujui nguvu ya maelekezo kutoka juu ww
Kwani Gwajima ana mamlaka gani? Yy mwenywe c kala nyembeMakonda alishapewa laana ya kufutwa kwenye siasa na gwajima, so hawezi kurudishwa kama unavyotaka kutuaminisha, na akirudishwa masisiemu yajiandae kulipoteza jimbo.
Ahsante mkuu!Kwa mujibu wa Katiba ya JMT inasemaje?: 84.-(1) Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na Wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au wenye sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje ya Bunge.
8.-(9) Mtu yeyote ambaye si Mbunge atakayechaguliwa kuwa Spika, atatakiwa, kabla ya kuanza kutekeleza madaraka yake, kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu.
BARABARA kabisa no need for (any) apologies.Ishu si kushindwa, everybody knows kuwa Jiwe atamteua hata kuwa PM! Lakini message has been sent kuwa anachukiwa na UMMA wa watanzania kwa matendo yake aliyoyafanya/maneno yake etc etc. Hili ndilo la Muhimu! Vyeo atapata sana tena sana enzi ya Jiwe. LKN akija mwingine he will be held accountable on various criminal offenses! Nadhani umenielewa. It is no wonder labda Makonda ni wewe! (Mods msinfungie , I am just speculating, na speculation siyo kosa)
We jamaa unaiaibisha JF spika wa bunge ni lazima atokane miongoni mwa wabunge waliochaguliwa kutoka katika moja ya majimbo ya uchaguziTunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.
Niwatakie Alhamisi yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe hazikutoshi walimkataa ni wana ccm na ndio wenye furaha sasa chadema wanahusikajeTunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.
Niwatakie Alhamisi yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Hii post imejibu maswali yote.DAB hawezi pita nafasi yoyote inayohitaji kupigiwa kura au taaluma
Zinanitosha bwashee!Wewe hazikutoshi walimkataa ni wana ccm na ndio wenye furaha sasa chadema wanahusikaje
Eti kapewa laana na nani...?? Yule Gwajiboy mkata viuno?Makonda alishapewa laana ya kufutwa kwenye siasa na gwajima, so hawezi kurudishwa kama unavyotaka kutuaminisha, na akirudishwa masisiemu yajiandae kulipoteza jimbo.
Wewe ni mbwiga wa kiwango cha SGR.We jamaa unaiaibisha JF spika wa bunge ni lazima atokane miongoni mwa wabunge waliochaguliwa kutoka katika moja ya majimbo ya uchaguzi
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.
Niwatakie Alhamisi yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Gwajima naye ana laana ya kumtukana Cardinal Pengo
View attachment 1514557