Spika wa Bunge la JMT siyo lazima awe Mbunge. Mnaoshangilia anguko la Makonda angalieni furaha ya nyani isije kuishia jangwani

Mnabakia kukomalia na Kutetea ugali wa wengine, wa kwenu hamuangali au mzee una faidika

Ova
 
Huyu Daudi Albert Bashite ana nini Special kuliko Wengine walioshindwa Kura za Maoni? Waliopiga Kura hawakuona ?
 


Yaani ikifikia wakati tuna spika ambaye amewekewa vikwazo vya kusafiri kwasababu ya kutokuheshimu haki za binadamu, mtu ambaye hana heshima ya kumsikiliza Raisi, mtu mwenye tamaa, mtu ambaye kavumishia watu kesi za madawa, mtu ambaye katumia vyeti vya watu kusoma kama mtu huyu ndiyo spika itaonyesha Watanzania tumefikia wapi!!!!
 
Nyie mnaowaza kuwa Makonda ndiye spika ajaye mnafaa kutangulia milembe... Ukitaka kuamini kuwa hamna kitu kichwani subiri muda ufike
 
Ingekuwa spika anateuliwa na rais ok, lakini anapigiwa kura na bunge najua bashite hakubaliki kati ya wabunge.
Alikuwa hakubaliki na ya Wabunge wa Bunge lililopita ambao walikuwa wafanyabiashara ya unga, Makonda alikuwa kichomi kwao. Makonda anakubalika sana kwa Wapiga kura kuliko huko CCM
 
Kanuni za Bunge zimebadilishwa?.. Last time I checked moja ya takwa muhimu la kuwa spika ni kuwa na shahada ya Sheria angalau moja kutoka Chuo kinachotambuliwa na TCU
 
Kama kilichofanyika kule kwa Mdee (KAWE)
 
Kanuni za Bunge zimebadilishwa?.. Last time I checked moja ya takwa muhimu la kuwa spika ni kuwa na shahada ya Sheria angalau moja kutoka Chuo kinachotambuliwa na TCU
Siyo swala la kanuni za bunge bali ni jambo la kikatiba.

Marando alishawahi kugombea uspika siku nyingi tu na hakuwa mbunge!
 
Bashite naona unajipigia debe la Uspika.

Hukubaliki hata kwa wana CCM wenzako.
 
BINAFSI NITAHAMA NCHI.
 
Pole sana, hizi nguvu unazotumia kujifariji ungezitumia Kigamboni kumkampenia Makonda leo usingehangaika hivi.

Halafu mbona mnaihusisha Chadema na kuanguka kwake, waliomkataa Makonda ni wanaCCM wenzake.
NAWASHANGAA SANA HAWA CCM, SASA KWANI CHADEMA NDIO WALIOPIGA ZILE KURA? UJINGA MWINGINE NI WA KIWANGO CHA SGR
 
NASIKIA SASA ANAJISHUGHULISHA NA KILIMO CHA MBOGAMBOGA
 
Hata kama akirudi na tunajua kwamba pengine atarudi ila tumefurahi tuu mkuu alivyokosa.. hahhahahaa ni maisha tuu mkuu wala usipanic
AKIRUDI ATAKUWA AMERUDISHWA NA MZEE WAKE ILA SISI HATUMTAKI HUKU KIGAMBONI NA UJUMBE TUMETUMA.
 
Swala ni kwamba makonda kule kujimwambafai sana kumefanya makundi mbalimbali kufurahi anguko lake, si ndani ya ccm,upinzani wala wananchi wakawaida....mbona watu hawajashangilia mwanri kuanguka wala hawajachukia mkuu wa mkoa ole sendeka kushinda.kuna mengi ya kujiuliza na kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…