Spika wa Bunge la JMT siyo lazima awe Mbunge. Mnaoshangilia anguko la Makonda angalieni furaha ya nyani isije kuishia jangwani

Kama wajumbe STD 7 wamemkataa sembuse bunge lijalo lililosheheni wasomi na wapinzani Akina mdee, haliwezi kuchagua spika mhalifu, ambaye Ana travell ban ya nchi zote za commonwealth Eu na Usa
 
Nina wasiwasi na ufahamu wako katika kupambanua na kuchanganua mambo...au Tatizo ni elimu yako ndugu
 
Huenda alikimbia kawe kumkwepa sitta Yule ambaye alimsababishia tezidume baba yake
 
NASIKIA SASA ANAJISHUGHULISHA NA KILIMO CHA MBOGAMBOGA
Na bado, kwani kile kiwanda cha kushusha watu kutoka kuishi kama malaika na kuanza kuishi kama mashetani walifikili kinawahusu wapinzani pekeao eti?
 
Atakuwa anakomoa Chadema au wananchi?
 
Porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…