Uchaguzi 2020 Spika wa Bunge lililopita, Job Ndugai amfananisha Tundu Lissu(CHADEMA) na mnyama wa porini

Ndugai awe makini asije akapiga mtu na gongo kichwani tena na kumzimisha kwenye kipindi hiki cha kampeni!
 
Haya ni maneno aliyotamka leo ndugu Job Ndugai
View attachment 1567985
Kipindi hiki unatakiwa uvumilivu wa hali ya juu hasa kwa chama tawala na serikali kwa ujumla kwani shetani anaweza akaja kutuvuruga .Na shetani huja kwa njia nyingi na saa nyingine anawajia kama binaadam na sura halisi ya kibnaadam kabisa kama alivyokuja Tundu Lissu.
 
Sasa Lissu amemtukana wapi huyo mama? Huyu mzee anachanganyikiwa?
 
Nausoma mchezo kunatimu imezidiwa wanajipanga kutembeza buti hiyo ndiyo njia pekekee wamebaki nayo
 
Huyu kiumbe, tangu niliposikia kuwa anafurahia kuoigwa risasi TL, nikajua huyu siyo binadamu bali ni shetani katika umbo la mwanadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wa kukoma kumtukana mama ni Magufuli au Lissu?
 
Rais Magufuli anatakiwa kujirekebisha sana. Ni mtu mzima, asiropoke kila neno linalomjia...anajitukanisha mwenyewe mara nyingine.
 
Hutu bana halafu likaagiza eti akifa apelekwe moja kwa moja kwao Singida asipelekwe Bungeni na azikwe haraka , kwa kudra za mwenyezi Mungu atakufa yeye atamwacha hai .
 
Kigogo baba tuendelee tu huko Twitter. Mataga wanalalama tu hakuna sera. Wanamjibu Kigogo badala ya kutoa sera zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…