Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Ndugai awe makini asije akapiga mtu na gongo kichwani tena na kumzimisha kwenye kipindi hiki cha kampeni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi hiki unatakiwa uvumilivu wa hali ya juu hasa kwa chama tawala na serikali kwa ujumla kwani shetani anaweza akaja kutuvuruga .Na shetani huja kwa njia nyingi na saa nyingine anawajia kama binaadam na sura halisi ya kibnaadam kabisa kama alivyokuja Tundu Lissu.Haya ni maneno aliyotamka leo ndugu Job Ndugai
View attachment 1567985
kwani Ndugai amepona ugonjwa aliokuwa anaumwa ? Nasubiri jibu ili nicomment kwenye uzi huuHaya ni maneno aliyotamka leo ndugu Job Ndugai
View attachment 1567985
Haya ni maneno aliyotamka leo ndugu Job Ndugai
View attachment 1567985
kwani Ndugai amepona ugonjwa aliokuwa anaumwa ? Nasubiri jibu ili nicomment kwenye uzi huu
Kesho tu wala si mbaliNgoja lisu aje kuleta gharama za matibabu yake wakati yuko india
Uko dunia ya ngapi?Naona ameanza kupandwa na uwenda wazimu..yeye afanye siasa mana bungeni harudi mwaka huu..
#MaendeleoHayanaChama
Hutu bana halafu likaagiza eti akifa apelekwe moja kwa moja kwao Singida asipelekwe Bungeni na azikwe haraka , kwa kudra za mwenyezi Mungu atakufa yeye atamwacha hai .Lissu naye ana damu eti kwa sababu ni mtihani mkubwa sana ktk maisha ya binadamu kujaribu kumstahi mtu aliyejaribu kukuua.....
Magufuli ndiye aliyeamuru Tundu Lissu auwawe kinyama kwa risasi zaidi ya 16 lakini adhma yake ikawa blocked na Mungu, wakashindwa....
Lakini badala yake wakamsababishia ndugu huyu mateso na maumivu makubwa ya yeye, ndugu na marafiki ikiwemo kumpa ukilema wa maisha...!!
Ktk mazingira haya Tundu Lissu ni mwanaume hasa na anamstahi sana Magufuli kwa kitendo chake hiki kibaya na cha kinyama kabisa...!!!
Huyu naye yupo kwenye list ya wauaji lazima tuwaadhibu.Wataongea lugha zote!
Kuna wanyama wabaya kama wale walioagiza Lissu apigwe risasi na wale waliomvua ubunge?
Kumbe makengeza ndiyo yaliwafanya wamuone kama mnyama na kusababisha kumuwinda kwa risasi!Haya ni maneno aliyotamka leo ndugu Job Ndugai
View attachment 1567985
Wote hutumia maneno makali, ingawa huko upande wa pili wakishindwa kuyavumilia hutumia risasi kabisa.Amemuheshimu sana alitakiwa aseme neno zito zaidi ya hili
Simba aliyempiga risasi 16/38 on Sept 7Anachezea sharubu za Simba!