Mataahira kama wewe ni shida sana kwa consistency movement on what goals the nation has to pursue...Spika Zungu amekwepa kubainisha kwamba kati ya 2015 na 2020 aliingia Jpm ambaye utawala wake ulihujumu mambo yote mazuri ambayo upinzani ulikuwa umeyavuna.
Kivipi Magufuli alianza kuhujumu wapinzani?Sioni kosa lake..
Ila tukubali ni Kikwete ndio alihusika na kuwapa nafasi wapinzani kipindi chake....
Na magu ndie alieanzisha huu ushenzi wa kuhujumu wapinzani....
Kaka habari za kuadimika humu jukwaaniNa ana amini alichaguliwa 2025! Viongozi wanapowafanya Wananchi mataahira wanaeneza chuki
Laiti kama si kiburi angejiuliza! ''Wananchi hawana hamasa ya kuchagua upinzani'' lakini wana hamasa ya kushangilia Wabunge wake wanapofikwa na mauti!
Ukiacha ushabiki mambo yalianza na kauli za magufuli kwa wakurugenzi kuwa munapewa gari posho na nyumba halafu unapata ujasiri wa kumtangaza mpinzani hiyo jeuri unatoa wapi?ukaja uchaguzi wa serikali ya mitaa 2019 nilishudia kwa macho yangu mtendaji hafungui ofisi wakati wagombea wa upinzani wamerudisha form zao kila akipigiwa simu hapokei....mwisho wa siku muda ukaisha wa kupokea form baadae mtendaji alikiri kuwa yale ni maagizo kutoka kwa mkurugenzi yeye Hana chakufanya.....na hiyo hali ilitokea sehemu nyingi nchini....ukaja uchaguzi wa 2020 mfano jimbo la mtwara vijijini ambalo mimi nilikuwa sehemu ya timu ya mgombea mmoja...siku ya kupiga Kura hakuna hata polisi alieingia kwenye chumba cha kuhesabu kura wala hakuna wakala wa upinzani alietishwa na polisi kama ilivyozoeleka.....Hawa ghasia akapiga simu kwa kamanda wa polisi kuwa ni kipi hiki kinafanyika akajibiwa haya ni maagizo mama kutoka juu...ndio maana hata kabla Kura hawajamaliza kuhesabu Hamida alijua ashashinda na hawa ghasia alijua ashapoteza....ila chanzo ni ugonvi wao binafsi yeye na magufuli,kiufupi magufuli ni mjinga mno kwenye mambo ya demokrasiaKivipi Magufuli alianza kuhujumu wapinzani?
Sina sababu ya kubishia kilichotokea huko Mtwara. Kumbuka hizo ni internal politics za CCM.Ukiacha ushabiki mambo yalianza na kauli za magufuli kwa wakurugenzi kuwa munapewa gari posho na nyumba halafu unapata ujasiri wa kumtangaza mpinzani hiyo jeuri unatoa wapi?ukaja uchaguzi wa serikali ya mitaa 2019 nilishudia kwa macho yangu mtendaji hafungui ofisi wakati wagombea wa upinzani wamerudisha form zao kila akipigiwa simu hapokei....mwisho wa siku muda ukaisha wa kupokea form baadae mtendaji alikiri kuwa yale ni maagizo kutoka kwa mkurugenzi yeye Hana chakufanya.....na hiyo hali ilitokea sehemu nyingi nchini....ukaja uchaguzi wa 2020 mfano jimbo la mtwara vijijini ambalo mimi nilikuwa sehemu ya timu ya mgombea mmoja...siku ya kupiga Kura hakuna hata polisi alieingia kwenye chumba cha kuhesabu kura wala hakuna wakala wa upinzani alietishwa na polisi kama ilivyozoeleka.....Hawa ghasia akapiga simu kwa kamanda wa polisi kuwa ni kipi hiki kinafanyika akajibiwa haya ni maagizo mama kutoka juu...ndio maana hata kabla Kura hawajamaliza kuhesabu Hamida alijua ashashinda na hawa ghasia alijua ashapoteza....ila chanzo ni ugonvi wao binafsi yeye na magufuli,kiufupi magufuli ni mjinga mno kwenye mambo ya demokrasia
Sijui unaeleza nini hapo kwasababu ninachokueleza ndicho kilitokea ndio maana Kila nwananchi alishangaa mno wema wa polisi ile siku kwenye lile jimbo kwasababu ni jambo lisilozoeleka....mambo ya kuenguliwa ndani ya chama hayamuhusu mwananchi hayo ni mambo ya wanachama wenyewe ambao bila shaka sio wengi kama ilivyo kwa wapiga Kura wa kwenye uchaguzi mkuu....Magufuli alikuwa mjinga mno ndio muasisi wa upumbavu huu tunaouona leoSina sababu ya kubishia kilichotokea huko Mtwara. Kumbuka hizo ni internal politics za CCM.
Magufuli angekuwa na mtu wake ‘logic’ ni achukue form tu; ata angekuwa wa kumi kwenye kura za maoni. Mkasi wanao wao kamati kuu.
Nachokubaliana na wengi makosa aliyofanya Magufuli 2020 kwenye uchaguzi wa ndani hi kwenye kukata.
Traditionally CCM ilikuwa inaheshimu matokeo ya kura za maoni; kuenguliwa ilikuwa ni kwa sababu za maadili au kuna mgombea wao (sio yeyote kawaida ni mtoto ambae wanamtengeneza kuwa kiongozi wa baadae).
Magufuli ndio wa kwanza kutoheshimu maamuzi ya kura za maoni kwa kutumia mkasi wa kamati kuu vibaya.
Sasa aina maana aliboronga kila sehemu ya uongozi wake.
If anything kuhusu uchaguzi wa ndani huyu bibi ndio kaharibu kweli kweli (hila kwenye ili lazima lawama ziende kwenye president).
Kaazi kweli kweli sijui nani atairudisha nchi na CCM kwenye mstari.
Sina sababu ya kubishia first hand account testimony, but it doesn’t add up.Sijui unaeleza nini hapo kwasababu ninachokueleza ndicho kilitokea ndio maana Kila nwananchi alishangaa mno wema wa polisi ile siku kwenye lile jimbo kwasababu ni jambo lisilozoeleka....mambo ya kuenguliwa ndani ya chama hayamuhusu mwananchi hayo ni mambo ya wanachama wenyewe ambao bila shaka sio wengi kama ilivyo kwa wapiga Kura wa kwenye uchaguzi mkuu....Magufuli alikuwa mjinga mno ndio muasisi wa upumbavu huu tunaouona leo
Mataahira kama wewe ni shida sana kwa consistency movement on what goals the nation has to pursue.
Stupid old man
Sina sababu ya kubishia first hand account testimony, but it doesn’t add up.
Magufuli alikuwa na nafasi ya kukata mtu yeyote na kumuweka wake kwenye mchujo wa kamati kuu.
Sasa kama Magufuli alikuwa natabia ya fujo za hovyo pamoja na uwezo wa nafasi yake; ilimradi akere watu au avuruge tu mambo. Hilo siwezi bishia I dint know him at personal level.
Kwanini Kikwete hakuweka misingi imara ambayo ingetumika hata baada ya yeye kuondoka? Kwa sababu hata huyo Magufuli analaumiwa pia kwa kutoweka misingi mizuri ya uongozi, kwa sababu hata yeye wakati yapo yaliyokuwa mazuri ila baada ya yeye kuondoka na hayo mambo yakaondoka.Sioni kosa lake..
Ila tukubali ni Kikwete ndio alihusika na kuwapa nafasi wapinzani kipindi chake....
Na magu ndie alieanzisha huu ushenzi wa kuhujumu wapinzani....
Kivipi Magufuli alianza kuhujumu wapinzani?
Magufuli ni tatizo kama unapenda kuongopewa...kwani nimesema uongo?
..Jpm ndio alianza utaratibu wa kufanya matukio dhidi ya wapinzani " overtly. "
..Na Maza naye akaachana na 4R akaiga udhalimu wa mtangulizi wake, na hatimaye kufanya makubwa zaidi OCT 29.
..nashangaa kwanini umenifurumushia mitusi.🤣