Vibabu navyo huwa ni viongo na vinaa sikuhizi duniani?Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu , amesema si sahihi kulinganisha Bunge la sasa na Mabunge yaliyopita kwa kuzingatia ukubwa wa mijadala pekee.
Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo Jumatano katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kuhusu Maadhimisho ya Miaka 100 ya Chimbuko la Bunge la Tanzania na masuala mbalimbali yanayolihusu Bunge, Spika Zungu amesema Bunge la mwaka 2015 lilikuwa na idadi kubwa ya wabunge wa upinzani, hali iliyochangia mijadala mikali iliyovutia wananchi wengi kufuatilia shughuli za Bunge.
Hata hivyo, ameeleza kuwa hali ya sasa imebadilika kutokana na mwelekeo wa kisiasa na namna wananchi wanavyofanya maamuzi yao wakati wa uchaguzi.
“Viongozi wa vyama vya siasa waliopo sasa ni wazuri, lakini bado sijaona hamasa kubwa kwa wananchi ya kuwachagua kwa wingi kuingia Bungeni katika kipindi hiki,” amesema.
| Hoja ya Spika Zungu (Hoteli ya Serena) | Ukweli wa Kisheria na Utekelezaji | Uhalisia wa Kipindi cha 2016–2020 |
|---|---|---|
| "Wananchi hawajawa na hamasa ya kuchagua upinzani kipindi hiki." | Wananchi walinyimwa haki ya kuchagua baada ya wagombea wao kuenguliwa na kura kuporwa kinguvu. | Upinzani ulifungiwa mikutano kwa miaka minne na wagombea wao kukatwa majina kwa wingi mwaka 2019 na 2020. |
| "Bunge si dhaifu, linaidhibiti na kuisimamia Serikali." | Bunge linapitisha bajeti bila mabadiliko ya msingi na linapuuza ripoti za CAG za ubadhirifu. | Vyombo vya dola vinalindwa na Bunge hata vinapokiuka sheria wakati wa uchaguzi. |
| "Tunapaswa kuishi kwa amani na tuvumiliane changamoto." | Amani haiwezi kupatikana kwa kuvumilia ukiukwaji wa Katiba na haki za kimsingi. | Upinzani unalazimishwa "kuvumilia" dhuluma za uchaguzi kwa kisingizio cha kulinda amani. |
Hoja yako inaakisi ukweli mchungu na halisi wa siasa za Afrika, na nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. Ulivyobainisha kuhusu kuabudu watu badala ya mifumo imara ndio mzizi wa matatizo ya kiutawala yanayotukabili.Afrika hatuamini kwenye strong institutions bali tunaamini kwenye strong personalities ndio maana unakuta watu wanaishia kuwa machawa wa mtu fulani na mtu huyo akiwa nje ya mfumo anaonekana kama 'nya yaani kinyesi, chawa wote wanamkwepa.
Magufuli ni tatizo kama unapenda kuongopewa.
Hakuna nchi duniani kuna siasa za hadhara 5 years straight. Hata kama hakuna sheria inayokataza it’s political etiquette.
Magufuli yeye alikuwa wazi, muda wa kazi hakuna mikutano ya hadhara. Lakini kipindi cha uchaguzi kuanzia muda wa kampaini kulikuwa na uhuru, uvumilivu uliopitiliza (huo ubishi tu). Lissu alikuwa anafanya mikutano kupita saa 12 jioni kinyume na sheria na alikuwa anaachwa tu.
Sasa huyu mama kawapa nini zaidi ya ulaghai hata kampeni hakuna kwa wapinzani wa maana.
Na yote haya msingi wake ni watu Kama nyie kupeleka lawama mahala sipo. Magufuli na matendo ya hawa wahuni tofauti kabisa.
Mbona uanzishi mada kusema Magufuli asingegawa bandari, TANESCO wasingeruhisiwa kupandisha bei ya umeme, SGR ingekuwa imefika phase 3 na mema yake.
Nah, wewe kila ukiibuka ni uzushi tu, kila ushetani wa Samia uzushe chanzo Magufuli; we jamaa hovyo kweli.
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu , amesema si sahihi kulinganisha Bunge la sasa na Mabunge yaliyopita kwa kuzingatia ukubwa wa mijadala pekee.
Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo Jumatano katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kuhusu Maadhimisho ya Miaka 100 ya Chimbuko la Bunge la Tanzania na masuala mbalimbali yanayolihusu Bunge, Spika Zungu amesema Bunge la mwaka 2015 lilikuwa na idadi kubwa ya wabunge wa upinzani, hali iliyochangia mijadala mikali iliyovutia wananchi wengi kufuatilia shughuli za Bunge.
Hata hivyo, ameeleza kuwa hali ya sasa imebadilika kutokana na mwelekeo wa kisiasa na namna wananchi wanavyofanya maamuzi yao wakati wa uchaguzi.
“Viongozi wa vyama vya siasa waliopo sasa ni wazuri, lakini bado sijaona hamasa kubwa kwa wananchi ya kuwachagua kwa wingi kuingia Bungeni katika kipindi hiki,” amesema.
Ana Bahati Mwenyekiti wake wa CCM ana PhD ya Political ScienceHiyo research alifavyia wapi na lini...!!
Hivi huyu PONJORO kasoma nini au ana elimu gani vile. Hivi ni kweli kuwa naye ni Mpemba!?
Vijizee vingine banahSpika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu , amesema si sahihi kulinganisha Bunge la sasa na Mabunge yaliyopita kwa kuzingatia ukubwa wa mijadala pekee.
Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo Jumatano katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kuhusu Maadhimisho ya Miaka 100 ya Chimbuko la Bunge la Tanzania na masuala mbalimbali yanayolihusu Bunge, Spika Zungu amesema Bunge la mwaka 2015 lilikuwa na idadi kubwa ya wabunge wa upinzani, hali iliyochangia mijadala mikali iliyovutia wananchi wengi kufuatilia shughuli za Bunge.
Hata hivyo, ameeleza kuwa hali ya sasa imebadilika kutokana na mwelekeo wa kisiasa na namna wananchi wanavyofanya maamuzi yao wakati wa uchaguzi.
“Viongozi wa vyama vya siasa waliopo sasa ni wazuri, lakini bado sijaona hamasa kubwa kwa wananchi ya kuwachagua kwa wingi kuingia Bungeni katika kipindi hiki,” amesema.
Kwa nini hasemi 2015 liliingia lile shetani la Chato na kuhujumu kabisa kazi nzuri aliyoifanya JK ya kuendeleza Demokrasia?Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu , amesema si sahihi kulinganisha Bunge la sasa na Mabunge yaliyopita kwa kuzingatia ukubwa wa mijadala pekee.
Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo Jumatano katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kuhusu Maadhimisho ya Miaka 100 ya Chimbuko la Bunge la Tanzania na masuala mbalimbali yanayolihusu Bunge, Spika Zungu amesema Bunge la mwaka 2015 lilikuwa na idadi kubwa ya wabunge wa upinzani, hali iliyochangia mijadala mikali iliyovutia wananchi wengi kufuatilia shughuli za Bunge.
Hata hivyo, ameeleza kuwa hali ya sasa imebadilika kutokana na mwelekeo wa kisiasa na namna wananchi wanavyofanya maamuzi yao wakati wa uchaguzi.
“Viongozi wa vyama vya siasa waliopo sasa ni wazuri, lakini bado sijaona hamasa kubwa kwa wananchi ya kuwachagua kwa wingi kuingia Bungeni katika kipindi hiki,” amesema.
Huyo Jk yuko wapi now?Kwa nini hasemi 2015 liliingia lile shetani la Chato na kuhujumu kabisa kazi nzuri aliyoifanya JK ya kuendeleza Demokrasia?
Na hio shida sana workmate wangu mkenya huwa anashangaa sana watu wanaotuongozaSiyo wendawazimu wote huwa wanaokota makopo. We gine utawajua kwa kauli zao.
Taifa letu linakwama kwa sababu baadhi ya wagonjwa wa kichwani badala ya kuoelekwa hosoitali, wamapachikwa kwenye madaraka wawaongoze walio wazima.
Waonja asali mara zote wanatoa kauli za kijinga jingaSpika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu , amesema si sahihi kulinganisha Bunge la sasa na Mabunge yaliyopita kwa kuzingatia ukubwa wa mijadala pekee.
Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo Jumatano katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kuhusu Maadhimisho ya Miaka 100 ya Chimbuko la Bunge la Tanzania na masuala mbalimbali yanayolihusu Bunge, Spika Zungu amesema Bunge la mwaka 2015 lilikuwa na idadi kubwa ya wabunge wa upinzani, hali iliyochangia mijadala mikali iliyovutia wananchi wengi kufuatilia shughuli za Bunge.
Hata hivyo, ameeleza kuwa hali ya sasa imebadilika kutokana na mwelekeo wa kisiasa na namna wananchi wanavyofanya maamuzi yao wakati wa uchaguzi.
“Viongozi wa vyama vya siasa waliopo sasa ni wazuri, lakini bado sijaona hamasa kubwa kwa wananchi ya kuwachagua kwa wingi kuingia Bungeni katika kipindi hiki,” amesema.
Mpumbavu kabisa huyu Spika haramu, 2025 hakukuwa na uchaguzi.Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu , amesema si sahihi kulinganisha Bunge la sasa na Mabunge yaliyopita kwa kuzingatia ukubwa wa mijadala pekee.
Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo Jumatano katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kuhusu Maadhimisho ya Miaka 100 ya Chimbuko la Bunge la Tanzania na masuala mbalimbali yanayolihusu Bunge, Spika Zungu amesema Bunge la mwaka 2015 lilikuwa na idadi kubwa ya wabunge wa upinzani, hali iliyochangia mijadala mikali iliyovutia wananchi wengi kufuatilia shughuli za Bunge.
Hata hivyo, ameeleza kuwa hali ya sasa imebadilika kutokana na mwelekeo wa kisiasa na namna wananchi wanavyofanya maamuzi yao wakati wa uchaguzi.
“Viongozi wa vyama vya siasa waliopo sasa ni wazuri, lakini bado sijaona hamasa kubwa kwa wananchi ya kuwachagua kwa wingi kuingia Bungeni katika kipindi hiki,” amesema.
Mwehu hiyuNa ana amini alichaguliwa 2025! Viongozi wanapowafanya Wananchi mataahira wanaeneza chuki
Laiti kama si kiburi angejiuliza! ''Wananchi hawana hamasa ya kuchagua upinzani'' lakini wana hamasa ya kushangilia Wabunge wake wanapofikwa na mauti!