Spika Zungu: Wananchi hawajawa na hamasa ya kuchagua Upinzani kipindi hiki

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa nini hasemi 2015 liliingia lile shetani la Chato na kuhujumu kabisa kazi nzuri aliyoifanya JK ya kuendeleza Demokrasia?
Hilo shetani lilikuwa chini ya chama cha mapinduzi ccm na huyo Zungu aliendelea kula mema ya nchi pamoja na kuwepo huyo shetani, wakati huo watu wanamkosoa huyo shetani yeye Zungu alikuwa kimya halafu sasa ndio aanze kuzungumzia shetani?
 
Halafu utakuta anaswali swala tano kila siku, sijui huyu mchomelea vyuma(welder)anamdanganya nani wakati ukweli wote anaujua.
 
Halafu utakuta anaswali swala tano kila siku, sijui huyu mchomelea vyuma(welder)anamdanganya nani wakati ukweli wote anaujua.
Hapo ndio huwa wananichisha hata hao kina mufti sijui mwaipopo and the like...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…