Spirit bora zisizo na harufu baada ya kutumia

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
1. Valeur(valuu) hii ni ni chaguo langu ila shida koo kukauka usiku.

2. Smartgin hii ni nzuri sana hata ukinywa kavu haina shida,kasoro tu chipa yake ni plastiki.

3. Kiwingu hii naipitisha kwa 80% sababu haina harufu,hata uchanganye na safari lager asubuhi unaamka kama ulilalia maji ya bomba yan haina hangover hata kidogo.

4. Bongo don, wanajitahidi ila wanapima ndogo sana kama konyagi afu bei ni moja.

5. Roboti hii mwanzoni ulikuwa ukinywa unakuwa kama roboti kweli,ila siku hizi haina maajabu sana harufu ya pipikali(tropical mint) ila chuoa ya plastiki ndio shida yao.

Nawaletea mjaribu na nyie pia.
 
Huo muda wa kunywa hizo spirit mnatoaga wapi? Mbona watanzania mnapenda na kuendekeza sana anasa tu na wakati wengi wetu ni unproductive?

Wa machinga watanzania wenzenu sasa hivi wanaonewa na kuteseka nyie mmebaki kushadadia mispirit inayotengenezwa na dawa za kuhifazia maiti. Kama taifa Tunaelekea wapi?

Ukinywa maji tu utapungukiwa na nini?
 
Hahahaaa... Mateso kwa watanzania hayajaanza leo mzee,kila mtu apambane na hali yake. Kwa hiyo nisinywe pombe kisa wamachinga kufukuzwa?
 
Nchi inapitia hali mbaya ya kiuchumi ndugu zenu watanzania wengine wanapitia maumivu na mateso makali kwa kuonewa. Wewe unaona ni vema kuendekeza anasa kwa kunywa hivyo vilevi? Unaona kweli inaleta balance na equality na picha nzuri katika jamii?

You gus try to be responsible and considerate!
 
1. Valeur(valuu) hii ni ni chaguo langu ila shida koo kukauka usiku.

2. Smartgin hii ni nzuri sana hata ukinywa kavu haina shida,kasoro tu chipa yake ni plastiki.

3. Kiwingu hii naipitisha kwa 80% sababu haina harufu,hata uchanganye na safari lager asubuhi unaamka kama ulilalia maji ya bomba yan haina hangover hata kidogo.

4. Bongo don, wanajitahidi ila wanapima ndogo sana kama konyagi afu bei ni moja.

5. Roboti hii mwanzoni ulikuwa ukinywa unakuwa kama roboti kweli,ila siku hizi haina maajabu sana harufu ya pipikali(tropical mint) ila chuoa ya plastiki ndio shida yao.

Nawaletea mjaribu na nyie pia.
Robot naipa eko
 
Nchi inapitia hali mbaya ya kiuchumi ndugu zenu watanzania wengine wanapitia maumivu na mateso makali kwa kuonewa. Wewe unaona ni vema kuendekeza anasa kwa kunywa hivyo vilevi? Unaona kweli inaleta balance na equality katika jamii?

You gus try to be responsible and considerate!

Kama hauna pesa jisemee mwenyewe, kama hauna kazi jisemee mwenyewe, kama umepanga haujajenga jisemee mwenyewe, maisha ni kioo ukiyaangalia yatakuangalia pia kwa nchi kama Tanzania akitokea mtu mzima sio kilema whether kasoma au la akasema hana pesa huyo ni boya kama maboya wengine
 
Take Grants, jagermeister, hennesy during long weekend friday, then light wine two glass during sunday bila kusahau matunda na maji mengi, then safisha kinywa kwa kutumia sensodyne pitisha na listerin mouth wash harufu kamwe hutoisikia tatizo mtu mmoja spirit unataka unywe glass kumi sio sawa na sio starehe na ndio maana ukinywa inabaki na haiharibiki one to two glass inatosha kuchangamsha kichwa baada ya uchovu
 
Kwa hiyo wewe umechukua hatua gani ya kwanza ya kuwasaidia ili nikufuate? Au ndio unalilia hapa online?
 
😄😄 Motivational speakers bana.
 
Kama hauna pesa jisemee mwenyewe, kama hauna kazi jisemee mwenyewe, kama umepanga haujajenga jisemee mwenyewe, maisha ni kioo ukiyaangalia yatakuangalia pia kwa nchi kama Tanzania akitokea mtu mzima sio kilema whether kasoma au la akasema hana pesa huyo ni boya kama maboya wengine
Asante mkuu, nimegundua watanzania ni wabinafsi sana,jitu linapokumbwa na shida au shida inapofika kwa mtu wake wa karibu ndio anaona ni muda wa kuongea na kupigana ila ikiwa kwa wengine ni sawa. Kila mtu ashinde mechi zake tu.
 
Take Grants, jagermeister, hennesy during long weekend friday, then light wine two glass during sunday bila kusahau matunda na maji mengi, then safisha kinywa kwa kutumia sensodyne pitisha na listerin mouth wash harufu kamwe hutoisikia tatizo mtu mmoja spirit unataka unywe glass kumi sio sawa na sio starehe na ndio maana ukinywa inabaki na haiharibiki one to two glass inatosha kuchangamsha kichwa baada ya uchovu
You are not right at all 'Truck Driver'. We are in a transition period in our nation. We don't have time to entertain any nonsense. The Government should abolish every social activities and leisure staffs for at least a period of 20 years. People should engage in national development activities by working hard every day for that period of time.

Japan and Germany after world WAR II they had to sacrifice they didn't entertain nononse. Look now where they are.
 
Take Grants, jagermeister, hennesy during long weekend friday, then light wine two glass during sunday bila kusahau matunda na maji mengi, then safisha kinywa kwa kutumia sensodyne pitisha na listerin mouth wash harufu kamwe hutoisikia tatizo mtu mmoja spirit unataka unywe glass kumi sio sawa na sio starehe na ndio maana ukinywa inabaki na haiharibiki one to two glass inatosha kuchangamsha kichwa baada ya uchovu
1. Yohana Mtembezi lebo Nyeusi na vipande vya barafu + ndimu.
2. VAT 69
3. Konyagi ya TDL.
 
You are not right at all 'Truck Driver'. We are in a transition period in our nation. We don't have time to entertained any nonsense. The Government should abolish every social activities an leisure stuffs for at least 20 years. People should engage in national development by working hard every day for that period of time.

Japan and Germany after world War they had to sacrifice they dint entertain nononse. Look now where they are.
Unafurahishaga Sana we jamaa,Kama uko serious vile 😄😄
 
Kwa hiyo wewe umechukua hatua gani ya kwanza ya kuwasaidia ili nikufuate? Au ndio unalilia hapa online?
Hatua niliyochukua katika nafasi yangu ni kufanya kazi na uzalishaji mali. Siyo kuendekeza anasa anasa kwenye vitu ambavyo havina tija namanufaa kwangu na taifa kwa ujumla. Hii imeniwezesha mimi pamoja na walionizunguka 'kupanua' wigo mpana katika mustakabali mzima wa taifa letu na kwa maslahi mapana ya taifa letu.
 
Hatua niliyochukua katika nafasi yangu ni kufanya kazi na uzalishaji mali. Siyo kuendekeza anasa anasa kwenye vitu ambavyo havina manufaa kwangu na taifa kwa ujumla. Hii imeniwezesha mimi pamoja na walionizunguka 'kupanua' wigo mpana katika mustakabali mzima wa taifa letu na kwa maslahi mapana.
Umeongea Kama Majaliwa vile.
 
Back
Top Bottom