Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
1. Valeur(valuu) hii ni ni chaguo langu ila shida koo kukauka usiku.
2. Smartgin hii ni nzuri sana hata ukinywa kavu haina shida,kasoro tu chipa yake ni plastiki.
3. Kiwingu hii naipitisha kwa 80% sababu haina harufu,hata uchanganye na safari lager asubuhi unaamka kama ulilalia maji ya bomba yan haina hangover hata kidogo.
4. Bongo don, wanajitahidi ila wanapima ndogo sana kama konyagi afu bei ni moja.
5. Roboti hii mwanzoni ulikuwa ukinywa unakuwa kama roboti kweli,ila siku hizi haina maajabu sana harufu ya pipikali(tropical mint) ila chuoa ya plastiki ndio shida yao.
Nawaletea mjaribu na nyie pia.