Eti eee. Tusubiri tuone Mkuu.Mkuu litarudi hilo,hata kakamega walianza hivyo hivyo.
Kama Yanga SC ya msimu huu bila Tambwe, Ngoma na Chirwa waliokuwa hawako fit kwa kipindi chote cha ligi.Simba bila Okwi, Boko na Kwasi hamna matumaini makubwa
Kuwa mzalendo wewe jamaaKila la heri Gor Mahia
ngorikaActually nimeshajiandaa kisaikolojia..whatever is excellent!
Hahaaa. Kabisaaaa tunafurahi tu leo na furaha inazidi hasa pale watani zangu zangu walivyokimbia uzi mpaka saa hii.Zamu yenu leo kufurahi...ila game haijaisha..
Kweli kama imani ni ndogo,ila ni kazi nyepesi ukiwa na imani,nasi imani tunayo mkuu.Eti eee. Tusubiri tuone Mkuu.
Ila si kazi rahisi sana ujue.
Ndio aiseee.Kwahyo ulikuwa kila ukivumilia unapata shida ukaamua kunena mkuu loh
Yameshaongezeka tayari Mkuu.Kweli kama imani ni ndogo,ila ni kazi nyepesi ukiwa na imani,nasi imani tunayo mkuu.
Really? maana mimi siutazamiCha pili duuh.
[emoji23] [emoji23]
Mnakuwa kama wanaume suruali,mnakimbia vita halafu mnabaki kuripoti vita ya wanaume
Hebu kunywa maji kwanza ili upoze koo.
Haiwezekani mimi nikushtue, Huenda ikawa Meddie Kagere akawa amekustua.
Huko miamala hakunambili tayari, bado moja gor mahia tufunge mahesabu