SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

Simba wanataka goli nne vipi mnaupiga mwingi au?
 
Zamu yenu leo kufurahi...ila game haijaisha..
Hahaaa. Kabisaaaa tunafurahi tu leo na furaha inazidi hasa pale watani zangu zangu walivyokimbia uzi mpaka saa hii.

Haujaisha Mtani ila na kufunga si lele mama pia.
 
demigod umenistua,VPL nzima umekimbia, Sportspesa game za Yanga umejificha,hako kagoli ndio kamekufanya mbiombio kuanzisha mada




Hebu kunywa maji kwanza ili upoze koo.

Haiwezekani mimi nikushtue, Huenda ikawa Meddie Kagere akawa amekustua.
 
Hii ni dhahama....huyu Tuyisenge anasumbua sana
 
Back
Top Bottom