SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

Simba hawajacheza vizuri hasa beki na ushambuliaji. Atanasi hafai kabisa kwa anavyokosa magoli kila siku. Simba wanatakiwa kuwa na mtu mwenye uwezo wa kufunga. Aidha vijana wapya wameweza kucheza vizuri kwenye nafasi zao.

Technically hata hao Vijana unaowasifia kuwa wamecheza vizuri siyo wazuri kivile isipokuwa leo wanajifanya kukaza ili wasajiliwe au wengine wasiache au kutolewa kwa mkopo. Ili uyaamini haya niyasemayo nakuomba wakariri hao Wachezaji unaowasifia Vijana kisha wakishasajiliwa Klabuni waangalie katika VPL ya msimu ujao ikianza ndipo utaona mauzauza yao ya Kutukuka. Wachezaji wa Tanzania ni wa misimu / nyakati tofauti na Wenzao wa nchi za Magharibi wanaojitambua.
 
Ndiyo Genta! Simba imedhalilisha kabisa hasa kwa wachezaji waliopaswa kuamua matokeo hakuna walichofanya. Infact even the coach has no other way to do if the team is parforming poorly.
 
81ecdef862e1b259b777d469815cfc89.jpg
 
fccf6128f257aedd8bc79cb71e2b65e9.jpg
 
Ndiyo Genta! Simba imedhalilisha kabisa hasa kwa wachezaji waliopaswa kuamua matokeo hakuna walichofanya. Infact even the coach has no other way to do if the team is parforming poorly.
Refarii hakuongeka
 
Wakadai point za mezani huko FIFA; sijajua kwanini kocha alimpanga goalkeeper yule apige penalt mapema vile.
 
Back
Top Bottom