GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simba hawajacheza vizuri hasa beki na ushambuliaji. Atanasi hafai kabisa kwa anavyokosa magoli kila siku. Simba wanatakiwa kuwa na mtu mwenye uwezo wa kufunga. Aidha vijana wapya wameweza kucheza vizuri kwenye nafasi zao.
Technically hata hao Vijana unaowasifia kuwa wamecheza vizuri siyo wazuri kivile isipokuwa leo wanajifanya kukaza ili wasajiliwe au wengine wasiache au kutolewa kwa mkopo. Ili uyaamini haya niyasemayo nakuomba wakariri hao Wachezaji unaowasifia Vijana kisha wakishasajiliwa Klabuni waangalie katika VPL ya msimu ujao ikianza ndipo utaona mauzauza yao ya Kutukuka. Wachezaji wa Tanzania ni wa misimu / nyakati tofauti na Wenzao wa nchi za Magharibi wanaojitambua.