OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huyo wakwanza nina mashaka naye
Kwa timu inayoongozwa na wavulana wanaotegemea mawazo ya wazee kuendesha mambo yao, hata siwashangai kwa huo usanii wa kitoto wanaofanya, wao wanategemea ujinga wa mashabiki wao kuwatetea.
Uongozi wa Hersi utaacha alama isiyofutika ya ujinga utopolo, hii mikataba wanayoingia itawavua nguo kila siku, expect more to come.
Hapo ndio naonaga maoni ya watu waliopendekeza jina la cheo cha Hersi libadilishwe waite hata MwenyekitiRais wa timu anashinda kambini anapiga story na wachezaji wanamzoea wanamuona kama mwana tu.
Kina morrisson hawamuogopi ndio maana wakijisikia kwenda kwao wanaenda tu huku mechi za timu zinaendelea
Mkataba uko wapi?
Kwa fikra zako unahisi Yanga hakuna wanasheria na hawakujua hilo?Maelezo ya SportPesa
Sisi tunajua kuwa hatua ya makundi hatuwezi kukaa kwenye jezi za Yanga na tulijadiliana cha kufanya ikiwamo kuwapa LiveScore ambayo walisema inahusika na beting na imekataliwa na CAF,...
We jamaa naona umehama kwenye mada umekuja kwenye personal attack.Huyo wakwanza nina mashaka naye
Nadhani ni mmoja ya washiriki waliochangia wazo la kuwazunguka SportPesa
Mwingine huyu changaule ye hoja yake kuu ni bonus, hana hoja nyingine.
Kwake yeye anaona bonus ya 100M ni kitu kikubwa sana kuliko 1B wanayoipata kwa mwaka mzima kutokana na mkataba waliosaini.