3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Hamna kitu nshomile anawaingiza kila kukicha kwenye misuguano ya kimkataba na watu/taasisiWewe unaelewaje ukimuona mwanasheria anapewa legal counsel wa ICC baada ya kushindwa high profile case CAS?
Unaelewa hiyo inamaanisha nini?
That means he's good. Morrison angeshindwa kesi, effect yake ingekuwa kubwa sana.
Kwa hiyo kesi kama hizo ili ushinde ni lazima kusiwe hata na doubt kidogo, almost to the criminal level.
But he did put a hell of a show to a high profile case.
Usimchukulie poa yule Nshomire.
Hebu changamsha bongo hiyo