SportPesa: Yanga walituzunguka, usiku wakatangaza mdhamini mpya

We jamaa naona umehama kwenye mada umekuja kwenye personal attack.

Mambo ya bonus tumejadili kwenye Uzi mwingine umeamua kuleta Hadi huku na hakuna sehemu nimesema bonus ni bora kuliko mkataba yaani umetunga maneno Ili mradi uonekane uko sahihi.
Kwa hiyo bonus ndio personal attack?
 
Umepata content, uzuri mwisho wako hua ni aibu
 
Kwa fikra zako unahisi Yanga hakuna wanasheria na hawakujua hilo?
Think again ilo suala linakuja kutolewa ufafanuz very soon
Wanasheria hawa wakina simon patrick huyu aligeragazwa hovyo morison CAS? nyie nyoka wa kibisa acheni utani shauri yenu
 
Sisi Yanga tunatafuta pesa kwa kila njia.
 
wao wanategemea ujinga wa mashabiki wao kuwatetea
Na baraza la wazee kutangaza kususia betting na sportpesa.

Wasusie basi kubet na Sportpesa kama ilivyokuwa kwa Azam walipodanganywa Fei anaenda Azam.
 
Sisi Yanga tunaonewa na kunyanyaswa sana na TFF. Lazima tuende kasi (CAS) haiwezekani tumepata 1.5 Billion Sportpesa anatupiga mkwara TFF wanaangalia tu hawawakatazi.
 
Sisi Yanga tunaonewa na kunyanyaswa sana na TFF. Lazima tuende kasi (CAS) haiwezekani tumepata 1.5 Billion Sportpesa anatupiga mkwara TFF wanaangalia tu hawawakatazi.
Suburini kesho Singida wawakate kiherehere
 
YANGA NA HAIER WANATREND

YANGA ANAPIGA 1.5B

YANGA WATAVAA JEZI HIZI HATA IKITUMIKA BUSARA AMA LAH

MAISHA YATAENDELEA.

Period

Broo uzi wa ngapi huu umeleta kuhusu hii kitu??
 
Yanga hana hasara kwa jezi za wachezaji,hasara kwa mzigo alokuwa awauzie mashabiki.Ye abandue kisha wakae wajadiliane, huku mtaani waziachie tu.
Na Haier kama keshatoa hela?
 
Wanasheria hawa wakina simon patrick huyu aligeragazwa hovyo morison CAS? nyie nyoka wa kibisa acheni utani shauri yenu
Wewe unaelewaje ukimuona mwanasheria anapewa legal counsel wa ICC baada ya kushindwa high profile case CAS?
Unaelewa hiyo inamaanisha nini?
That means he's good. Morrison angeshindwa kesi, effect yake ingekuwa kubwa sana.
Kwa hiyo kesi kama hizo ili ushinde ni lazima kusiwe hata na doubt kidogo, almost to the criminal level.
But he did put a hell of a show to a high profile case.
Usimchukulie poa yule Nshomire.
 
Huyo msemaji anatuzuga tu.
Tatizo bosi wao ni mwana utopolo na uto hawawezi kufanya jambo hili bila yeye kujua.
Hapa uswahili umefanyika.Sport pesa wamesalitiwa na boss wao wenyewe.

Nina uhakika hawatashinda hii battle na inaewezekana wanatafutwa ili wasuse.

Sportpesa ni kama shamba la bibi tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…