SportPesa: Yanga walituzunguka, usiku wakatangaza mdhamini mpya

Hamna kitu nshomile anawaingiza kila kukicha kwenye misuguano ya kimkataba na watu/taasisi
Hebu changamsha bongo hiyo
 
Hamna kitu nshomile anawaingiza kila kukicha kwenye misuguano ya kimkataba na watu/taasisi
Hebu changamsha bongo hiyo
Kila siku mfano lini na lini.
 
Kesho mnapakatwa hiki kiherehere cha uwakili kitaisha
Ngoja tuone kesho nani anapakatwa kati ya toto la utopolo na Mnyama mkali.

Kesho ndio utajua kati ya mwalimu na wanafunzi nani anajua. Vita ya mwalimu Robertino na wanafunzi Gomes na wenzake. Lazima Uto mtoto akae
 
Hamna kitu nshomile anawaingiza kila kukicha kwenye misuguano ya kimkataba na watu/taasisi
Hebu changamsha bongo hiyo
Kumbe Engine A Hesi ni amesoma (nshomile)
 
Eti una uhakika! Nyie watu akili zenu zinafanana
 
YANGA HAWANA KOSA KWENYE HILI LA MDHAMINI WA JEZI ZA CAFCC.
 
Ukisoma kuanzia comment ya kwanza mpaka ya 14 utagundua kila mara ambapo huwa nasema mama Samia anakazi kufanya kurekebisha bongo za hawa ndugu zetu madunduka.

Hao jamaa wamehukumu kwa kuwasikiliza Sportpesa peke yao hawakua na muda wa kusubiri Yanga ana nini la kusema wao wanaropofyoka tu. Wanaishia kuaibika wao. Nimeishia comment ya 14
 
acha uongo

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Wenye akili yanga ni ....[emoji23]
 
Tatizo la Yanga pale ni Engineer anatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Yeye ni Mkurugenzi wa Uwekezaji(GSM.kaajiriwa) wakati huo huo ni Rais wa Club. Na huyo Haiers ni partnership na GSM. Hapa Kuna mgongano mkubwa wa kimaslahi, na wanapoelekea GSM atainunua Yanga Moja kwa Moja kwa sababu ya Njaa iliopo na uelewa mdogo wa MASHABIKI.
Hii ni rasharasha GSM(Bepari) hana huruma lazima anufaike kibiashara. Sawa na SIMBA SC. CLUBS HIZI ZINAENDESHWA kitahira sana kwa sababu ya Njaa ya Pesa na Umasikini wa Akili
 
Akiinunua na timu ikaendelea kupata matokeo hata hakuna shida.

Hata akifaidika lakini Cha muhimu timu inafanya vizuri mashabiki na wanachama hatuna shida Yanga kama tungeendelea kutembeza bakuli leo wakina mayele na wachezaji wengine wasingekuwepo pale.
 
Hata Mwamedi aliahidi kuinunua Simba kwa B 20 lakini kapewa kwa mali kauli ndiyo maana anaweka matangazo yake kwa Mil 150
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…