Sports Arena ya Wasafi FM ni moja ya kipindi cha hovyo cha michezo Bongo

Sports Arena ya Wasafi FM ni moja ya kipindi cha hovyo cha michezo Bongo

Ni kweli, alafu haka katabia kakumpangia tajiri afanye nini na asifanye nini kanabidi kaachwe Sir kanazidi kukita mizizi.
.
Wewe hapo unaweza kuwa tajiri mkubwa tu leo hii sijui umepataje mali zako eti nataka nikuone unaemdesha VXR na sio Vitz na unakula Marry brown na sio kwa Shishi food. Ahahahah
'Unamdesha'
 
Heading uliyotumia kutoa mawazo yako unaonekana unachuki bure.

Mimi binafsi siwezi kusikiliza kingine Kama sio S.Arena.Ukisema ninkipindi Cha hivyo.Hili neno hivyo ndo linaonekana haliko sawa.Hata Kama Kuna upungufu Fulani Basi ungesema ili utatuliwe,Ndo maana wanasema "ni yetu sote".Toa maoni yako watayafanyia kazi.na sio vijembe
Hayo pia ni maoni mkuu,na ndio maana unaona nimetoa pendekezo...kuhusu suala la lugha tunavumiliana tu mkuu maana watu hatufanani,

ILA SINA CHUKI HATA CHEMBE KAMA NILIVYOTANGULIA KUSEMA
 
Arena chama lao wadau wanajua sana bonge la kipindi
Na huyo mnyakyusa akiondoka hapo hapo ujue kipindi kimekufa....maana waliobaki wote ni wapiga zogo,labda mumnunue kashasha
 
Back
Top Bottom