Spot the difference between Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ and the rest of Africa 🌍 including Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ

Soma hostoria ya Tanzania kijana.
Sikiliza hizi video utapata picha

Ndio, lakini sio hela ya kwenda kukenulia meno Wachina, yaani ujumbe wote huo na masuti na makalamu na madaftari tupande pipa kufuata Mchina atupe bilioni tatu.
 
Duh asante kwa historia hii, sikujua Tanzania ilidandia tuu muungano...Ndio maana hutuchelewesha hivi
 
Ndio, lakini sio hela ya kwenda kukenulia meno Wachina, yaani ujumbe wote huo na masuti na makalamu na madaftari tupande pipa kufuata Mchina atupe bilioni tatu.
mbona mmefata 30 kilometers?.
yaani delegation yote ile plus president wenyu mmefata china 30 kilometers. smh
 
mbona mmefata 30 kilometers?.
yaani delegation yote ile plus president wenyu mmefata china 30 kilometers. smh

Yeah 30km inategemea ya wapi, double decker road to JKIA, ni kitu hakipo ukanda wote huu hamna mfano wake, kwanza nyie ambao ndio mnasubiri kushangaa fly over yenu ya kwanza. Kitu kama hiki hapa chini mtasubiri sana
 
Ahaaa haaa haaa
HAMNA double deck road hapo it's just a (curvelinear) flyover. Which is more or less like the rectilinear one. Only the difference is a banking of lanes to do with a centrifugal force.
 
ni kama tu vile wakenya mnavyosubiri kwa hamu kubwa kushangaa the first high speed electric sgr in EA that can travel at a speed of 160km per hour.

don't worry, you will be invited to take some selfies.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahaaa haaa haaa
HAMNA double deck road hapo it's just a (curvelinear) flyover. Which is more or less like the rectilinear one. Only the difference is a banking of lanes to do with a centrifugal force.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kuleta hadithi za Sungura na paka, sisi tunazungumzia Muungano wa East Africa iliyokua huru, achana na hadithi za enzi za ukoloni, huko muungano haukua kwa ridhaa yetu.

Kuhusu mauaji ya wanasiasa wa Kenya baada ya uhuru wa Kenya yalimuogopesha sana Nyerere hata baada ya kuwa na muungano hakuwa free sana na uongozi wa Mzee Jommo Kenyatta, mahusiano ya Nyerere na Kenyatta hayakuwa mazuri, it was just a matter of time, ni kama ilivyosasa kati ya JPM na Uhuru.
 
SGR ya Kawaida hamna hata kilomita moja, sasa mengine yote hayo ni hadithi za alfu ulela, sisi leo hii SGR tunabisha hodi kwa M7, likija suala la flyovers tunazo za kumwaga zishatuchosha.
 
SGR ya Kawaida hamna hata kilomita moja, sasa mengine yote hayo ni hadithi za alfu ulela, sisi leo hii SGR tunabisha hodi kwa M7, likija suala la flyovers tunazo za kumwaga zishatuchosha.
hahahaha....povu hilo mzee baba.utajua haujui.
 
SGR ya Kawaida hamna hata kilomita moja, sasa mengine yote hayo ni hadithi za alfu ulela.
hapa kazi tu.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ahaaa haaa haaa
HAMNA double deck road hapo it's just a (curvelinear) flyover. Which is more or less like the rectilinear one. Only the difference is a banking of lanes to do with a centrifugal force.

Tangu ujifunze hiyo misamiati miwili ya curvelinear na rectilinear, kwa siku tano sasa umekua uki paste humu, japo mie sio muhandisi wa masuala ya barabara (hivyo uki-copy paste misamiati, inawezekana nisibishe sana) lakini wewe hapo unazungumzia overpass ambazo hutumika kwenye intersections, mimi naongea kuhusu upper decker road stretching 30km on top of another and both leading same direction.
 
Picha za zege na vibarua wenu wakichimba chimba hiyo haitoshi, sisi tunasafiri kwa SGR, tunachana mbuga na mapori, subiri tumsaidie M7 kupata kamkopo maana hana hela na hawezi akawategemea nyie LDC.
wewe endelea kubwawaja tu, sisi tunasonga mbele.

hapa kazi tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Muungano upi huo wa nchi huru za Afrika mashariki wakati nchi za Kenya,Ug na Tz hazikupata uhuru kwa wakati mmoja? East African Airways Corporation yenyewe ilianza kufanya kazi rasmi 1946. Naona ni kama historia inakukanganya, tena sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…