Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Soma hostoria ya Tanzania kijana.Unatumia nguvu nyingi sana kutupia pumba. Hata hujui mwaka ambao Tom Mboya aliuawa na kwamba muungano wa awali kabisa wa nchi za Afrika mashariki, ulikuwa baina ya Kenya na Uganda, mwaka wa 1917 na Tanganyika ikaingia miaka kumi baadaye, 1927. Yaani yote yalikuwa chini ya mipango ya mkoloni.
Sikiliza hizi video utapata picha