Spot the difference between Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ and the rest of Africa ๐ŸŒ including Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช

Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
Rais John Pombe Magufuli akihutubia leo Musoma amesema gesi asili ya Tanzania tayari mabepari wameshaigawana kwa mikataba yao kwa sababu tu walishiriki kuivumbua.

Akiongea hayo mjini Musoma leo amesema bomba la gesi ya Mtwara lililojengwa mpaka Dar es Salaam linatumika kwa 30%, huku asilimia nyingine zilizo baki zikienda kwa mabepari.

Amesema pia kuwa aliamua kupambana yeye kama yeye kupata fedha kwa ajili ya kujenga Stigler's Gauge ambao ni mradi wa umeme mwingi ili kukwepa matumizi ya gesi asilia kutoka Mtwara kwa kuwa tayari gesi wakubwa wamegawana tayari.

Pia ameongeza kuwa Uranium iliyoko Mkoa wa Ruvuma haiwezi kutumika kwa manufaa ya Taifa kwa kuwa tayari nayo wakubwa washaigawana kwa kuwa tu waliivumbua wao katika tafiti, na hata kama akisema serikali itumie fedha kuinunua bado wataigomea.

Kauli hii ya Rais Magufuli imethibitisha kauli ya Dr Wilbrod Slaa aliyoitoa mjini Iringa mwaka 2014 kuwa " Tunaambiwa mabomba ya gesi ya Mtwara yanaelekea Dar, kumbe yameelekezwa Ulaya, wanachukukua gesi yetu."

Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru - JamiiForums
Rais wetu ni mkweli daima.nimethibitisha kwa mengi,lkn hill limenfunga mjadala.lkn pia tunafanya nin kusaidia tatizo?
Ukweli mchungu,naomb rais apigane zaid hata ikiwezkna ashirikiane na hao mabepari tuokoe rasilimali zetu.
Bcs if you can't beat them,join them
 
  • Thanks
Reactions: Oii
hapa ni kazi tu.porojo tumewachia wazee wa sgr ya diesel. [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 859353View attachment 859354View attachment 859355
๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ kausha comrade kuna watu wanapata kichocho cha macho muda wowote kuanzia sasa

Walifikiri itachukua miaka 7 kama sgr yao hawaamini macho yao kama ndio reli tena reli ya Japan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต chuma cha maana

Turkey ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท nae anatengeneza rails lakini tumempiga stop ๐Ÿ›‘ kutumia reli zake sababu tunataka ubora uliotukuka sadly ni kwamba ukienda kwa jirani reli yenyewe imeshasombwa na maji
 
Huyo kumbe humjui... anaeza kukuzungusha....
unajidiliana na nywee?.
Acha kunipotezea muda, mimi Sio mtoto mwenzako.
Mmemaliza umbea? Hampendi kabisa kujiongeza, huwa mnamalizia kwa Nyerere na kupata uhuru, kabla ya hapo, zero. Ushirikiano wa E.A.C ulianza rasmi 1967 baada ya ratification of the treaty for the East African Corporation(ambayo ilikuwa ipo tangia 1917 kati ya Ke na Ug) hiyo ndio ilipisha njia kwa E.A Common Services, E.A High Commision na E.A.Community. Ila kabla ya hapo mpango wa awali wa ushirikiano wa nchi za Afrika mashariki ulianza miaka mingi kabla ya wana E.A kupata uhuru. East African Customs Union 1919, E.A Income Tax Board 1940, Joint Economic Council 1940. Someni kuhusu hayo yote hapa. Treaty for the formation of the East African Community/E.A.C.J
 
Naona mnadhani tulipata uhuru na tukaweza kujenga mashirika yote ya E.A.C 'from scratch'. Mkoloni aliwai mbele yetu hilo wazo la soko huru la E.A na tulirithi 'structures' nyingi za muungano wa E.A. kutoka kwake. Hivi hamjajiuliza ilikuwaje tukawa na sarafu moja Afrika mashariki miaka mingi tu kabla ya kupata uhuru? E.A.Airways ilianza kazi rasmi 1st January 1946, someni kuhusu hayo hapa. THE EAST AFRICAN AIRWAYS(1946) thisdayes naona unapenda kusoma vitabu. Maximilian Haller: The E.A.C. and the difference between..... Bofya hapo usome kitabu cha Maximilian Haller: The E.A.C. and the difference between theory and practise based on the example of free movement of goods and services. Hapo chini utapata references ya vitabu zaidi ya 20 kuhusu ushirikiano wa nchi za Afrika mashariki na mashirika husika kabla ya uhuru. Zisome kama ungependa kujua kwa undani historia ya E.A.
 
Tangu ujifunze hiyo misamiati miwili ya curvelinear na rectilinear, kwa siku tano sasa umekua uki paste humu, japo mie sio muhandisi wa masuala ya barabara (hivyo uki-copy paste misamiati, inawezekana nisibishe sana) lakini wewe hapo unazungumzia overpass ambazo hutumika kwenye intersections, mimi naongea kuhusu upper decker road stretching 30km on top of another and both leading same direction.

Ahaaa haaa haaa

Jikite kwenye hoja, acha kuruka ruka kama mtoto.
Hivi kuna tofauti gani kati ya barabara yenye kona na iliyo nyooka (naona ngoja nitumie lugha nyepesi). Unachotuonesha hapo ni fly`over au barabara ya juu yenye kona ambayo kiufundi haina tofauti yoyote na ile ya UBUNGO au TAZARA.

Halafu lingine unavyoongea na encyclopedic graduate or learned guy kama mimi LAZIMA uwe makini sana, maana kutumia misamiati ya kitaalam na kitaaluma ni kama kupiga chafya vile, it's out of our control. Misamiati inatoka tu kichwani yenyewe. Sasa kwa wewe mwenye elimu zile za kiwango cha kawaida huwa inawapa ugumu sana. Mnaanza kukazia fikira misamiati badala mada (subject matter) husika. Sasa hapo ni shida. Anyways I'll try to use "plain and layman's phrases as much as I can" so as we sail in the same boat.
 
Naona mnadhani tulipata uhuru na tukaweza kujenga mashirika yote ya E.A.C 'from scratch'. Mkoloni aliwai mbele yetu hilo wazo la soko huru la E.A na tulirithi 'structures' nyingi za muungano wa E.A. kutoka kwake. Hivi hamjajiuliza ilikuwaje tukawa na sarafu moja Afrika mashariki miaka mingi tu kabla ya kupata uhuru? E.A.Airways ilianza kazi rasmi 1st January 1946, someni kuhusu hayo hapa. THE EAST AFRICAN AIRWAYS(1946) thisdayes naona unapenda kusoma vitabu. Maximilian Haller: The E.A.C. and the difference between..... Bofya hapo usome kitabu cha Maximilian Haller: The E.A.C. and the difference between theory and practise based on the example of free movement of goods and services. Hapo chini utapata references ya vitabu zaidi ya 20 kuhusu ushirikiano wa nchi za Afrika mashariki na mashirika husika kabla ya uhuru. Zisome kama ungependa kujua kwa undani historia ya E.A.
Inaonekana hizi links unazozipost huzisomi au huelewi kinachoandikwa. East Africa Community ilianzishwa 1967, baada ya hizi nchi tatu kupata uhuru na kila nchi kuwa na serikali na rais wake. Wewe unachozungumza ni kitu kilichokua kinajulikana kama East Africa kama nchi, kumbuka kwamba kuanzia 1884 Kenya na Uganda zilipewa waingereza, kuanzia hapo zikajulikana kama East Afrika(British), Waingereza walizitawala kama nchi moja kwa jina la east Africa, ndio wakaanzisha East Africa Airline, currency, postal na jeshi, Tanzania haikuwepo kwa sababu ilikua chini ya wajerumani(Germany east Africa).

Baada ya vitakuu ya kwanza Tanzania pia ikawa chini ya Uingereza kwa hiyo ikaingizwa katika hiyo miradi yote ikiwa kama nchini ya serikali moja chini ya Mfalmรจ wa Uingereza. Kwa kifupi kabla ya 1967 hapakuwa na Community inayoitwa East Afrika, kilichokuwepo ni East African territory iliyokuwa na utawala mmoja.
 
joto la jiwe sina muda wa ubishi wa kipuuzi. Nimejaribu kukufafanulia kidogo kwa kiswahili. Link nilizokuekea hapo juu zinajieleza vizuri. Unabisha kwa kutumia maneno unayoyajua wewe mwenyewe wakati historia huwa haibadiliki. Kama kiingereza kinakukanganya tafuta tafsiri yake kwa kiswahili.
 
Msee unahepa! Au unaenda kwenye website ya TBC for more info
 
Nimekuachia kazi ya ziada jombaa una vitabu vingi vya kusoma. Nipo kwenye ule uzi wa sportpesa na stadium ya Tz, najua ume'boeka' baada ya kukosa mtu wa kujibizana naye. [emoji1]
 
Ahaaa haaa haaa

Jikite kwenye hoja, acha kuruka ruka kama mtoto.
Hivi kuna tofauti gani kati ya barabara yenye kona na iliyo nyooka (naona ngoja nitumie lugha nyepesi). Unachotuonesha hapo ni fly`over au barabara ya juu yenye kona ambayo kiufundi haina tofauti yoyote na ile ya UBUNGO au TAZARA.

Halafu lingine unavyoongea na encyclopedic graduate or learned guy kama mimi LAZIMA uwe makini sana, maana kutumia misamiati ya kitaalam na kitaaluma ni kama kupiga chafya vile, it's out of our control. Misamiati inatoka tu kichwani yenyewe. Sasa kwa wewe mwenye elimu zile za kiwango cha kawaida huwa inawapa ugumu sana. Mnaanza kukazia fikira misamiati badala mada (subject matter) husika. Sasa hapo ni shida. Anyways I'll try to use "plain and layman's phrases as much as I can" so as we sail in the same boat.

Leo naona umejitutumua ukaandika paraghraph mbili, nimekuzoea mzee wa sentensi moja.
Nimekuambia mimi sio muhandisi wa barabara hivyo ukikariri misamiati na kuitupa tupa humu labda waje wahandisi akina NairobiWalker wakuumbue.
Kila mtu ana taaluma yake, hivy usikariri misamiati na kuona umesoma kuwazidi wote, njoo kwenye tasnia yangu na misamiati ya kukariri nikuweke sawa.
 
Nimekuachia kazi ya ziada jombaa una vitabu vingi vya kusoma. Nipo kwenye ule uzi wa sportpesa na stadium ya Tz, najua ume'boeka' baada ya kukosa mtu wa kujibizana naye. [emoji1]
Hahaa, hapana wewe sasa hivi nikikuona nitakua napita wima.. nazani ukishamaliza vijikazi vyako unaingia humu kuchezea sharubu za watu wazima na kumendea mendea .............! BTW yule mchina aliye kuita Nyani nasikia bado anatamba tu tao

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Leo naona umejitutumua ukaandika paraghraph mbili, nimekuzoea mzee wa sentensi moja.
Nimekuambia mimi sio muhandisi wa barabara hivyo ukikariri misamiati na kuitupa tupa humu labda waje wahandisi akina NairobiWalker wakuumbue.
Kila mtu ana taaluma yake, hivy usikariri misamiati na kuona umesoma kuwazidi wote, njoo kwenye tasnia yangu na misamiati ya kukariri nikuweke sawa.

Ahaaa haaa haaa

Huwa mimi BINAFSI napenda KUONGEA na WATU WENYE UELEWA, AKILI na WALIOSOMA.

Teh teh teh tihiii
 
Hahaa, hapana wewe sasa hivi nikikuona nitakua napita wima.. nazani ukishamaliza vijikazi vyako unaingia humu kuchezea sharubu za watu wazima na kumendea mendea .............! BTW yule mchina aliye kuita Nyani nasikia bado anatamba tu tao

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Dah, naona utaanza matusi hivi karibuni. Shida ni wengi wenu mnapenda kuwa 'spoonfed'. I once did anthropological research for a certain organisation for three years, most of which was in actual books and archives. Am fascinated by history and I can immerse myself in it for hours just for fun. Ila sikujiunga na Jf 'kushinda' mtu yeyote yule kwenye majibizano.
 
Good for you & keep it up, kuhusu kukutusi hapana hizo njaro sina hayo mambo ya colloh mwizi. Labda kama hujaelewa maana ya sharubu (Ndevu)
 
Sad lakin bora anatuambia ukwel,Jk hakuwahi kusema ukweli juu ya hili na kwann alikubali mikataba ya kijinga namna Iyo, inakera sana man,Hawa wazungu ni watu wa hatari sana kwa Africa hatujui tu

JK na Mkapa walikuwa wasanii tu na wezi wa hajabu. usikute wana share yao ndani ya hiyo gesi kwenda Ulaya.
 
joto la jiwe sina muda wa ubishi wa kipuuzi. Nimejaribu kukufafanulia kidogo kwa kiswahili. Link nilizokuekea hapo juu zinajieleza vizuri. Unabisha kwa kutumia maneno unayoyajua wewe mwenyewe wakati historia huwa haibadiliki. Kama kiingereza kinakukanganya tafuta tafsiri yake kwa kiswahili.
Tatizo ni uwezo wako ni mdogo sana wa kudadavua topics ngumu ngumu kama hizi, endelea na topics za udaku zisizohitaji references
 
Nimekuwekea articles, desertations na list ya vitabu karibia ishirini kuhusu hiyo historia ya ushikiano wa nchi za E.A na E.A Airways enzi hizo. Sina la ziada mheshimiwa.
 
Good for you & keep it up, kuhusu kukutusi hapana hizo njaro sina hayo mambo ya colloh mwizi. Labda kama hujaelewa maana ya sharubu (Ndevu)
Masharubu hata mbuzi dume anayo, nimeona umemeza maneno mengine nikajua umeanza zako. Alafu naona umeanza kumchokoza Colloh, sijui nimtag au vipi? [emoji1]
 
Back
Top Bottom