Spy Catcher: Kuna Ujumbe wa siri ulitolewa hapa na Dkt; Nchimbi kabla Kujiuzulu kwake. | Code +255

Thanks for the insights.
 
Nimesoma,ndani kuna maneno MBAKA badala ya MPAKA.
Nimeangalia pia utambulisho ambao utambulisho ambao ni Mr X tz,ukisemacho ni kweli wala siyo maoni.
 
The more nasoma title za hivyo vitabu, ndivyo napata shida kuielewa hiyo picha.

Hapo kuna kitabu kinaitwa "The Icarus Agenda"
Robert Rudlum ni mmoja wa waandishi mahiri kuwahi kutokea, nikiwa O-level he was by far my most favorite author.
Huo mpangilio wa vitabu uliwekwa uwe 'eye opener' ili tusiwe gizani kwa kinachendelea.
 
Unany'ata hatari mkuu
 
Robert Rudlum ni mmoja wa waandishi mahiri kuwahi kutokea, nikiwa O-level he was by far my most favorite author.
Huo mpangilio wa vitabu uliwekwa uwe 'eye opener' ili tusiwe gizani kwa kinachendelea.
Exactly, na ndio maana nasema hivi vitabu havikuwepo kwa bahati mbaya, ni ujumbe uliotolewa kwa watu wenye akili nyingi kujua kwamba mkisikia kajiuzulu basi mjue kalazimishwa.
 
Watanzania tuna vitabu vingi kutoka ugaibuni lakini bado tumeshindwa kua industrial society nk Sijui hivyo vitabu vinatuambia kua tuachane na mambo kua innovative nk
 
Watanzania tuna vitabu vingi kutoka ugaibuni lakini bado tumeshindwa kua industrial society nk Sijui hivyo vitabu vinatuambia kua tuachane na mambo kua innovative nk
Kuhusu industrial Society sio makosa yetu ni mfumo mbovu wa utawala wa nchi.
Binafsi naamini kabisa kama tukipata katiba kama hii iliyopo kwenye tovuti ya www.katibampya.com ambayo rasimu hiyo ni pendekezwa yenye muundo wa dola lenye mibimili minne ya kitaifa, Yaani.
1. Baraza la usimamizi wa taifa
2. Serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania
3. Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania
4. Mahakama ya jamhuri ya muungano wa tanzania

Muundo huu unafunga mianya yote ya ufisadi, rushwa na uonevu na inaibua maendeleo endelevu, ukweli, uwajibikaji na usimamizi madhubiti wa misingi yote ya taifa letu.

Kama utakuwa tayari kusoma katiba hiyo basi Baraza la usimamizi wa taifa limetajwa kwenye ibara ya 98 mbaka 116 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…