Spy Catcher: Kuna Ujumbe wa siri ulitolewa hapa na Dkt; Nchimbi kabla Kujiuzulu kwake. | Code +255

Ndugu katiba ya Singapore aijafanya chochote kuifanya Singapore kua moja ya Asian Tiger .. kuna mambo muhimu zaidi ya ili ulilotaja. Singapore hamna wapingaji wa kila kitu bali kuna washauri na watekelezaji basi
Soma tena andiko langu mzee, pia je kama wasingerikuwa na katiba iliyowapa utulivu huo je nini kingetokea, pia sikuishia kwenye katiba ninesema na sheria pia na mambo mengine, katiba pekee haitoshi isipokuwa katiba ndio inaweka miongozo wa mambo mengine yote.
 
Kijana nimekusoma na kukuelewa ndiyo nikajibu hivyo...Hizi kelele za sijui Katiba Mpya nk ni swala la wanaharakati watakao madaraka nk. Tunahitaji kujikita kwenye kuzalisha watu wenye weledi,innovative nk..Kelele za Siasa zinatuchelewesha sana pia tumakalilishwa na hivyo vitabu kua Siasa ndiyo kila kitu jambo lisilo kweli.
 
Hongera mkuu kwa uchambuzi mahiri,haya yote seems watu wawili wenye upeo wa mambo walitumia maarifa yao kuwasilisha/kudokeza juu ya mambo yalivyo japo hawakuwa na uhuru wa kuyasema bayana kwa umma.
Wacha wenye nchi wale nchi sisi wengine tuendelee kuijenga kwa kodi tunazochangia.
 
Baada ya kutuma ujumbe akuzubaa stanza badala akimbize bawa lake kama kunguru muoga.
 
Maswali ni mengi. "Yuko wapi Dkt; Nchimbi...?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…