Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 872
Waandamanaji nchini Sri Lanka wamefanikiwa kuingia Ikulu na kufika mpaka chumbani kwa Rais. Waandamanaji hao wamerusha picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wakiwa wamelala kitandani kwa Rais huku wengine wakiwa sebuleni wakiangalia 'breaking news' ya maandamano yao.
View attachment 2286097
Kaenda kula sikukuu ya IddKwani raisi kaenda wapi?
Endeleeni kujazana upepo tu kuwa ipo siku mtafanya hivyo kulala kwenye vitanda vya Ikulu.na ndoto ya mazezeta ya ccm ni kuongeza tozo na kupatisha bei ya mafuta 2025 lazima mnye huku kanda ya ziwa hata mpige pushap mpaka mtajamba cheche kura no.
Kaenda kwao.Kwani raisi kaenda wapi?
Wewe unayeongozwa na zezeta akili yako ina hali gani?na ndoto ya mazezeta ya ccm ni kuongeza tozo na kupatisha bei ya mafuta 2025 lazima mnye huku kanda ya ziwa hata mpige pushap mpaka mtajamba cheche kura no.
Huyo hapo ni rais wa nchi hiyo jinsi alivyo toroshwa kutoka ikulu na kwenda mafichoni.Waandamanaji nchini Sri Lanka wamefanikiwa kuingia Ikulu na kufika mpaka chumbani kwa Rais. Waandamanaji hao wamerusha picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wakiwa wamelala kitandani kwa Rais huku wengine wakiwa sebuleni wakiangalia 'breaking news' ya maandamano yao.
View attachment 2286097
Mtazame jinsi alivyotoroshwa na walinzi wakeKwani raisi kaenda wapi?
Sukuma gang unateseka ukiwa mitaa gani hapo burigi?Chadema miaka yote hii ndio imekua ndoto yao.
Sukuma gangEndeleeni kujazana upepo tu kuwa ipo siku mtafanya hivyo kulala kwenye vitanda vya Ikulu.
Twendeni tukalime vijana wenzangu.