econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Endeleeni kujazana upepo tu kuwa ipo siku mtafanya hivyo kulala kwenye vitanda vya Ikulu.
Twendeni tukalime vijana wenzangu.
Punguza dharau. Usijifanye Mungu. Nyie so ndio mlikuwa mnaimba Magufuli atawale milele Leo yupo wapi?. Nyie mlichobakiza ni kukopa na tozo . Maisha ni magumu Wala hamjali. Ipo siku yenu.