Matokeo ya nchi kufilisikaWaandamanaji nchini Sri Lanka wamefanikiwa kuingia Ikulu na kufika mpaka chumbani kwa Rais. Waandamanaji hao wamerusha picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wakiwa wamelala kitandani kwa Rais huku wengine wakiwa sebuleni wakiangalia 'breaking news' ya maandamano yao.
View attachment 2286097
Mambo haya hajafanyiki kwa vyama siasa ni watu wenyewe tu wanaamuaChadema miaka yote hii ndio imekua ndoto yao.
Hatutaki kwenda huko Acha tuwe machawa,huoni machawa wanavyotusua,wanakuwa mpaka wageeni walikwa shuguli za kitaifaEndeleeni kujazana upepo tu kuwa ipo siku mtafanya hivyo kulala kwenye vitanda vya Ikulu.
Twendeni tukalime vijana wenzangu.
Asingetoka mtu hai humoBongo hii ingekua n kilio Kwa families
Kuanzia mwezi wa kumi naanza rasmi kuwa kupe sio chawa tena.Hatutaki kwenda huko Acha tuwe machawa,huoni machawa wanavyotusua,wanakuwa mpaka wageeni walikwa shuguli za kitaifa
Ova
Una ushahidi?Chadema miaka yote hii ndio imekua ndoto yao.
Jibu mujaarab kabisa, akirudi wataondokaKaenda kula sikukuu ya Idd
Sio sifa kuua watu.Asingetoka mtu hai humo
Hata kufika wangefikaje wangekuwa maiti wote Langoni tu la ikulu
Mambo yakiwa magumu kiasi hicho, hata wanaoshika bunduki hugeuka, maana hawajui hatma yao, kwani anaewaamrisha amefilisika na hana uwezo wa kulipa hata mshahara,Asingetoka mtu hai humo
Hata kufika wangefikaje wangekuwa maiti wote Langoni tu la ikulu
HeeUna ushahidi?
Bongo hii ingekua n kilio Kwa families