Mgosi Mke anauma sana! Kiufupi tu kifo cha mke na hasa akiwa ni wife material, kinauma kuliko hata cha mtoto, ndugu au mzazi!Sio tajiri ila walau alikuwa na kitu kwa ajili ya wanae.. Lakini kajimaliza kwa sababu nyepesi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ujue jins gan wanaume tulivyo na upendoMara nyingi inakuaga, mke akitangulia mume hachukui round hubaki wakiteseka....
Apumzike kwa amani kamanda, pole kwa familia.
🤣Beee ndiyo umeamua kutusema wajukuu wa Mkwawa indirect
ilo nikweli kabisa, wanawake Wana mchango mkubwa kwenye maisha na maendeleo yetu wanaume , Kuna mshkaji wangu miaka iyo alikuwa akipata hela ye kula bata, bata nayeye,Bali? Mzee mwenzangu unajua kuna wanaume hawawez kusimama bila wake zao? Hata kama ana kipato!
......na hii ndio mbaya zaidi. Inawezekana alizungukwa na watu waliokuwa wanamuongelea masuala negative muda wote.mbaya zaidi akakosa hata faraja ya walimwengu
Naamini mtu anayejua anakuwa amepatwa na matatizo/u ugonjwa ya kiakiliSio tajiri ila walau alikuwa na kitu kwa ajili ya wanae.. Lakini kajimaliza kwa sababu nyepesi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sad......na hii ndio mbaya zaidi. Inawezekana alizungukwa na watu waliokuwa wanamuongelea masuala negative muda wote.
🥰🥰🥰 hakika mkuu....! Bila sisi nyie mnavurunda sanailo nikweli kabisa, wanawake Wana mchango mkubwa kwenye maisha na maendeleo yetu wanaume , Kuna mshkaji wangu miaka iyo alikuwa akipata hela ye kula bata, bata nayeye,
ilikuwa maskani yake enzi izo FOUR WAY bar pale mwenge au CHAGABITE, ukimwambia kujenga mnagombana, alivyokuja kuoa jamaa alibadilika na alipiga hatua kubwa kimaisha, walinunua kiwanja na mkewe, mashamba, mambo ya starehe kwa sana akapunguza, aisee jamaa umwambii kitu kwa mkewe, mwenyewe anamuita mkewe CAG
Ooh ok ok sawa nimekupata vemaHuwa mtu akijiua baadhi ya dini ikiwemo RC wanatoa hukumu kabisa, kwamba yeye ni wa motoni, hivyo hawamfanyii ibada/misa
Lakini hapa nimeona tofauti maana unasema katikista aliongea kwenye ibada. nimenukuu hapa chini
'Akizungumza katika ibada hiyo, Katekista wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria Kipawa, Silivester Sadick alisema kifo hicho ni funzo kubwa kwa watu wote na kinaonyesha wazi hakuna binadamu mkubwa mbele ya Mungu.'
Tupo tofauti ninaweza kuona wazo la kwako ni baya ila wewe binafsi unaliona zuriPamoja na yote niseme wazi tu kuwa mlikuwa mnabishana au mnajadili kitu cha kijinga sana tena sana...samahani kama nimekuvunjia heshima.
Naamini mtu anayejua anakuwa amepatwa na matatizo/u ugonjwa ya kiakili
kwa wadaiwa kama nimeona jina lako!