SSH, Kiongozi anayetenda mazuri asubuhi ikifika jioni anavuruga kazi yake mwenyewe

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi alifanikiwa kuzikong'a nyoyo za jamii kwa kiasi kikubwa mno, na kuleta matumaini makubwa. Lakini leo sijui ni kitu gani kimejiri, mambo yamekuwa vice-versa, total confusion, hofu nchini, utekaji ambao haujawahi kufikia viwango hivi , sijui ni kitu gani kimemtokea mama yetu. It seems SSH wa April 2021 siyo SSH wa June 2025. SSH wa kipindi kile ni very empathetic, Sympathetic, huyu wa sasa anaoneka as if ni "Don't care"!. Sijui ni nani alimpa ushauri wa kujifanya bandidu wakati haiba yake na pengine asili yake siyo hiyo!- Ukiiga asili ambayo si yako lazima ukwame!.
Au sijui kipindi kile alikuwa hajakizoea kiti kwa hiyo utu wake ulikuwa mwingi, ila kwa sasa kakizoea kiti na hivyo power corrupts and absolute power corrupts absolutely?

Kiufupi mambo anayofanya SSH ni as if mtu anayefanya mambo mazuri asubuhi ikifika jioni anaharibu kazi yake mwenyewe, nitaeleza.

1. Alipoingia madarakani aliagiza kesi za watu waliobambikiziwa kesi zifutwe.
Hili lilikuwa jambo moja zuri sana, zuri mno, yaani hapa alilitendea Taifa haki kubwa sana. Ni katika kipindi hiki kesi za watu kama Mdude Nyagali zilifutwa, watu kibao waliokuwa wamewekwa ndani katika utawala uliopita kwa kesi za kubambika waliachiwa huru (Tuiite hiyo Asubuhi). Sasa Jioni ambayo ndiyo leo hii mambo yamegeuka si tu kwamba ubambikiziaji kesi upo, leo watu wanabambikiziwa zile kubwakubwa, Ugaidi, Uhaini n.k

2. Alipoingia madarakani alikemea uonevu wa jeshi la polisi na aliunda tume jinai kuchunguza maonevu wanayokumbana nayo wananchi katika vyombo vya dola (Tuiite hiyo Asubuhi). Jioni yake ambayo ni leo uonevu wa vyombo vya dola umezidi hata mara 10, watu wanatekwa mchana kweupe na usiku, maiti zinaokotwa, majaribio ya mauaji ya wazi hatusikii kauli ya SSH akijitokeza na kuagiza waziwazi kuwa anataka hayo mambo yakome na hata kuwawajibisha watu wemye dhamana kwa kushindwa kudhibiti hiyo hali nchini. Kiufupi image anayoportray ni kama vile I DON'T CARE.

MWISHO
Nimalizie kupitia mafunzo kutoka katika Qur'an tukufu.

Qur'an tukufu(16:92) inasema kuwa tusiwe kama yule mwanamke msusi ambaye asubuhi anasuka ukili wake vizuri, ikifika jioni anaanza kufumuafumua kazi yake mwenyewe, Mwenyezi Mungu akawataka waumini katika aya hiyo waheshimu VIAPO vyao wanavyokuwa wamekula.

Samia akiifanyia kazi aya hii hatoharibu kazi yake nzuri anayoifanya asubuhi pindi ikifika jioni, na ataheshimu pia kiapo alichokula cha kulinda, kuhifadhi na kutetea katiba ya Jamhuri ya muungano ambayo ndani yake inataka HAKI za Watu ikiwemo ya kuishi na FAIRNESS katika mambo ya nchi vinatamalaki katika Jamhuri.
 
Alkua anafanya maigizo,Huyu bibi hajawah kua mwema…..No Reforms No Election.
 
Watanzania tunaojitambua tulijua kabisa huyu Hana uwezo wa kuongoza.wewe ulishaona wapi mtu ambaye amepata mserereko wa madaraka akawa na uwezo wa kuongoza?Mfano Kwa Dar es salaam Kuna miradi ya barabara Ile ya mwendokasi iliachwa na magufuli ambayo ilitakiwa iishe 2023ya tegeta Hadi ubungo kupitia mawasiliano,mwingine ni kutoka mwenge hado Morocco,mwingine upanuzi wa barabara ya njia nane kutoka kimara Hadi ubungo na mingine mingi tu imemshinda huyu mpata mserereko wa madaraka NO REFORM NO ELECTION
 
Huyu Hangaya hayo aliyofanya "asubuhi" alikuwa anaigiza.
Anayofanya sasa ndiyo rangi yake halisi.
 
Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi alifanikiwa kuzikong'a nyoyo za jamii kwa kiasi kikubwa mno, na kuleta matumaini makubwa. Lakini leo sijui ni kitu gani kimejiri, mambo yamekuwa vice-versa, total confusion, hofu nchini, utekaji ambao haujawahi kufikia viwango hivi , sijui ni kitu kimemtokea mama yetu. It seems SSH wa April 2021 siyo SSH wa June 2025. SSH wa kipindi kile ni very empathetic, Sympathetic, huyu wa sasa anaoneka as if ni "Don't care"!. Sijui ni nani alimpa ushauri wa kujifanya bandidu wakati haiba yake na pengine asili yake siyo hiyo!- Ukiiga asili ambayo si yako lazima ukwame!.
Au sijui kipindi kile alikuwa hajakizoea kiti kwa hiyo utu wake ulikuwa mwingi, ila kwa sasa kakizoea kiti na hivyo power corrupts and absolute power corrupts absolutely?

Kiufupi mambo anayofanya SSH ni as if mtu anayefanya mambo mazuri asubuhi ikifika jioni anaharibu kazi yake mwenyewe, nitaeleza.

1. Alipoingia madarakani aliagiza kesi za watu waliobambikiziwa kesi zifutwe.
Hili lilikuwa jambo moja zuri sana, zuri mno, yaani hapa alilitendea Taifa haki kubwa sana. Ni katika kipindi hiki kesi za watu kama Mdude Nyagali zilifutwa, watu kibao waliokuwa wamewekwa ndani katika utawala uliopita kwa kesi za kubambika waliachiwa huru (Tuiite hiyo Asubuhi). Sasa Jioni ambayo ndiyo leo hii mambo yamegeuka si tu kwamba ubambikiziaji kesi upo, leo watu wanabambikiziwa zile kubwakubwa, Ugaidi, Uhaini n.k

2. Alipoingia madarakani alikemea uonevu wa jeshi la polisi na aliunda tume jinai kuchunguza maonevu wanayokumbana nayo wananchi katika vyombo vya dola (Tuiite hiyo Asubuhi). Jioni yake ambayo ni leo uonevu wa vyombo vya dola umezidi hata mara 10, watu wanatekwa mchana kweupe na usiku, maiti zinaokotwa, majaribio ya mauaji ya wazi hatusikii kauli ya SSH akijitokeza na kuagiza waziwazi kuwa anataka hayo mambo yakome na hata kuwawajibisha watu wemye dhamana kwa kushindwa kudhibiti hiyo hali nchini. Kiufupi image anayoportray ni kama vile I DON'T CARE.

MWISHO
Nimalizie kupitia mafunzo kutoka katika Qur'an tukufu.

Qur'an tukufu(16:92) inasema kuwa tusiwe kama yule mwanamke msusi ambaye asubuhi anasuka ukili wake vizuri, ikifika jioni anaanza kufumuafumua kazi yake mwenyewe, Mwenyezi Mungu akawataka waumini katika aya hiyo waheshimu VIAPO vyao wanavyokuwa wamekula.

Samia akiifanyia kazi aya hii hatoharibu kazi yake nzuri anayoifanya asubuhi pindi ikifika jioni, na ataheshimu pia kiapo alichokula cha kulinda, kuhifadhi na kutetea Jamhuri ya muungano ambayo ndani yake inataka HAKI za Watu ikiwemo ya kuishi na FAIRNESS katika mambo ya nchi vinatamalaki katika Jamhuri.
Ndiyo maana sisi wananchi tunadai reform. Tunajua kuwa kila kiongozi, mwanzoni anakuwa na nia nzuri sana, lakini akishalewa madaraka anabadilika. Kungekuwa na sheria nzuri haya yasingetokea kwa kiwango hiki kwa sababu asingeachiwa afanye atakavyo.
 
Binafsi nilkuwa namtetea sana Samia miaka ya 2021, na nilimpenda, Samia ange mantain ile situation ya kutawala Kwa haki huu mwaka angeshinda Kwa kishindo,ila kwakweli amegeuka
 
Mambo ya sijui kuteka siyo asili yake hatuyataki, hatuutaki utekaji full stop. Na wahusika wasakwe na wawajibishwe kisheria hata kama ni yeye mwenyewe basi atawajibika.
 
Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi alifanikiwa kuzikong'a nyoyo za jamii kwa kiasi kikubwa mno, na kuleta matumaini makubwa. Lakini leo sijui ni kitu gani kimejiri, mambo yamekuwa vice-versa, total confusion, hofu nchini, utekaji ambao haujawahi kufikia viwango hivi , sijui ni kitu kimemtokea mama yetu. It seems SSH wa April 2021 siyo SSH wa June 2025. SSH wa kipindi kile ni very empathetic, Sympathetic, huyu wa sasa anaoneka as if ni "Don't care"!. Sijui ni nani alimpa ushauri wa kujifanya bandidu wakati haiba yake na pengine asili yake siyo hiyo!- Ukiiga asili ambayo si yako lazima ukwame!.
Au sijui kipindi kile alikuwa hajakizoea kiti kwa hiyo utu wake ulikuwa mwingi, ila kwa sasa kakizoea kiti na hivyo power corrupts and absolute power corrupts absolutely?

Kiufupi mambo anayofanya SSH ni as if mtu anayefanya mambo mazuri asubuhi ikifika jioni anaharibu kazi yake mwenyewe, nitaeleza.

1. Alipoingia madarakani aliagiza kesi za watu waliobambikiziwa kesi zifutwe.
Hili lilikuwa jambo moja zuri sana, zuri mno, yaani hapa alilitendea Taifa haki kubwa sana. Ni katika kipindi hiki kesi za watu kama Mdude Nyagali zilifutwa, watu kibao waliokuwa wamewekwa ndani katika utawala uliopita kwa kesi za kubambika waliachiwa huru (Tuiite hiyo Asubuhi). Sasa Jioni ambayo ndiyo leo hii mambo yamegeuka si tu kwamba ubambikiziaji kesi upo, leo watu wanabambikiziwa zile kubwakubwa, Ugaidi, Uhaini n.k

2. Alipoingia madarakani alikemea uonevu wa jeshi la polisi na aliunda tume jinai kuchunguza maonevu wanayokumbana nayo wananchi katika vyombo vya dola (Tuiite hiyo Asubuhi). Jioni yake ambayo ni leo uonevu wa vyombo vya dola umezidi hata mara 10, watu wanatekwa mchana kweupe na usiku, maiti zinaokotwa, majaribio ya mauaji ya wazi hatusikii kauli ya SSH akijitokeza na kuagiza waziwazi kuwa anataka hayo mambo yakome na hata kuwawajibisha watu wemye dhamana kwa kushindwa kudhibiti hiyo hali nchini. Kiufupi image anayoportray ni kama vile I DON'T CARE.

MWISHO
Nimalizie kupitia mafunzo kutoka katika Qur'an tukufu.

Qur'an tukufu(16:92) inasema kuwa tusiwe kama yule mwanamke msusi ambaye asubuhi anasuka ukili wake vizuri, ikifika jioni anaanza kufumuafumua kazi yake mwenyewe, Mwenyezi Mungu akawataka waumini katika aya hiyo waheshimu VIAPO vyao wanavyokuwa wamekula.

Samia akiifanyia kazi aya hii hatoharibu kazi yake nzuri anayoifanya asubuhi pindi ikifika jioni, na ataheshimu pia kiapo alichokula cha kulinda, kuhifadhi na kutetea Jamhuri ya muungano ambayo ndani yake inataka HAKI za Watu ikiwemo ya kuishi na FAIRNESS katika mambo ya nchi vinatamalaki katika Jamhuri.
Haahaa Mimi nakumbuka tu 4R siku hizi hata hazisemwi tena, duh siasa🤣🤣
 
Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi alifanikiwa kuzikong'a nyoyo za jamii kwa kiasi kikubwa mno, na kuleta matumaini makubwa. Lakini leo sijui ni kitu gani kimejiri, mambo yamekuwa vice-versa, total confusion, hofu nchini, utekaji ambao haujawahi kufikia viwango hivi , sijui ni kitu kimemtokea mama yetu. It seems SSH wa April 2021 siyo SSH wa June 2025. SSH wa kipindi kile ni very empathetic, Sympathetic, huyu wa sasa anaoneka as if ni "Don't care"!. Sijui ni nani alimpa ushauri wa kujifanya bandidu wakati haiba yake na pengine asili yake siyo hiyo!- Ukiiga asili ambayo si yako lazima ukwame!.
Au sijui kipindi kile alikuwa hajakizoea kiti kwa hiyo utu wake ulikuwa mwingi, ila kwa sasa kakizoea kiti na hivyo power corrupts and absolute power corrupts absolutely?

Kiufupi mambo anayofanya SSH ni as if mtu anayefanya mambo mazuri asubuhi ikifika jioni anaharibu kazi yake mwenyewe, nitaeleza.

1. Alipoingia madarakani aliagiza kesi za watu waliobambikiziwa kesi zifutwe.
Hili lilikuwa jambo moja zuri sana, zuri mno, yaani hapa alilitendea Taifa haki kubwa sana. Ni katika kipindi hiki kesi za watu kama Mdude Nyagali zilifutwa, watu kibao waliokuwa wamewekwa ndani katika utawala uliopita kwa kesi za kubambika waliachiwa huru (Tuiite hiyo Asubuhi). Sasa Jioni ambayo ndiyo leo hii mambo yamegeuka si tu kwamba ubambikiziaji kesi upo, leo watu wanabambikiziwa zile kubwakubwa, Ugaidi, Uhaini n.k

2. Alipoingia madarakani alikemea uonevu wa jeshi la polisi na aliunda tume jinai kuchunguza maonevu wanayokumbana nayo wananchi katika vyombo vya dola (Tuiite hiyo Asubuhi). Jioni yake ambayo ni leo uonevu wa vyombo vya dola umezidi hata mara 10, watu wanatekwa mchana kweupe na usiku, maiti zinaokotwa, majaribio ya mauaji ya wazi hatusikii kauli ya SSH akijitokeza na kuagiza waziwazi kuwa anataka hayo mambo yakome na hata kuwawajibisha watu wemye dhamana kwa kushindwa kudhibiti hiyo hali nchini. Kiufupi image anayoportray ni kama vile I DON'T CARE.

MWISHO
Nimalizie kupitia mafunzo kutoka katika Qur'an tukufu.

Qur'an tukufu(16:92) inasema kuwa tusiwe kama yule mwanamke msusi ambaye asubuhi anasuka ukili wake vizuri, ikifika jioni anaanza kufumuafumua kazi yake mwenyewe, Mwenyezi Mungu akawataka waumini katika aya hiyo waheshimu VIAPO vyao wanavyokuwa wamekula.

Samia akiifanyia kazi aya hii hatoharibu kazi yake nzuri anayoifanya asubuhi pindi ikifika jioni, na ataheshimu pia kiapo alichokula cha kulinda, kuhifadhi na kutetea katiba ya Jamhuri ya muungano ambayo ndani yake inataka HAKI za Watu ikiwemo ya kuishi na FAIRNESS katika mambo ya nchi vinatamalaki katika Jamhuri.
Madaraka yamemlevya sasa hivi mikono yake imelowa damu za Watanganyika wasiokuwa na hatia. Ila ajue malipo ni hapa hapa duniani.
 
Attachments

  • 20240908_151114.jpg
    20240908_151114.jpg
    79.6 KB · Views: 28
Huyu mama inaelekea hakuelewa wito wake wa kinyakati. Huenda yeye alitakiwa airudishe nchi ktk msitari wa haki baada ya dhulma nyingi ktk utawala wa awamu ya tano, lakini badala yake yeye kafanya udhalimu mkubwa zaidi kiasi kwamba awamu ya tano inaonekana ni cha mtoto
 
Back
Top Bottom