Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Huyu Hangaya hayo aliyofanya "asubuhi" alikuwa anaigiza.
Anayofanya sasa ndiyo rangi yake halisi.
Ndiyo maana sisi wananchi tunadai reform. Tunajua kuwa kila kiongozi, mwanzoni anakuwa na nia nzuri sana, lakini akishalewa madaraka anabadilika. Kungekuwa na sheria nzuri haya yasingetokea kwa kiwango hiki kwa sababu asingeachiwa afanye atakavyo.Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi alifanikiwa kuzikong'a nyoyo za jamii kwa kiasi kikubwa mno, na kuleta matumaini makubwa. Lakini leo sijui ni kitu gani kimejiri, mambo yamekuwa vice-versa, total confusion, hofu nchini, utekaji ambao haujawahi kufikia viwango hivi , sijui ni kitu kimemtokea mama yetu. It seems SSH wa April 2021 siyo SSH wa June 2025. SSH wa kipindi kile ni very empathetic, Sympathetic, huyu wa sasa anaoneka as if ni "Don't care"!. Sijui ni nani alimpa ushauri wa kujifanya bandidu wakati haiba yake na pengine asili yake siyo hiyo!- Ukiiga asili ambayo si yako lazima ukwame!.
Au sijui kipindi kile alikuwa hajakizoea kiti kwa hiyo utu wake ulikuwa mwingi, ila kwa sasa kakizoea kiti na hivyo power corrupts and absolute power corrupts absolutely?
Kiufupi mambo anayofanya SSH ni as if mtu anayefanya mambo mazuri asubuhi ikifika jioni anaharibu kazi yake mwenyewe, nitaeleza.
1. Alipoingia madarakani aliagiza kesi za watu waliobambikiziwa kesi zifutwe.
Hili lilikuwa jambo moja zuri sana, zuri mno, yaani hapa alilitendea Taifa haki kubwa sana. Ni katika kipindi hiki kesi za watu kama Mdude Nyagali zilifutwa, watu kibao waliokuwa wamewekwa ndani katika utawala uliopita kwa kesi za kubambika waliachiwa huru (Tuiite hiyo Asubuhi). Sasa Jioni ambayo ndiyo leo hii mambo yamegeuka si tu kwamba ubambikiziaji kesi upo, leo watu wanabambikiziwa zile kubwakubwa, Ugaidi, Uhaini n.k
2. Alipoingia madarakani alikemea uonevu wa jeshi la polisi na aliunda tume jinai kuchunguza maonevu wanayokumbana nayo wananchi katika vyombo vya dola (Tuiite hiyo Asubuhi). Jioni yake ambayo ni leo uonevu wa vyombo vya dola umezidi hata mara 10, watu wanatekwa mchana kweupe na usiku, maiti zinaokotwa, majaribio ya mauaji ya wazi hatusikii kauli ya SSH akijitokeza na kuagiza waziwazi kuwa anataka hayo mambo yakome na hata kuwawajibisha watu wemye dhamana kwa kushindwa kudhibiti hiyo hali nchini. Kiufupi image anayoportray ni kama vile I DON'T CARE.
MWISHO
Nimalizie kupitia mafunzo kutoka katika Qur'an tukufu.
Qur'an tukufu(16:92) inasema kuwa tusiwe kama yule mwanamke msusi ambaye asubuhi anasuka ukili wake vizuri, ikifika jioni anaanza kufumuafumua kazi yake mwenyewe, Mwenyezi Mungu akawataka waumini katika aya hiyo waheshimu VIAPO vyao wanavyokuwa wamekula.
Samia akiifanyia kazi aya hii hatoharibu kazi yake nzuri anayoifanya asubuhi pindi ikifika jioni, na ataheshimu pia kiapo alichokula cha kulinda, kuhifadhi na kutetea Jamhuri ya muungano ambayo ndani yake inataka HAKI za Watu ikiwemo ya kuishi na FAIRNESS katika mambo ya nchi vinatamalaki katika Jamhuri.
Binafsi nilkuwa namtetea sana Samia miaka ya 2021, na nilimpenda, Samia ange mantain ile situation ya kutawala Kwa haki huu mwaka angeshinda Kwa kishindo,ila kwakweli amegeuka
Haahaa Mimi nakumbuka tu 4R siku hizi hata hazisemwi tena, duh siasa🤣🤣Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi alifanikiwa kuzikong'a nyoyo za jamii kwa kiasi kikubwa mno, na kuleta matumaini makubwa. Lakini leo sijui ni kitu gani kimejiri, mambo yamekuwa vice-versa, total confusion, hofu nchini, utekaji ambao haujawahi kufikia viwango hivi , sijui ni kitu kimemtokea mama yetu. It seems SSH wa April 2021 siyo SSH wa June 2025. SSH wa kipindi kile ni very empathetic, Sympathetic, huyu wa sasa anaoneka as if ni "Don't care"!. Sijui ni nani alimpa ushauri wa kujifanya bandidu wakati haiba yake na pengine asili yake siyo hiyo!- Ukiiga asili ambayo si yako lazima ukwame!.
Au sijui kipindi kile alikuwa hajakizoea kiti kwa hiyo utu wake ulikuwa mwingi, ila kwa sasa kakizoea kiti na hivyo power corrupts and absolute power corrupts absolutely?
Kiufupi mambo anayofanya SSH ni as if mtu anayefanya mambo mazuri asubuhi ikifika jioni anaharibu kazi yake mwenyewe, nitaeleza.
1. Alipoingia madarakani aliagiza kesi za watu waliobambikiziwa kesi zifutwe.
Hili lilikuwa jambo moja zuri sana, zuri mno, yaani hapa alilitendea Taifa haki kubwa sana. Ni katika kipindi hiki kesi za watu kama Mdude Nyagali zilifutwa, watu kibao waliokuwa wamewekwa ndani katika utawala uliopita kwa kesi za kubambika waliachiwa huru (Tuiite hiyo Asubuhi). Sasa Jioni ambayo ndiyo leo hii mambo yamegeuka si tu kwamba ubambikiziaji kesi upo, leo watu wanabambikiziwa zile kubwakubwa, Ugaidi, Uhaini n.k
2. Alipoingia madarakani alikemea uonevu wa jeshi la polisi na aliunda tume jinai kuchunguza maonevu wanayokumbana nayo wananchi katika vyombo vya dola (Tuiite hiyo Asubuhi). Jioni yake ambayo ni leo uonevu wa vyombo vya dola umezidi hata mara 10, watu wanatekwa mchana kweupe na usiku, maiti zinaokotwa, majaribio ya mauaji ya wazi hatusikii kauli ya SSH akijitokeza na kuagiza waziwazi kuwa anataka hayo mambo yakome na hata kuwawajibisha watu wemye dhamana kwa kushindwa kudhibiti hiyo hali nchini. Kiufupi image anayoportray ni kama vile I DON'T CARE.
MWISHO
Nimalizie kupitia mafunzo kutoka katika Qur'an tukufu.
Qur'an tukufu(16:92) inasema kuwa tusiwe kama yule mwanamke msusi ambaye asubuhi anasuka ukili wake vizuri, ikifika jioni anaanza kufumuafumua kazi yake mwenyewe, Mwenyezi Mungu akawataka waumini katika aya hiyo waheshimu VIAPO vyao wanavyokuwa wamekula.
Samia akiifanyia kazi aya hii hatoharibu kazi yake nzuri anayoifanya asubuhi pindi ikifika jioni, na ataheshimu pia kiapo alichokula cha kulinda, kuhifadhi na kutetea Jamhuri ya muungano ambayo ndani yake inataka HAKI za Watu ikiwemo ya kuishi na FAIRNESS katika mambo ya nchi vinatamalaki katika Jamhuri.
Wenye akili tuliuona uwezo wake mdogo pale tu alipookota urais! sijui wenzetu mlishawishika na kipi hasa!Siyo wewe tu aliyekuwa akimtetea wengi tulifanya hivyo.
Mimi wakati anaingia madarakani niliwahi kuwaambia watu akitoka mama aingie tena mmama, lakini dahSiyo wewe tu aliyekuwa akimtetea wengi tulifanya hivyo.
Madaraka yamemlevya sasa hivi mikono yake imelowa damu za Watanganyika wasiokuwa na hatia. Ila ajue malipo ni hapa hapa duniani.Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi alifanikiwa kuzikong'a nyoyo za jamii kwa kiasi kikubwa mno, na kuleta matumaini makubwa. Lakini leo sijui ni kitu gani kimejiri, mambo yamekuwa vice-versa, total confusion, hofu nchini, utekaji ambao haujawahi kufikia viwango hivi , sijui ni kitu kimemtokea mama yetu. It seems SSH wa April 2021 siyo SSH wa June 2025. SSH wa kipindi kile ni very empathetic, Sympathetic, huyu wa sasa anaoneka as if ni "Don't care"!. Sijui ni nani alimpa ushauri wa kujifanya bandidu wakati haiba yake na pengine asili yake siyo hiyo!- Ukiiga asili ambayo si yako lazima ukwame!.
Au sijui kipindi kile alikuwa hajakizoea kiti kwa hiyo utu wake ulikuwa mwingi, ila kwa sasa kakizoea kiti na hivyo power corrupts and absolute power corrupts absolutely?
Kiufupi mambo anayofanya SSH ni as if mtu anayefanya mambo mazuri asubuhi ikifika jioni anaharibu kazi yake mwenyewe, nitaeleza.
1. Alipoingia madarakani aliagiza kesi za watu waliobambikiziwa kesi zifutwe.
Hili lilikuwa jambo moja zuri sana, zuri mno, yaani hapa alilitendea Taifa haki kubwa sana. Ni katika kipindi hiki kesi za watu kama Mdude Nyagali zilifutwa, watu kibao waliokuwa wamewekwa ndani katika utawala uliopita kwa kesi za kubambika waliachiwa huru (Tuiite hiyo Asubuhi). Sasa Jioni ambayo ndiyo leo hii mambo yamegeuka si tu kwamba ubambikiziaji kesi upo, leo watu wanabambikiziwa zile kubwakubwa, Ugaidi, Uhaini n.k
2. Alipoingia madarakani alikemea uonevu wa jeshi la polisi na aliunda tume jinai kuchunguza maonevu wanayokumbana nayo wananchi katika vyombo vya dola (Tuiite hiyo Asubuhi). Jioni yake ambayo ni leo uonevu wa vyombo vya dola umezidi hata mara 10, watu wanatekwa mchana kweupe na usiku, maiti zinaokotwa, majaribio ya mauaji ya wazi hatusikii kauli ya SSH akijitokeza na kuagiza waziwazi kuwa anataka hayo mambo yakome na hata kuwawajibisha watu wemye dhamana kwa kushindwa kudhibiti hiyo hali nchini. Kiufupi image anayoportray ni kama vile I DON'T CARE.
MWISHO
Nimalizie kupitia mafunzo kutoka katika Qur'an tukufu.
Qur'an tukufu(16:92) inasema kuwa tusiwe kama yule mwanamke msusi ambaye asubuhi anasuka ukili wake vizuri, ikifika jioni anaanza kufumuafumua kazi yake mwenyewe, Mwenyezi Mungu akawataka waumini katika aya hiyo waheshimu VIAPO vyao wanavyokuwa wamekula.
Samia akiifanyia kazi aya hii hatoharibu kazi yake nzuri anayoifanya asubuhi pindi ikifika jioni, na ataheshimu pia kiapo alichokula cha kulinda, kuhifadhi na kutetea katiba ya Jamhuri ya muungano ambayo ndani yake inataka HAKI za Watu ikiwemo ya kuishi na FAIRNESS katika mambo ya nchi vinatamalaki katika Jamhuri.
Enzi za anaupiga mwingi zilileta euphoria nchini.
Sasa hivi utekaji, mauaji, terror, damu za watu wasio na hatia kila kona ya nchi.