St A Cakes: Pata cake tamu, mchambuko kwa bei poa

What a sad story.
 
Mwanamke anaejua kupika keki huyo anafaa kuwa mke kwani ana vigezo.
Wengine lolote liwakute mpaka mjifunze kupika keki
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hobby tu Mkuu.

Kuna watu hawajui cake,ila ni wazuri sana kwenye mapishi ya vitu vingine.
 
Keki ya Matunda peke yake unaweza tengeneza na bei shi ngapi??
Nshawahi ionja mahali, yaan inaonekana keki kabisa kama hizi zingine ila ni muumganiko kwa Matunda tuu
Ya matunda

Labda ya passion.

Ndani yake kunawekwa passion..
Pia wakati wa kupamba,pale juu inamwagiwa passion.


Ama keki ya kawaida ambayo katika upambani wake kunawekwa pia matunda kama strawberry,Na matunda mengine.
 
Mbona black forest hauweki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…