St. Francis Mbeya kuna siri gani?

Vipanga wa la 7 wengi wako Kibaha, Mzumbe, Ilboru,Kisimiri,Kilakala,msalato,
 
Vipanga wa la 7 wengi wako Kibaha, Mzumbe, Ilboru,Kisimiri,Kilakala,msalato,
Kaka hiyo ilikuwa zamani...wakati shule za Serikali za msingi zilipokuwa zinafanya vyema na wazazi wengi walikuwa hawajapata mwamko wakuwapeleke watoto wao shule binafsi tofauti na siku hizi..Hakuna mzazi aneyeweza kumpeleka mtoto wake aliyemaliza Feza au Hazina kwenye shule hizo ulizotaja...
 
We ni mwongo hafu uongo unaoandika hapa ni wa kitoto

Empty stupid wasted sperm
 
Umesoma na mtoto gani wa St Francis?
 
Ukiambiwa uthibitishe hayo unenayo utaweza?
 
Wacha makasiriko wewe!
Kwa mwaka unakula 2.6 siyo??
Ukiumia sana na mafanikio ya watu bora
Unywe maji ulale.
 
Unachokiweza mkuu ni kumshabikia pep kipara...haya mengine yaache TU...
 
Kwanza sipeleki mtoto huko, nampeleka kata hizo Hela namuwekea Kama mtaji, div 3 inatosha na Hela ya mtaji juu
Atapata connection ya life na watoto wa level ya kata.
Tunawapeleka watoto shule za pesa Ili wawe na connection na watoto wa wenye pesa na level za maamuzi mfano matajiri, wanasiasa,mawaziri,nk Ili huko mbeleni watapeana michongo ya life.Life is impossible without connection.
Baba boss, mfanyabiashara Mkubwa,mama mbunge, mjomba ni director kampuni ya nje,dada ni manager kampuni ya madini,nk plus plus, mtoto wake anamtafutia Kazi,tenda, biashara pa zuri mtoto wake kasoma na mwanao,zimwi likujualo maclassmet hawatupani.
 
Hii yote kuhangaika kutafuta ma connection toka shule ni sababu ya umasikini!!
 
Mkuu sio rahisi sana kila mwaka ununue mitihani na Mamlaka zikae kimya tu.

Lazima watachukua hatua.
 
Vipanga wa la 7 wengi wako Kibaha, Mzumbe, Ilboru,Kisimiri,Kilakala,msalato,

Waliopo huko ulipopataja ni vipanga maskini. Mtu asome primary za mamilioni na aongoze halafu apelekwe shule za serikali akale maharage yaliyooza kweli? Ama vyakula vibovu vya wazabuni wasiolipwa kwa wakati
 
Hizo A walizozipata hata wanafunzi wa shule nyingine wamepata A. St Francis A za Physics ndizo zilizo wasumbua ambazo hata shule nyingine hawajazipata.
Kwahiyo kilichopo kwao ni high concentration kwa masomo 7 ndiyo sababu hawapati A masomo 10. Angalia katika shule 50 bora wanafunzi wanapata A za masomo 1-4. Hivyo kumbe kwa wao kupata A 7 siyo issue. Bali ni mipango mizuri ya shule.
 
mitihani inatungwa rahisi kisiasa kwa ajili ya wanasiasa wa ccm kuja kusema 'ufaulu umeongezeka'. kwa hali kama hiyo na kwa shule kama St. Francis ambapo nyenzo na mazingira ni rafiki sana kwa wanafunzi, ufaulu wa aina hii unatarajiwa.
Ni kweli kuna shule za kata zipo hovyo sana, sasa ukitaka mtoto wa kata apate cheti. Basi unamtengenezea A mtoto wa St Francis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…