Atapita kweli kwenye michujo yao maana waja humu wamesema wanachukua average ya 95+ kwa masomo matano, sasa maana yake Dogo langu agonge 95 kila somo mbona mvua itanyesha na radi juu afu kiangazi😂😂😂Mkuu ukitaka ujue vizuri kuna nini pale, mpeleke mwanao halafu utakuja kutuambia umeona nini 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hapo sasa, of course lazima watakuwa wanchukua wanafunzi wakali tangu Form one. Huwezi kuchukua wanafunzi vilaza kisa tu wazazi wao wana uwezo wa kuwalipia ada halafu wafanye vizuri kiasi kile. Naona safari hii Marian wameangukiwa na kitu kizito kichwani. Na pia kumbuka wanafunzi hawa waliopata divisheni wani darasa zima walifanya hivyo hivyo kwenye mtihani wa Form two. Acha kabisa, hawa watoto ni mioto ya kuotea mbali aisee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Atapita kweli kwenye michujo yao maana waja humu wamesema wanachukua average ya 95+ kwa masomo matano, sasa maana yake Dogo langu agonge 95 kila somo mbona mvua itanyesha na radi juu afu kiangazi😂😂😂
Wakuu kuna shule moja inaitwa St Joseph ipo maeneo ya Mbezi nasikia na yenyewe inafundisha hatari na ina malezi mazuri kwa wanafunzi, hata mwanafunzi awe mtukutu vipi akienda pale siku akirudi nyumbani unaweza kumkataa kwa kudhani labda umebadilishiwa mtoto. Nani anaifahamu vizuri shule hii wandugu? Nataka nimpeleke dogo akapige interview pale.Hivi pale St. Francis Girls Mbeya pana siri gani wazee? Mwaka huu licha ya kwamba imekuwa ya pili kitaifa lakini ufaulu wake ni wa ajabu na kuogofya sana.
Picha linaanza darasa lina watahiniwa 92 ambao wote wamepata div 1, hii si ajabu sana ajabu ni hili hapa kati ya hizo 1- 92, div 1.7 ambazo ndo ufaulu wa juu kabisa nchi hii kwa upande wa olevel zipo 79 yani 1.7 pale St Francis Girls zipo 79 kama utapata shida kuelewa na maanisha hivi wanafunzi waliopta A saba kwenye jumla la masomo yao wapo 79.
Mwanafunzi wa mwisho pale yani mwenye ufaulu dhaifu au unaweza kuuita goigoi ama kilaza, mmoja ana div 1.14 na mwingine ana div 1.13 na wapo wawili pekee.
Mabinti wamejua kukung'uta aisee div 1.10 ipo moja, 1.9 zipo 6 na 1.8 zipo 4
Kama unadhani maajabu yao mwaka huu ni hayo tu basi Pole mabinti hawa wameendeleza maajabu mpaka kwenye Wanafunzi bora ambapo kumi bora imepambwa na wao.Hatari sana hii mwanafunzi 1-5 kwenye kumi bora anatoka kwao afu wanajichomeka others kwenye 6,kisha namba 7 wanarudi wao afu 8,9 wanajikongoja fedha na ilboru kisha kumi kitabe kabisa wanamaliza wao. Kifupi 10 bora wanafunzi 7 wote wametoka St FRANCIS.
1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya🔴
2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis🔴
3. Wllhemia Steven - St. Francis 🔴
4. Cronel John - St Francis🔴
5. Merry George Ngoso - St Francis🔴
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future
Girls🔴
7. Brandina - St. Francis🔴
8. Imamu Suleiman - Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru
10. Clara Straton - St. Francis🔴
Huu ufaulu si wa kitoto, sasa nauliza siri yao hasa ni ipi maana tangu miaka hiyo hawa mabinti wamekuwa moto ina maana shule zingine wameshindwa kabisa kujifunza?
View attachment 2082037
View attachment 2082038
Mtaji Ndio kila kitu, wanafunzi wengi sana wanamaliza shule na kukisa cha kufanya hata mzazi kusema nimuwekezee Ng'ombe akimaliza aendeleze league hakuna. Mwisho wa siku stress kwa wasomi. Tunapata PhD akifukuzwa KAZI anaanza kulia Lia kama mtoto MdogoKwanza sipeleki mtoto huko, nampeleka kata hizo Hela namuwekea Kama mtaji, div 3 inatosha na Hela ya mtaji juu
Imenibidi niangalie matokeo yao ya form 4 kuanzia 2003 aisee kuna baadhi ya miaka ya nyuma bado walikuwa wanapasua Kama kawaida hizo hizo one tena za saba na hii inaonyesha ni jambo la kawaida kwao.Hapo sasa, of course lazima watakuwa wanchukua wanafunzi wakali tangu Form one. Huwezi kuchukua wanafunzi vilaza kisa tu wazazi wao wana uwezo wa kuwalipia ada halafu wafanye vizuri kiasi kile. Naona safari hii Marian wameangukiwa na kitu kizito kichwani. Na pia kumbuka wanafunzi hawa waliopata divisheni wani darasa zima walifanya hivyo hivyo kwenye mtihani wa Form two. Acha kabisa, hawa watoto ni mioto ya kuotea mbali aisee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Mbezi ipi? Angalia mayokeo mtandaoni utajua.Wakuu kuna shule moja inaitwa St Joseph ipo maeneo ya Mbezi nasikia na yenyewe inafundisha hatari na ina malezi mazuri kwa wanafunzi, hata mwanafunzi awe mtukutu vipi akienda pale siku akirudi nyumbani unaweza kumkataa kwa kudhani labda umebadilishiwa mtoto. Nani anaifahamu vizuri shule hii wandugu? Nataka nimpeleke dogo akapige interview pale.
Hayapa ni matokeo yao ya 2003 takribani miaka kumi 19 iliyopita walikuwa wana one za saba Kama tano hapo.Aiseee ,Mimi nakataa hayo matokeo ...hao watoto uwezo wao wa kawaida tu ,sio wa kupata huo ufaulu wote ,kwa kusema sijui walimu Bora ,mazingira
HahahaaMimi nnachojua wakimaliza hapo wanaenda form five,then chuo alafu tukakutana kitaa na bahasha za kaki,
Hahahaa mpeleke ajaribu bahati yake mkuu huwezi jua aisee.Atapita kweli kwenye michujo yao maana waja humu wamesema wanachukua average ya 95+ kwa masomo matano, sasa maana yake Dogo langu agonge 95 kila somo mbona mvua itanyesha na radi juu afu kiangazi😂😂😂
Hebu check wakati wa jpm matokeo Yao yalikuwaje Mana jamaa Alibana Sana wizi wa mitihani.
Shule za serikali zikaenda juu Sana.
Nimeshawahi kupiga tempo shule moja private nayo inawika hivyo2.
Nilikuwa nawafundisha advance physics jinsi ambavyo nilikuwa napitia Pepa zao za shule ni vilaza ama ni kawaida Ila mtihani ukija wanakuwa na maksi nzuri.
Ila jinsi unavyotoa quiz ubaoni wanavyosovu hata Ile interaction wanavyo respond unawacheck uwezo wao mkuu. So Kama mtu mzima unajijumlisha
Bujibuji mbeya kumbeMbeya is soooooooo blessed Land
Basi mkuu Hawa hapa ni huo mchujo tu.View attachment 2084133View attachment 2084134View attachment 2084135View attachment 2084136
Bado walikuwa wanapasua Kama kawa na hawajawahi kutokea sita bora kwenye swami mzima ya magufuri.
View attachment 2084137
View point... kwakweli ni blessed sanaMbeya is soooooooo blessed Land
Huku wanabanwa ama wanapewa nidhamu wakifika palipo na Uhuru hakuna nidhamu ndo Mana wanarudi kuwa Kama sie tu ama tunawapita Mana wao haya maisha hawajayazoeaView attachment 2084133View attachment 2084134View attachment 2084135View attachment 2084136
Bado walikuwa wanapasua Kama kawa na hawajawahi kutokea sita bora kwenye swami mzima ya magufuri.
View attachment 2084137
Such a High Performance School with a Low Grade Exams Results. What a dichotomy?Twenzetuni mdogo mdogo [emoji23]View attachment 2083225
Wa kajamba nani anaandika ze ze zeInawezekana lakini binafsi nishawahi ona mtihani wao wa geography namna wanaandika essay aisee nikalinganaisha na mwanangu wa Kajamba nani nikaona kabisa kuna tofauti mkubwa mno. Wale mabinti wanaandika essay point to point afu kitu clear sio mtoto anaandika essay afu point inafichwa fichwa ndani kama gaidi🤣🤣.....hawa mabinti kwa essay ni moto wa kuotea taliban, wanakuandikia essay afu wanakupangia kwa paragraphs kwa tumikogo kiasi kama vile Furthermore sijui nevertheless mara to begin with yani lazima msahishaji ufurahi.
Ila wewe ni Smart Ghost kweli. Yaani unakwenda kulalamika kuhusu binamu yako aliyepata div. three kwa vile unamtambua kuwa ni kilaza aliyekubuhu. Hebu fikiria kwamba ni mwanao ambaye ana uwezo wa wastani tu na kapata div. one. Je utalalamikia matokeo hayo kuwa yana walakini?Kuna binamu yangu amepata division three, nawaza kwenda kuappeal. Binamu yangu ni kilaza alietukuka. Amefaulu vipi?
Record yao haikuwa nzuri miaka ya tisini tu.Imenibidi niangalie matokeo yao ya form 4 kuanzia 2003 aisee kuna baadhi ya miaka ya nyuma bado walikuwa wanapasua Kama kawaida hizo hizo one tena za saba na hii inaonyesha ni jambo la kawaida kwao.