St. Francis Mbeya kuna siri gani?

St. Francis Mbeya kuna siri gani?

Mkuu ukitaka ujue vizuri kuna nini pale, mpeleke mwanao halafu utakuja kutuambia umeona nini 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Atapita kweli kwenye michujo yao maana waja humu wamesema wanachukua average ya 95+ kwa masomo matano, sasa maana yake Dogo langu agonge 95 kila somo mbona mvua itanyesha na radi juu afu kiangazi😂😂😂
 
Atapita kweli kwenye michujo yao maana waja humu wamesema wanachukua average ya 95+ kwa masomo matano, sasa maana yake Dogo langu agonge 95 kila somo mbona mvua itanyesha na radi juu afu kiangazi😂😂😂
Hapo sasa, of course lazima watakuwa wanchukua wanafunzi wakali tangu Form one. Huwezi kuchukua wanafunzi vilaza kisa tu wazazi wao wana uwezo wa kuwalipia ada halafu wafanye vizuri kiasi kile. Naona safari hii Marian wameangukiwa na kitu kizito kichwani. Na pia kumbuka wanafunzi hawa waliopata divisheni wani darasa zima walifanya hivyo hivyo kwenye mtihani wa Form two. Acha kabisa, hawa watoto ni mioto ya kuotea mbali aisee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mimi nnachojua wakimaliza hapo wanaenda form five,then chuo alafu tukakutana kitaa na bahasha za kaki,
 
Hivi pale St. Francis Girls Mbeya pana siri gani wazee? Mwaka huu licha ya kwamba imekuwa ya pili kitaifa lakini ufaulu wake ni wa ajabu na kuogofya sana.

Picha linaanza darasa lina watahiniwa 92 ambao wote wamepata div 1, hii si ajabu sana ajabu ni hili hapa kati ya hizo 1- 92, div 1.7 ambazo ndo ufaulu wa juu kabisa nchi hii kwa upande wa olevel zipo 79 yani 1.7 pale St Francis Girls zipo 79 kama utapata shida kuelewa na maanisha hivi wanafunzi waliopta A saba kwenye jumla la masomo yao wapo 79.

Mwanafunzi wa mwisho pale yani mwenye ufaulu dhaifu au unaweza kuuita goigoi ama kilaza, mmoja ana div 1.14 na mwingine ana div 1.13 na wapo wawili pekee.

Mabinti wamejua kukung'uta aisee div 1.10 ipo moja, 1.9 zipo 6 na 1.8 zipo 4

Kama unadhani maajabu yao mwaka huu ni hayo tu basi Pole mabinti hawa wameendeleza maajabu mpaka kwenye Wanafunzi bora ambapo kumi bora imepambwa na wao.Hatari sana hii mwanafunzi 1-5 kwenye kumi bora anatoka kwao afu wanajichomeka others kwenye 6,kisha namba 7 wanarudi wao afu 8,9 wanajikongoja fedha na ilboru kisha kumi kitabe kabisa wanamaliza wao. Kifupi 10 bora wanafunzi 7 wote wametoka St FRANCIS.

1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya🔴

2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis🔴

3. Wllhemia Steven - St. Francis 🔴

4. Cronel John - St Francis🔴

5. Merry George Ngoso - St Francis🔴

6. Holly Beda Lyimo - Bright Future
Girls🔴

7. Brandina - St. Francis🔴

8. Imamu Suleiman - Feza Boys

9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru

10. Clara Straton - St. Francis🔴

Huu ufaulu si wa kitoto, sasa nauliza siri yao hasa ni ipi maana tangu miaka hiyo hawa mabinti wamekuwa moto ina maana shule zingine wameshindwa kabisa kujifunza?

View attachment 2082037

View attachment 2082038
Wakuu kuna shule moja inaitwa St Joseph ipo maeneo ya Mbezi nasikia na yenyewe inafundisha hatari na ina malezi mazuri kwa wanafunzi, hata mwanafunzi awe mtukutu vipi akienda pale siku akirudi nyumbani unaweza kumkataa kwa kudhani labda umebadilishiwa mtoto. Nani anaifahamu vizuri shule hii wandugu? Nataka nimpeleke dogo akapige interview pale.
 
Kwanza sipeleki mtoto huko, nampeleka kata hizo Hela namuwekea Kama mtaji, div 3 inatosha na Hela ya mtaji juu
Mtaji Ndio kila kitu, wanafunzi wengi sana wanamaliza shule na kukisa cha kufanya hata mzazi kusema nimuwekezee Ng'ombe akimaliza aendeleze league hakuna. Mwisho wa siku stress kwa wasomi. Tunapata PhD akifukuzwa KAZI anaanza kulia Lia kama mtoto Mdogo
 
Hapo sasa, of course lazima watakuwa wanchukua wanafunzi wakali tangu Form one. Huwezi kuchukua wanafunzi vilaza kisa tu wazazi wao wana uwezo wa kuwalipia ada halafu wafanye vizuri kiasi kile. Naona safari hii Marian wameangukiwa na kitu kizito kichwani. Na pia kumbuka wanafunzi hawa waliopata divisheni wani darasa zima walifanya hivyo hivyo kwenye mtihani wa Form two. Acha kabisa, hawa watoto ni mioto ya kuotea mbali aisee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Imenibidi niangalie matokeo yao ya form 4 kuanzia 2003 aisee kuna baadhi ya miaka ya nyuma bado walikuwa wanapasua Kama kawaida hizo hizo one tena za saba na hii inaonyesha ni jambo la kawaida kwao.
 
Wakuu kuna shule moja inaitwa St Joseph ipo maeneo ya Mbezi nasikia na yenyewe inafundisha hatari na ina malezi mazuri kwa wanafunzi, hata mwanafunzi awe mtukutu vipi akienda pale siku akirudi nyumbani unaweza kumkataa kwa kudhani labda umebadilishiwa mtoto. Nani anaifahamu vizuri shule hii wandugu? Nataka nimpeleke dogo akapige interview pale.
Mbezi ipi? Angalia mayokeo mtandaoni utajua.
 
Aiseee ,Mimi nakataa hayo matokeo ...hao watoto uwezo wao wa kawaida tu ,sio wa kupata huo ufaulu wote ,kwa kusema sijui walimu Bora ,mazingira
Hayapa ni matokeo yao ya 2003 takribani miaka kumi 19 iliyopita walikuwa wana one za saba Kama tano hapo.
Screenshot_2022-01-16-19-42-20-75.jpg

Hayapa ni matokeo yao ya 2006 takribani miaka 15 iliyopita walikuwa na one za saba zipo Kama nane hivi na hichi ni Kipindi ambacho kulikuwa hakuna shule zenu za kata na Elimu ilikuwa bado ngumu kiasi.
Screenshot_2022-01-16-19-13-20-70.jpg

Sasa washindwe kubutua one za saba nusu ya darasa miaka hii ambayo Elimu ni ya kipuuzi miaka ambayo shule za kata zinatoa division 1 zaidi ya kumi.
 
Atapita kweli kwenye michujo yao maana waja humu wamesema wanachukua average ya 95+ kwa masomo matano, sasa maana yake Dogo langu agonge 95 kila somo mbona mvua itanyesha na radi juu afu kiangazi😂😂😂
Hahahaa mpeleke ajaribu bahati yake mkuu huwezi jua aisee.
 
Hebu check wakati wa jpm matokeo Yao yalikuwaje Mana jamaa Alibana Sana wizi wa mitihani.
Shule za serikali zikaenda juu Sana.
Nimeshawahi kupiga tempo shule moja private nayo inawika hivyo2.
Nilikuwa nawafundisha advance physics jinsi ambavyo nilikuwa napitia Pepa zao za shule ni vilaza ama ni kawaida Ila mtihani ukija wanakuwa na maksi nzuri.
Ila jinsi unavyotoa quiz ubaoni wanavyosovu hata Ile interaction wanavyo respond unawacheck uwezo wao mkuu. So Kama mtu mzima unajijumlisha
Screenshot_2022-01-16-20-13-32-56_4641ebc0df1485bf6b47ebd018b5ee76.jpg
Screenshot_2022-01-16-20-13-00-83_4641ebc0df1485bf6b47ebd018b5ee76.jpg
Screenshot_2022-01-16-20-14-58-02_4641ebc0df1485bf6b47ebd018b5ee76.jpg
Screenshot_2022-01-16-20-14-05-62_4641ebc0df1485bf6b47ebd018b5ee76.jpg

Bado walikuwa wanapasua Kama kawa na hawajawahi kutokea sita bora kwenye swami mzima ya magufuri.

Screenshot_2022-01-16-20-15-56-91_4641ebc0df1485bf6b47ebd018b5ee76.jpg
 
View attachment 2084133View attachment 2084134View attachment 2084135View attachment 2084136
Bado walikuwa wanapasua Kama kawa na hawajawahi kutokea sita bora kwenye swami mzima ya magufuri.

View attachment 2084137
Basi mkuu Hawa hapa ni huo mchujo tu.
Mfano tulipoenda boys tulikuwa na bidii ni balaa mkuu.
So inawezekana tungepata walimu wakatusaidia wanaojituma kuliko hata kuzingalia familia zao ama michepuko Yao. Nina Imani tungekuwa na wani za singo digit zote.
Hawa ni mchujo pia Wana uwezo na walimu wako poa Sana wanaojituma kuliko hata anavyoikumbuka familia yake.
Mkuu ningekubali hapa sibishi Tena.
Yaani iyo sababu tosha kabisa.
Kama sie unakomaa mwenyewe unatoka na wani na je mwalimu angejituma Mara tatu yangu nadhani tungepata Mia Mia hata masomo matano ama Sana yote.
Afu Ile full English inasaidia Sana Mana hutumii nguvu kukaririr unaelewa unachukua points kidogo kunogesha maelezo yako.
Mkuu Sina ubishi Tena.
 
Inawezekana lakini binafsi nishawahi ona mtihani wao wa geography namna wanaandika essay aisee nikalinganaisha na mwanangu wa Kajamba nani nikaona kabisa kuna tofauti mkubwa mno. Wale mabinti wanaandika essay point to point afu kitu clear sio mtoto anaandika essay afu point inafichwa fichwa ndani kama gaidi🤣🤣.....hawa mabinti kwa essay ni moto wa kuotea taliban, wanakuandikia essay afu wanakupangia kwa paragraphs kwa tumikogo kiasi kama vile Furthermore sijui nevertheless mara to begin with yani lazima msahishaji ufurahi.
Wa kajamba nani anaandika ze ze ze
Tenses zenyewe mtihani
 
Kuna binamu yangu amepata division three, nawaza kwenda kuappeal. Binamu yangu ni kilaza alietukuka. Amefaulu vipi?
Ila wewe ni Smart Ghost kweli. Yaani unakwenda kulalamika kuhusu binamu yako aliyepata div. three kwa vile unamtambua kuwa ni kilaza aliyekubuhu. Hebu fikiria kwamba ni mwanao ambaye ana uwezo wa wastani tu na kapata div. one. Je utalalamikia matokeo hayo kuwa yana walakini?
 
Imenibidi niangalie matokeo yao ya form 4 kuanzia 2003 aisee kuna baadhi ya miaka ya nyuma bado walikuwa wanapasua Kama kawaida hizo hizo one tena za saba na hii inaonyesha ni jambo la kawaida kwao.
Record yao haikuwa nzuri miaka ya tisini tu.
 
Back
Top Bottom