Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NO!! NO!! NO!! NO!!Hio shule inanunua mitihani na kufanya mwezi mmoja kabla ya mitihani ya taifa ,na huwa maswali yanarudiwa kwa msisitizo mkubwa Sana ......
Hao watoto wanaomaliza huko hawana uwezo kabisa wa kufaulu hivo ,never ever ,....
Hapa bongo ukishakiwa na pesa hakuna kinachoshinfikana ,pepar za necta zinanunuliwa na watoto Wana solve mapema kabisa ...
Hio shule ada yake tu unaweza kula mwaka mzima ,kununua pepar wizaran kupitia kwa mamuruki ni kitu rahisi Sana .....mbaya zaidi wafanyakazi wengi wa serikali dawa yao ni pesa ,kwa million 20 anakuletea pepar la necta lotee mwezi mmoja kabla .....
Niamaini Mimi haya nayoyasema
Sie Waswahili tumewekeza sana kwny ufaulu na si ueleaa
Hizi division one kalikali zinapoteleaga wapi hadi hazionekani tena?
Tanzania one wa form four walio graduate sambamba na Samia Suluhu miaka hiyo sijui sasa hivi yupo pori gani wakati mwenzie sasa ni Rais?
Let's assume wanafunzi 2000 wameenda kwa interview ya kujiunga form one pale st Francis girls alafu wanafanya wrritten na oral interview baada ya hapo wanachagua wanafunzi timamu 120 pekee walopata kuanzia wastan wa 95 iv na kila wanavoingia kidato kingne wanachuja na kufukuza wasiofika viwango vya wastan wao unafikir hawawez kupata one ya7?? Inawezekana tena hata bila kuiba hata Mzumbe Kibaha kilakala iliboru tabora boys zingefanya ivo zingekuwa top kuzid hata hz za private⛷🏇🚴♂️Hivi pale St Francis Girls Mbeya, pana siri gani wazee? Mwaka huu licha ya kwamba imekua ya pili kitaifa lakini ufaulu wake ni wa ajabu na kuogofya sana.
Picha linaanza darasa lina watahiniwa 92 ambao wote wamepata div 1, hii si ajabu sana ajabu ni hili hapa kati ya hizo 1- 92, div 1.7 ambazo ndo ufaulu wa juu kabisa nchi hii kwa upande wa olevel zipo 79 yani 1.7 pale St Francis Girls zipo 79 kama utapata shida kuelewa na maanisha hivi wanafunzi waliopta A saba kwenye jumla la masomo yao wapo 79.
Mwanafunzi wa mwisho pale yani mwenye ufaulu dhaifu au unaweza kuuita goigoi ama kilaza, mmoja ana div 1.14 na mwingine ana div 1.13 na wapo wawili pekee.
Mabinti wamejua kukung'uta aisee div 1.10 ipo moja, 1.9 zipo 6 na 1.8 zipo 4
Kama unadhani maajabu yao mwaka huu ni hayo tu basi Pole mabinti hawa wameendeleza maajabu mpaka kwenye Wanafunzi bora ambapo kumi bora imepambwa na wao.Hatari sana hii mwanafunzi 1-5 kwenye kumi bora anatoka kwao afu wanajichomeka others kwenye 6,kisha namba 7 wanarudi wao afu 8,9 wanajikongoja fedha na ilboru kisha kumi kitabe kabisa wanamaliza wao.Kifupi 10 bora wanafunzi 7 wote wametoka St FRANCIS.
1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya🔴
2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis🔴
3. Wllhemia Steven - St. Francis 🔴
4. Cronel John - St Francis🔴
5. Merry George Ngoso - St Francis🔴
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future
Girls🔴
7. Brandina - St. Francis🔴
8. Imamu Suleiman - Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru
10. Clara Straton - St. Francis🔴
Huu ufauru si wa kitoto sasa nauliza siri yao hasa ni ipi maana tangu miaka hiyo hawa mabinti wamekua moto ina maana shule zingine wameshindwa kabisa kujifunza?
View attachment 2082037
View attachment 2082038
JK????Mwaka huu tu ndio wametolewa hapo na shule ambayo inamilikiwa na JK, all in all hiyo shule bado iko njema angalia hata idadi ya walioingia 10 bora ni hatari tupu.
Kizazi cha wapumbavu?? Kwaiyo nyie ndo mlikuwa intelligent kuliko wengne wote??@@ i previously had the same mentality like u but now ........Nimegundua Kuna kizazi Cha wapumbavu sana . Sisi tulikuwa shule ya serikali michepuo miwili wikati inaanza na jumla tulikuwa 82.
My friend mwaka 2001 hiyo, hakuna aliyetoka na div 3 na wote tuliingia University na Leo tuna mawaziri wawili na makatibu wakuu pamoja na Senior Managers kibao .
Wengine Mahakamani ni Jaji mmoja na mahakimu kadhaa, so msishangae huo ufaulu nyie mpo busy kuxheza vidulu pale st Francis ni shuleshule tu, ukikutwa na simu ni nyumbani huwa hakina majadiliano, ukipungua wastani no nyumbani.
Shule mnaenda mnashilana na mademu mtaweza kusoma kweli? Unaenda shule una daftari unaandika nyimbo eti unataka kuwa Kama diamond sasa unasoma ili iwe nini?
Someni vijana
Wewe ni Mimi kabisaKwanza sipeleki mtoto huko , nampeleka kata hizo Hela namuwekea Kama mtaji, div 3 inatosha na Hela ya mtaji juu
Bahati mbaya tukiwapokea vyuoni tunakutana na different storyHivi pale St Francis Girls Mbeya, pana siri gani wazee? Mwaka huu licha ya kwamba imekua ya pili kitaifa lakini ufaulu wake ni wa ajabu na kuogofya sana.
Picha linaanza darasa lina watahiniwa 92 ambao wote wamepata div 1, hii si ajabu sana ajabu ni hili hapa kati ya hizo 1- 92, div 1.7 ambazo ndo ufaulu wa juu kabisa nchi hii kwa upande wa olevel zipo 79 yani 1.7 pale St Francis Girls zipo 79 kama utapata shida kuelewa na maanisha hivi wanafunzi waliopta A saba kwenye jumla la masomo yao wapo 79.
Mwanafunzi wa mwisho pale yani mwenye ufaulu dhaifu au unaweza kuuita goigoi ama kilaza, mmoja ana div 1.14 na mwingine ana div 1.13 na wapo wawili pekee.
Mabinti wamejua kukung'uta aisee div 1.10 ipo moja, 1.9 zipo 6 na 1.8 zipo 4
Kama unadhani maajabu yao mwaka huu ni hayo tu basi Pole mabinti hawa wameendeleza maajabu mpaka kwenye Wanafunzi bora ambapo kumi bora imepambwa na wao.Hatari sana hii mwanafunzi 1-5 kwenye kumi bora anatoka kwao afu wanajichomeka others kwenye 6,kisha namba 7 wanarudi wao afu 8,9 wanajikongoja fedha na ilboru kisha kumi kitabe kabisa wanamaliza wao.Kifupi 10 bora wanafunzi 7 wote wametoka St FRANCIS.
1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya🔴
2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis🔴
3. Wllhemia Steven - St. Francis 🔴
4. Cronel John - St Francis🔴
5. Merry George Ngoso - St Francis🔴
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future
Girls🔴
7. Brandina - St. Francis🔴
8. Imamu Suleiman - Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru
10. Clara Straton - St. Francis🔴
Huu ufauru si wa kitoto sasa nauliza siri yao hasa ni ipi maana tangu miaka hiyo hawa mabinti wamekua moto ina maana shule zingine wameshindwa kabisa kujifunza?
View attachment 2082037
View attachment 2082038
Aisee upo sahihi kabisaKwanza sipeleki mtoto huko , nampeleka kata hizo Hela namuwekea Kama mtaji, div 3 inatosha na Hela ya mtaji juu
Mkuu punguza uongo,Hio shule inanunua mitihani na kufanya mwezi mmoja kabla ya mitihani ya taifa ,na huwa maswali yanarudiwa kwa msisitizo mkubwa Sana ......
Hao watoto wanaomaliza huko hawana uwezo kabisa wa kufaulu hivo ,never ever ,....
Hapa bongo ukishakiwa na pesa hakuna kinachoshinfikana ,pepar za necta zinanunuliwa na watoto Wana solve mapema kabisa ...
Hio shule ada yake tu unaweza kula mwaka mzima ,kununua pepar wizaran kupitia kwa mamuruki ni kitu rahisi Sana .....mbaya zaidi wafanyakazi wengi wa serikali dawa yao ni pesa ,kwa million 20 anakuletea pepar la necta lotee mwezi mmoja kabla .....
Niamaini Mimi haya nayoyasema
Kwanza sipeleki mtoto huko , nampeleka kata
.Watanzania tuko kinyume sana na mafanikio ya wengine......mioyo yetu na akili zetu muda wote zinatarajia habari mbaya na maanguko ya watu baada ya mafanikio......
Mafanikio ya mtu au kikundi cha watu tunazipokea kwa mshituko wa chuki na hasira ili kufurahisha mioyo yetu hasi tunatafuta namna ya kuyatia doa mafanikio hayo.......
Wengi wetu hatutambui na kuthamini juhudi za watu wengine juu ya mafanikio yao badala yake tunawapachika majina mabaya......
Ili uishi Tanzania unatakiwa kuwaelewa watanzania na hawa ndio waTanzania kwa wingi wao......
Hongereni ST FRANCIS MBEYA juhudi zenu zimeonekana na kuwaangaza kwa watu wanaoshangilia na kufurahia mafanikio ya watu.....
Wanapewa vitabu! Wanasoma kwa mikakati,wala hakuna cha kuiba mitihani umekutana na sampuli chache!Aliyefaulu kiukweli bila kuiba mtihani ni huyo wa Ilboru, kipindi nimeenda advance level darasa letu lilikuwa na hao waliotoka st Francis na kila mtu aliwaogopa chakushangaza mtihani wa kwanza marks walizopata ni tofauti na hizo one zao. Huko private ni business kwa kwenda mbele na solving za paper kwa ajili ya kupata A za kutosha wakati zikija kitaa inputs yake ni zero kabisa
Wala sio leo tu, miaka nenda rudi wao ndio wanakimbiza! Kuna mwaka wasichana wote top 10 walitoka paleHivi pale St Francis Girls Mbeya, pana siri gani wazee? Mwaka huu licha ya kwamba imekua ya pili kitaifa lakini ufaulu wake ni wa ajabu na kuogofya sana.
Picha linaanza darasa lina watahiniwa 92 ambao wote wamepata div 1, hii si ajabu sana ajabu ni hili hapa kati ya hizo 1- 92, div 1.7 ambazo ndo ufaulu wa juu kabisa nchi hii kwa upande wa olevel zipo 79 yani 1.7 pale St Francis Girls zipo 79 kama utapata shida kuelewa na maanisha hivi wanafunzi waliopta A saba kwenye jumla la masomo yao wapo 79.
Mwanafunzi wa mwisho pale yani mwenye ufaulu dhaifu au unaweza kuuita goigoi ama kilaza, mmoja ana div 1.14 na mwingine ana div 1.13 na wapo wawili pekee.
Mabinti wamejua kukung'uta aisee div 1.10 ipo moja, 1.9 zipo 6 na 1.8 zipo 4
Kama unadhani maajabu yao mwaka huu ni hayo tu basi Pole mabinti hawa wameendeleza maajabu mpaka kwenye Wanafunzi bora ambapo kumi bora imepambwa na wao.Hatari sana hii mwanafunzi 1-5 kwenye kumi bora anatoka kwao afu wanajichomeka others kwenye 6,kisha namba 7 wanarudi wao afu 8,9 wanajikongoja fedha na ilboru kisha kumi kitabe kabisa wanamaliza wao.Kifupi 10 bora wanafunzi 7 wote wametoka St FRANCIS.
1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya[emoji837]
2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis[emoji837]
3. Wllhemia Steven - St. Francis [emoji837]
4. Cronel John - St Francis[emoji837]
5. Merry George Ngoso - St Francis[emoji837]
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future
Girls[emoji837]
7. Brandina - St. Francis[emoji837]
8. Imamu Suleiman - Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru
10. Clara Straton - St. Francis[emoji837]