Wayaring
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 304
- 248
Hakuna shule ya hivyoSt Marian imefia wapi ?Ilikuja moto sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shule ya hivyoSt Marian imefia wapi ?Ilikuja moto sana.
Bado humjasaidia mtoa mada. Wamekuwa wakifanya vizuri kwa muda mrefu,Hakuna wa kushtuka kweli kama Kuna kitu kisicho cha kawaida!!!Hio shule inanunua mitihani na kufanya mwezi mmoja kabla ya mitihani ya taifa na huwa maswali yanarudiwa kwa msisitizo mkubwa Sana ......
Hao watoto wanaomaliza huko hawana uwezo kabisa wa kufaulu hivyo, never ever....
Hapa bongo ukishakuwa na pesa hakuna kinachoshindikana, paper za NECTA zinanunuliwa na watoto Wana solve mapema kabisa ...
Hio shule ada yake tu unaweza kula mwaka mzima ,kununua pepar wizaran kupitia kwa mamuruki ni kitu rahisi Sana .....mbaya zaidi wafanyakazi wengi wa serikali dawa yao ni pesa ,kwa million 20 anakuletea pepar la necta lotee mwezi mmoja kabla .....
Niamaini Mimi haya nayoyasema
Mbona kama hii comment yako, imenifungua ubongo! Ahsante kiongozi!Kwanza sipeleki mtoto huko, nampeleka kata hizo Hela namuwekea Kama mtaji, div 3 inatosha na Hela ya mtaji juu
Mkuu hao ni walimu wako kwenye mfumo mzima ....Mkuu sio rahisi sana kila mwaka ununue mitihani na Mamlaka zikae kimya tu.
Lazima watachukua hatua.
Na hao vipanga masikini ndiyo magenius halisi ambao wame strive kwa minimal resources halafu waka prosper.Waliopo huko ulipopataja ni vipanga maskini. Mtu asome primary za mamilioni na aongoze halafu apelekwe shule za serikali akale maharage yaliyooza kweli? Ama vyakula vibovu vya wazabuni wasiolipwa kwa wakati
Hili la Essay hata mimi mtoka shule za kajamba nani Magamba Boys na Tosamaganga Boys nilikuwa naandika hivyo kitamboInawezekana lakini binafsi nishawahi ona mtihani wao wa geography namna wanaandika essay aisee nikalinganaisha na mwanangu wa Kajamba nani nikaona kabisa kuna tofauti mkubwa mno. Wale mabinti wanaandika essay point to point afu kitu clear sio mtoto anaandika essay afu point inafichwa fichwa ndani kama gaidi[emoji1787][emoji1787].....hawa mabinti kwa essay ni moto wa kuotea taliban, wanakuandikia essay afu wanakupangia kwa paragraphs kwa tumikogo kiasi kama vile Furthermore sijui nevertheless mara to begin with yani lazima msahishaji ufurahi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mitihani ya siku hizi hamna kitu 1. Rais wa kwanza wa Tanzania ni nyerer......... 2. Binadamu ana macho mawi.......
Tunakutana nao vyuoni, wala hawana maajabu, au watoke huko waende serikali wanakua weupee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unataka kuaamini, baada ya kumaliza huo mtihani, wachukue hao watoto watungue paper la standard ya kawaida tu, then wape uone kama hao watoto wote 97 wanaweza kupata one ya point 7.....
Unajua div 1.7 wewe ,yaani watoto wote hao wapate A 7 kwenye masomo yao?????.....
Hao watoto ni weupe mno ,believe me, ni vile tu hata advance wanapelekwa shule za aina hio hio ,Bado vyuoni wanaenda kupotea kwani hawaoneshagi uwezo huo kabisa ,wanaishia gpa za 2.3 na supp juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Big no
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukisema hivi tunaambiwa wivu au roho mbaya, kumbe ni kweli kabisaa.Aliyefaulu kiukweli bila kuiba mtihani ni huyo wa Ilboru, kipindi nimeenda advance level darasa letu lilikuwa na hao waliotoka st Francis na kila mtu aliwaogopa chakushangaza mtihani wa kwanza marks walizopata ni tofauti na hizo one zao. Huko private ni business kwa kwenda mbele na solving za paper kwa ajili ya kupata A za kutosha wakati zikija kitaa inputs yake ni zero kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bahati mbaya tukiwapokea vyuoni tunakutana na different story
Ukija makazini ndio usiseme
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Twenzetuni mdogo mdogo [emoji23]View attachment 2083225
Ni vema ungewasilisha ushahid wa unayoyasema. Ikiwemo signed confession ili mwanga uwepo.Hio shule inanunua mitihani na kufanya mwezi mmoja kabla ya mitihani ya taifa na huwa maswali yanarudiwa kwa msisitizo mkubwa Sana ......
Hao watoto wanaomaliza huko hawana uwezo kabisa wa kufaulu hivyo, never ever....
Hapa bongo ukishakuwa na pesa hakuna kinachoshindikana, paper za NECTA zinanunuliwa na watoto Wana solve mapema kabisa ...
Hio shule ada yake tu unaweza kula mwaka mzima ,kununua pepar wizaran kupitia kwa mamuruki ni kitu rahisi Sana .....mbaya zaidi wafanyakazi wengi wa serikali dawa yao ni pesa ,kwa million 20 anakuletea pepar la necta lotee mwezi mmoja kabla .....
Niamaini Mimi haya nayoyasema
Uko sahihi mkuu. Nakumbuka Ilboru form four ya 2001 walipiga hizo one kama vichaa wakati shule nyingi zilikuwa kupata one ni miujiza. Kimsingi watu wanatakiwa wazingatie tu kuwa kwenye elimu hakuhitajiki mizaha. Mtoto akiwa serious lazima apasue tu.Nimegundua Kuna kizazi Cha wapumbavu sana. Sisi tulikuwa shule ya serikali michepuo miwili wakati inaanza na jumla tulikuwa 82.
My friend mwaka 2001 hiyo, hakuna aliyetoka na div 3 na wote tuliingia University na Leo tuna mawaziri wawili na makatibu wakuu pamoja na Senior Managers kibao.
Wengine Mahakamani ni Jaji mmoja na mahakimu kadhaa, so msishangae huo ufaulu nyie mpo busy kucheza viduku. Pale st Francis ni shuleshule tu, ukikutwa na simu ni nyumbani huwa hakuna majadiliano, ukipungua wastani ni nyumbani.
Shule mnaenda mnashikana na mademu mtaweza kusoma kweli? Unaenda shule una daftari unaandika nyimbo eti unataka kuwa Kama diamond sasa unasoma ili iwe nini?
Someni vijana
Haujui tuNidhamu wanaisingiziaga sana
Majina ya kizungu tu ndiyo yametawala majina ya kiarabu lipo Moja tu makobazi mnakwama wapi?Hivi pale St. Francis Girls Mbeya pana siri gani wazee? Mwaka huu licha ya kwamba imekuwa ya pili kitaifa lakini ufaulu wake ni wa ajabu na kuogofya sana.
Picha linaanza darasa lina watahiniwa 92 ambao wote wamepata div 1, hii si ajabu sana ajabu ni hili hapa kati ya hizo 1- 92, div 1.7 ambazo ndo ufaulu wa juu kabisa nchi hii kwa upande wa olevel zipo 79 yani 1.7 pale St Francis Girls zipo 79 kama utapata shida kuelewa na maanisha hivi wanafunzi waliopta A saba kwenye jumla la masomo yao wapo 79.
Mwanafunzi wa mwisho pale yani mwenye ufaulu dhaifu au unaweza kuuita goigoi ama kilaza, mmoja ana div 1.14 na mwingine ana div 1.13 na wapo wawili pekee.
Mabinti wamejua kukung'uta aisee div 1.10 ipo moja, 1.9 zipo 6 na 1.8 zipo 4
Kama unadhani maajabu yao mwaka huu ni hayo tu basi Pole mabinti hawa wameendeleza maajabu mpaka kwenye Wanafunzi bora ambapo kumi bora imepambwa na wao.Hatari sana hii mwanafunzi 1-5 kwenye kumi bora anatoka kwao afu wanajichomeka others kwenye 6,kisha namba 7 wanarudi wao afu 8,9 wanajikongoja fedha na ilboru kisha kumi kitabe kabisa wanamaliza wao. Kifupi 10 bora wanafunzi 7 wote wametoka St FRANCIS.
1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya[emoji837]
2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis[emoji837]
3. Wllhemia Steven - St. Francis [emoji837]
4. Cronel John - St Francis[emoji837]
5. Merry George Ngoso - St Francis[emoji837]
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future
Girls[emoji837]
7. Brandina - St. Francis[emoji837]
8. Imamu Suleiman - Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru
10. Clara Straton - St. Francis[emoji837]
Huu ufaulu si wa kitoto, sasa nauliza siri yao hasa ni ipi maana tangu miaka hiyo hawa mabinti wamekuwa moto ina maana shule zingine wameshindwa kabisa kujifunza?
View attachment 2082037
View attachment 2082038