Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAFI SANA, najua hayo mambo kama maana kunakipindi unajipaka mafuta ya kula, ugoko unang'aa utadhani tubelight.Maisha ndugu yangu.....hapo kutoka nyumbani mbaka shule ni km9 kichwani umebeba mzigo wa kuni kwa ajili ya kwenda kupikia uji na kujikinga na baridi, mgongoni begi na mkononi fagio na jembe..kwa maisha hayo lazima ngozi ikose Nuru na ukomae.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unang'aaa mpaka una reflect kama kiooSAFI SANA, najua hayo mambo kama maana kunakipindi unajipaka mafuta ya kula, ugoko unang'aa utadhani tubelight.
Pamoja na hayo kwangu maisha yale ndio yalikuwa best na yenye furaha sana,,,
Yani yalikuwa maisha fulani yaliyokamilika, mtu mnakaa wote miaka 7 pamoja halafu sababu ya utoto tulikuwa tumesharidhika na hayo maisha na tuliona kawaida hakukuwa na mtu aliekuwa akiyachukulia maisha serious kihivyo ili ayabadirshe....kiukweli kipindi hiko pamoja na changamoto zote lakini Furaha na Upendo vilitawala.SAFI SANA, najua hayo mambo kama maana kunakipindi unajipaka mafuta ya kula, ugoko unang'aa utadhani tubelight.
Pamoja na hayo kwangu maisha yale ndio yalikuwa best na yenye furaha sana,,,
unakuta ugoko unang'aa balaa ukigeuza nyuma ya mguu kwenye kinumbu/kigimbi pamepauka utadhani hujawahi kuoga tangu uzaliwe hahaha[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unang'aaa mpaka una reflect kama kioo
Kingine kipindi cha masika ule muda Wa kuridi mvua ikianza kunyesha ilikuwa bonge LA raaahaaaa tukikuta kidimbwi tu tunakigeuza bwawa aisee basi hapo ni kuogelea na kupiga mbizi kwenye maji ya ugoko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
Rahajeeee.. aiskrimu moja unakatiana na mashoga wenzio watano.St kayumba raha san kweli nimeamin wakati haurudi nyuma lait ningeambiwa kitu gani ungependa kijirudie maishan mwangu hakika ningejibu nirudie shule ya msingi ilikuwa rah san
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuanika daftari kwenye moto hiyo hatari likiwaka je [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aseee....!
Shule ni kwetu ilikuwa kila alhamis unapikwa uji Wa mchele na wapishi ni ss wanafinzi
Huu uji Wa mchele mi naupenda sana kwahiyo nilikuwa kila unapopikwa nilipenda niwe mmoja Wa wapishi ili niufaidi vizuri kule kule jikoni
Kingine kipindi cha masika ule muda Wa kuridi mvua ikianza kunyesha ilikuwa bonge LA raaahaaaa tukikuta kidimbwi tu tunakigeuza bwawa aisee basi hapo ni kuogelea na kupiga mbizi kwenye maji ya ugoko
Jioni tunakuwa na kazi ya kuanika daftali kwenye moto
Da, nna mengi ya kuelezea aisee ...
Hahahahahahaah unakuta hata kunawa ulinawa hivo hivo......unakuwa kama vile ulikuwa unatumia kigimbi kama unyayounakuta ugoko unang'aa balaa ukigeuza nyuma ya mguu kwenye kinumbu/kigimbi pamepauka utadhani hujawahi kuoga tangu uzaliwe hahaha
Enzi hazirud kwa kweliRahajeeee.. aiskrimu moja unakatiana na mashoga wenzio watano.
Hahahahaa hapo unajiona mjanja sana, alafu hujulikani.Hahahahahahaah unakuta hata kunawa ulinawa hivo hivo......unakuwa kama vile ulikuwa unatumia kigimbi kama unyayo
Sky upo vzr...thumb up.Tunapasuaga ingawaje kwenye interview wale wa St Joseph na St Mary wanatushinda kwa Kiingilishi, jibu tunalijua lakini ile ze makanizim ni tatizo.
Wachoyo walikuwa wanazitemea mate ili usiwaombe, lkn kuna wagumu hata uteme mate lita kumi ukiwapa wanakula tuRahajeeee.. aiskrimu moja unakatiana na mashoga wenzio watano.
Hapo umetupia kamptula moja ina kiuno size 28 halafu imefungwa na kamba ya kiatu cha mshua umekwapua asubuhiiii.....kiatu hakijui brush...kinajiosha chenyewe kipindi cha mvua....umejipaka mafuta ya rays au yale ya kupikia...unang'aa kama kitumbuaHahahahaa hapo unajiona mjanja sana, alafu hujulikani.