'St. Nyerere’s' 18 political miracles

'St. Nyerere’s' 18 political miracles

Calm down..

Mboni unatype haraka haraka kama umepagawa na pepo? Andika kwa utuo maana kuandika kwa kukosea ni dalili ya kukosa uangalifu kwenye mambo mengi na hata haya yahusuyo imani na kuwashutumu wengine kuwa eti sio kondoo wa Kristu.

Ok, kukufahamisha .ni hivi..sitorespond maelezo ya website, maana website ni one -way communication..hapa tunajadili..inaletwa hoja ..inajadiliwa ..thats how we are supposed to make an understanding..Kwa misingi hiyo basi any sane man hawezi aka-throw li-website usoni kwa mwingine na kutegemea mjadala uanzie hapo..

Nasikitika kuwa sitoweza kujadiliana kwa staili hiyo.

Mmh...!Jamaa amesheheni chuki hadi basi!Hayo yapo mtandaoni tena mabaya zaidi ya hayo against RC.Na hiyo ni one's own perspective!
Bado hajakuletea hoja Bw.Abdulhalim.....
Pia naomba kukukumbusha kuwa hajakwambia anasali wapi!

Zidi kumjuza huyo ndugu yetu.
 
Nadhani hapa swali lako lilikuwa limelenga kwenye misingi ya suala zima la kuwaomba watakatifu. Kama hivyo ndivyo..logic itatupeleka kuhoji je kuomba ni dhambi? Je ktk maisha; tunaomba vingapi? Tunaomba mara ngapi? Tunaomba kwa nani? etc

Hoja hapa ni kuwa kimsingi kuomba si kosa (yaani kitendo chenyewe hakina matatizo) na ktk maisha ya kila siku tunaomba vitu na mambo tofauti kutoka kwa watu na Mungu; na tutaendelea kuomba mpaka siku kila mmoja wetu atakapoaga dunia ..kuomba ni kibinadamu maana kila mmoja wetu ana mahitaji yake ambayo kwa namna moja au nyingine huhitaji kusaidiwa. Hivyo suala la kuomba ni jema na si dhambi, na kama kuomba ni dhambi basi at least kila mmoja wetu anastahili kwenda jehanamu ya moto. ....hilo la kwanza.

Matatizo niyaonayo ktk kuomba ni kama ifuatavyo:
1. Kuomba vitu au mambo yasiyo ya heri.
2. Kuomba kwa kukufuru Mungu.
3. Kuomba bila heshima kwa yule anayeomba kwa anayeombwa.

Sasa ku-narrow down discussion ingefaa na wewe uongezee kwenye huu mjadala kwa kujibu swali lifuatalo:

Kuomba watakatifu kuna ubaya gani.?

Wakatabahu

Tatizo lako bwana Abdulhalim yote unayoongea hapa ni mawazo yako binafsi jinsi unavyofikiria wewe na si kama maandiko yasemavyo. Kwanza nikukumbushe kwamba kusema Biblia ni subset kwa Wakatoliki is blaspheming and is satanic I can dare to say so. It is only GOD who can say that way.

Kumbuka katika huduma ya YESU kila mahali alipoulizwa maswali ya kimitego alijibu kwa maandiko, na yale ambayo hakutumia maandiko aliyajibu kama MUNGU. Na YESU anasema MUNGU wa kweli ni MUNGU wa waliohai si MUNGU wa wafu. (Luka20:38), wafu hawana sehemu ya jambo lolote linalofanyika chini ya Jua (Mhubiri 9:5-6)

Mhubiri 9 (Ecclesiastes 9)

5For the living know that they will die, but the dead know nothing; and they have no more reward [here], for the memory of them is forgotten.

6Their love and their hatred and their envy have already perished; neither have they any more a share in anything that is done under the sun.

Kama Biblia si kila kitu kwenu ina maana kesho papa akilala akaamuka akasema jambo lolote mnatii tu kwasababu hamuwezi kulipima jambo hilo kimaandiko kwasababu Biblia kwenu si chochote si lolote na hii ndo loophole ya satanism in the Catholic church.

Haya endelea kuleta majibu ya hoja zingine.
 
Kumbuka katika huduma ya YESU kila mahali alipoulizwa maswali ya kimitego alijibu kwa maandiko, na yale ambayo hakutumia maandiko aliyajibu kama MUNGU. Na YESU anasema MUNGU wa kweli ni MUNGU wa waliohai si MUNGU wa wafu. (Luka20:3, wafu hawana sehemu ya jambo lolote linalofanyika chini ya Jua (Mhubiri 9:5-6)

Mhubiri 9 (Ecclesiastes 9)

5For the living know that they will die, but the dead know nothing; and they have no more reward [here], for the memory of them is forgotten.

6Their love and their hatred and their envy have already perished; neither have they any more a share in anything that is done under the sun.

Kama Biblia si kila kitu kwenu ina maana kesho papa akilala akaamuka akasema jambo lolote mnatii tu kwasababu hamuwezi kulipima jambo hilo kimaandiko kwasababu Biblia kwenu si chochote si lolote na hii ndo loophole ya satanism in the Catholic church.

Haya endelea kuleta majibu ya hoja zingine.
Duh! siye yetu macho, kumbe.... Mary alikuwa na mtoto mwingine zaidi ya Yesu!!! Mh!
  • Matthew 13:55-56[FONT=Times,Times New Roman]"Is not this the carpenter’s son? Is not His mother called Mary, and His brothers, James and Joseph and Simon and Judas? 56 "And His sisters, are they not all with us? Where then did this man get all these things?" 57 And they took offense at Him. But Jesus said to them, [/FONT][FONT=Times,Times New Roman]"A prophet is not without honor except in his home town, and in his own household." [/FONT][FONT=Times,Times New Roman][/FONT][FONT=Times,Times New Roman]
  • Mark 6:3 "Is not this the carpenter, the son of Mary, and brother of James, and Joses, and Judas, and Simon? Are not His sisters here with us?" And they took offense at Him. 4 And Jesus said to them,[/FONT][FONT=Times,Times New Roman]"A prophet is not without honor except in his home town and among his own relatives and in his own household.[/FONT]"
Lakini catechism, niliyokuwa nao mimi inasema kuwa...
"The Church has always understood these passages as not referring to other children of the Virgin Mary. In fact James and Joseph, 'brothers of Jesus,' are the sons of another Mary, a disciple of Christ..." Pg. 112 #500).

Ndio maana jamaa anasisitiza kuwa kanisa catholic hawategemei sana bibilia. Na ni kweli kwani catechism ndio Apostolic Constitution yao.

wenyewe hiyo ndio Fidei depositum ndio Apostolic constitution of the Catholic Church which ambayo inaelezea kuwa Catechism of the Catholic Church is the official exposition of the teachings of the Catholic Church.

Nakala ya kwenye mtando ni hii hapa:
Catechism of Roman Catholic Church
 
Duh! siye yetu macho, kumbe.... Mary alikuwa na mtoto mwingine zaidi ya Yesu!!! Mh!

  • Matthew 13:55-56[FONT=Times,Times New Roman]"Is not this the carpenter’s son? Is not His mother called Mary, and His brothers, James and Joseph and Simon and Judas? 56 "And His sisters, are they not all with us? Where then did this man get all these things?" 57 And they took offense at Him. But Jesus said to them, [/FONT][FONT=Times,Times New Roman]"A prophet is not without honor except in his home town, and in his own household." [/FONT][FONT=Times,Times New Roman]
  • Mark 6:3 "Is not this the carpenter, the son of Mary, and brother of James, and Joses, and Judas, and Simon? Are not His sisters here with us?" And they took offense at Him. 4 And Jesus said to them,[/FONT][FONT=Times,Times New Roman]"A prophet is not without honor except in his home town and among his own relatives and in his own household.[/FONT]"
Lakini catechism, niliyokuwa nao mimi inasema kuwa...
"The Church has always understood these passages as not referring to other children of the Virgin Mary. In fact James and Joseph, 'brothers of Jesus,' are the sons of another Mary, a disciple of Christ..." Pg. 112 #500).

Ndio maana jamaa anasisitiza kuwa kanisa catholic hawategemei sana bibilia. Na ni kweli kwani catechism ndio Apostolic Constitution yao.

wenyewe hiyo ndio Fidei depositum ndio Apostolic constitution of the Catholic Church which ambayo inaelezea kuwa Catechism of the Catholic Church is the official exposition of the teachings of the Catholic Church.

Nakala ya kwenye mtando ni hii hapa:
Catechism of Roman Catholic Church

X-Paster,
Asante kwa mchango wako naona na wewe umekuja kutusaidia huku.
Hawa Wakatoliki ni sawasawa tu na ninyi waislamu wamedanganywa waziwazi ya kuwa Bikra Maria hakuzaa watoto wengine wakati Biblia iko wazi kabisa inataja watoto waliozaliwa na Maria kama ulivyonukuu hapo juu. Vatican wamejitahidi sana kuhakikisha kuwa jamaa hawaisomi Biblia ili wasiujue ukweli. Na wanaojua ukweli wanakimbia mara moja, isipokuwa wale wanaonufaika na huo uongo. Martin Luther baada ya kuibamba Biblia iliyokuwa imefichwa kwenye maktaba akaisoma na akaamua kuachana na ukatoliki hapo hapo. Jamaa walimtafuta kumuua lakini MUNGU alimhifadhi.

Katika Ukatoliki Bikira Maria ana nguvu kuliko hata YESU akipewa heshima eti ni mama wa MUNGU. Ukiwauliza wanakwambia kwani mama na mtoto nani zaidi? Na Bikira Maria ndo chanzo cha kusali kwa kupitia rosali sawa na Mohamedi alivvyosema qurani imeshushwa kwake. Kwahiyo Ukatoliki na Uislamu ni sawa na mapacha, huyu akitumia rozali mwingine akitumia (nimesahau jina lake kile wanachotumia waislamu mtanisaidia).

Ndugu zetu bado hamjachelewa mlango u-wazi BWANA YESU anawaita mje kwake nanyi mtapokea uzima wa milele.
 
Mazingira nahisi kuwa kuna mambo yapo nje ya huwezo wako wa kufikiria.

Uislam na ukatoliki wapi na wapi ndugu...!

Mimi ni mwanafunzi wa comparative Religion kwa hali hiyo najuwa nini nafanya, na nafahamu nini unaabudu na hao wakatoliki nini wanaabudu.

Wakati mwingi huwa nabakia kutabasamu sana kwa jamaa zangu hapa wanapong'ang'ania mambo na kukataa kujibu hoja kwa kuyumbisha mijadala na kujitia ujuwaji wa hapa na pale, lakini ni watupu... Ila sishangai ukiwa wewe ni mmoja wapo.

Open your mind, soma kisha tafakari, ikiwezekana muombe M'Mungu akuangazie ili ujuwe kweli ipo wapi.

Kujitia ushupavu wa kujiona kuwa wewe ndio bora zaidi ya wengine matokeo yake utawakejeli wenzio, na amani itatokea dirishani.

Tunafundishwa hivi:

Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anaye mjua zaidi aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka...

Shukran
 
Last edited:
Tatizo lako bwana Abdulhalim yote unayoongea hapa ni mawazo yako binafsi jinsi unavyofikiria wewe na si kama maandiko yasemavyo. Kwanza nikukumbushe kwamba kusema Biblia ni subset kwa Wakatoliki is blaspheming and is satanic I can dare to say so. It is only GOD who can say that way.

Unasema ninayoongea ni mawazo yangu binafsi? Yes ni mawazo yangu kwa mujibu wa facts nilizoziweka..inaonekana huu mjadala utakushinda ndg. Nimetoa maelezo in simplest and shortest form kuhusu kuomba ktk ku-respond kwenye hoja yako. Sasa kama kuna mahali kuna tatizo tuanzie kwenye majibu niliypkwisha leta ..kuanza kurejea tena kwenye maelezo ya jumla hakutasaidia kitu hapa.Hoja kuhusu maandiko nimeshafafanua zaidi ya mara nne lakini inaonekana kichwa chako hakitaki kupokea maarifat..sasa hilo sio kosa langu vumilia hivyohivyo tutafika tu. Kuitana majina na kuitana shetani ni kujichumia dhambi tu..ujumbe nadhani upo loud and clear kama una masikio utakuwa umeshasikia na kama una akili ilio safi utakuwa umeshaelewa.

Kumbuka katika huduma ya YESU kila mahali alipoulizwa maswali ya kimitego alijibu kwa maandiko, na yale ambayo hakutumia maandiko aliyajibu kama MUNGU. Na YESU anasema MUNGU wa kweli ni MUNGU wa waliohai si MUNGU wa wafu. (Luka20:38), wafu hawana sehemu ya jambo lolote linalofanyika chini ya Jua (Mhubiri 9:5-6)

Mhubiri 9 (Ecclesiastes 9)

5For the living know that they will die, but the dead know nothing; and they have no more reward [here], for the memory of them is forgotten.

6Their love and their hatred and their envy have already perished; neither have they any more a share in anything that is done under the sun.

Kama Biblia si kila kitu kwenu ina maana kesho papa akilala akaamuka akasema jambo lolote mnatii tu kwasababu hamuwezi kulipima jambo hilo kimaandiko kwasababu Biblia kwenu si chochote si lolote na hii ndo loophole ya satanism in the Catholic church.

Haya endelea kuleta majibu ya hoja zingine.

Kuhusu Yesu sijaona hoja ya kujibu maana umeshajijibu mwenyewe. Kuhusu hiyo passage ya Mhubiri pia umejipatia jibu mujarabu wewe mwenyewe ila tu umeshindwa kuling'amua hilo. Mhubiri anaposema Bwana Mungu ni Mungu wa walio hai hana maana ya mtu alikufa kimwili..Mungu ni Mungu wa walio hai Kiroho ..Na ndio maana Mungu alipomtokea Musa alisema nanukuu :

Kutoka 3:6 inasema:- Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu..

Ibrahimu, Isaka na Yakobo..hawa walikwisha kuondolewa duniani kitambo kabla ya kipindi cha kutokewa Musa. Walikufa kimwili na sio kiroho. Kwa hiyo mtu aliyekufa kimwili lakini yu hai kiroho, ndio mwanzo wa concept nzima ya watakatifu tunaowaheshimu ndani ya Kanisa Katoliki..

Tungetumia tasfeer yako potofu ya andiko la Mhubiri ina maana hii passage ya kutokewa kwa Musa kule mlimani Sinai ingekuwa inai-contradict ile passage nyingine. Hivyo basi ndugu, kabla ya kurusha shutuma na kuwaita wenzako wanaoamini ktk Utatu, wanaoamini ktk Sadaka ya Yesu Msalabani, wanaoamini ktk Umungu wa Yesu kuwa ni wafuasi wa Shetani utafanya la maana ukitanguliza busara na kuwapa benefit of doubt kabla hujajichumia dhambi za rejereja.

Natumaini utauzingatia ushauri niliokupatia.
 
Duh! siye yetu macho, kumbe.... Mary alikuwa na mtoto mwingine zaidi ya Yesu!!! Mh!

  • Matthew 13:55-56[FONT=Times,Times New Roman]"Is not this the carpenter's son? Is not His mother called Mary, and His brothers, James and Joseph and Simon and Judas? 56 "And His sisters, are they not all with us? Where then did this man get all these things?" 57 And they took offense at Him. But Jesus said to them, [/FONT][FONT=Times,Times New Roman]"A prophet is not without honor except in his home town, and in his own household." [/FONT][FONT=Times,Times New Roman][/FONT][FONT=Times,Times New Roman]
  • Mark 6:3 "Is not this the carpenter, the son of Mary, and brother of James, and Joses, and Judas, and Simon? Are not His sisters here with us?" And they took offense at Him. 4 And Jesus said to them,[/FONT][FONT=Times,Times New Roman]"A prophet is not without honor except in his home town and among his own relatives and in his own household.[/FONT]"
Lakini catechism, niliyokuwa nao mimi inasema kuwa...
"The Church has always understood these passages as not referring to other children of the Virgin Mary. In fact James and Joseph, 'brothers of Jesus,' are the sons of another Mary, a disciple of Christ..." Pg. 112 #500).

Ndio maana jamaa anasisitiza kuwa kanisa catholic hawategemei sana bibilia. Na ni kweli kwani catechism ndio Apostolic Constitution yao.

wenyewe hiyo ndio Fidei depositum ndio Apostolic constitution of the Catholic Church which ambayo inaelezea kuwa Catechism of the Catholic Church is the official exposition of the teachings of the Catholic Church.

Nakala ya kwenye mtando ni hii hapa:
Catechism of Roman Catholic Church

Bua ha ha ..

Ndg Paster kumbe sometimes huwa una paste vitu vizuri kimtindo.. Keep it up.!
 
X-Paster,
Asante kwa mchango wako naona na wewe umekuja kutusaidia huku.
Hawa Wakatoliki ni sawasawa tu na ninyi waislamu wamedanganywa waziwazi ya kuwa Bikra Maria hakuzaa watoto wengine wakati Biblia iko wazi kabisa inataja watoto waliozaliwa na Maria kama ulivyonukuu hapo juu. Vatican wamejitahidi sana kuhakikisha kuwa jamaa hawaisomi Biblia ili wasiujue ukweli. Na wanaojua ukweli wanakimbia mara moja, isipokuwa wale wanaonufaika na huo uongo. Martin Luther baada ya kuibamba Biblia iliyokuwa imefichwa kwenye maktaba akaisoma na akaamua kuachana na ukatoliki hapo hapo. Jamaa walimtafuta kumuua lakini MUNGU alimhifadhi.

Katika Ukatoliki Bikira Maria ana nguvu kuliko hata YESU akipewa heshima eti ni mama wa MUNGU. Ukiwauliza wanakwambia kwani mama na mtoto nani zaidi? Na Bikira Maria ndo chanzo cha kusali kwa kupitia rosali sawa na Mohamedi alivvyosema qurani imeshushwa kwake. Kwahiyo Ukatoliki na Uislamu ni sawa na mapacha, huyu akitumia rozali mwingine akitumia (nimesahau jina lake kile wanachotumia waislamu mtanisaidia).

Ndugu zetu bado hamjachelewa mlango u-wazi BWANA YESU anawaita mje kwake nanyi mtapokea uzima wa milele.

Ndg Mazingira,

Sometimes huwa napata shida kuelewa kama unachosema unakijua au unadhania huu ni mjadala wa kisiasa na kutumbukiza cheap shots, nyingine zikiwa ni za kijinga kabisa!

Zifuatazo ni hoja za kijinga ulizozidhihirisha kwenye hii post yako moja, achilia mbali ujinga mwingine nilioustahi kwenye posts zingine.

Mosi, Hoja yako kuhusu Mariamu kuzaa watoto wengine imejibiwa partly kwenye hiyohiyo post uliokuwa umeinukuu..Sasa jukumu ni lako kujifunza zaidi kuhusu hii habari na sio kuleta conclusion zako ulizokaririshwa.

Pili unasema Martin Luther aligundua 'Bible iliyofichwa'. I bet wewe ni mwongo au unaleta stori za vijiweni. Inaonekana una limitation kubwa sana ya elimu ya historia ya kanisa ..sasa siwezi kudiscuss zaidi cheap shots kama hizi maana itakuwa ni ku-insult intelligence yangu.

Tatu, unasema Wakatoliki wanaamini kuwa Mariamu ana nguvu kuliko Yesu. Hii inaonesha unatanguliza chuki au ni kuwa influenced na hadith za vijiweni. Wakatoliki wote tunajua Yesu ni Mungu, sehemu ya UTATU MTAKATIFU na Mariamu ni MJA TU. Sasa usiendelee kuji-embarass ..maana ukiendelea kwa spidi hiyo nadhani wengi wetu tutadhania umetoroka Mirembe!
 
Huwa nasema siku zote na huu ni wito kwa kila mmoja, tuache kukopi na kurithi vitu tusivyovijua, kinachofuata ni hasira, matusi, kwani hujui umesimama wapi, wenzako wakisema hapo ulipo pananuka nilishwahi kukaa hutaki! wakisema uchafu huu hapa, unakasirika, still uchafu na ukweli huko pale pale.

Hawa viongozi mafisadi wote wanatoka dini zetu hizi hizi, wengi ni wanafiki hawafuati biblia(wakristo), quran(waislamu) , misale ya waumini na biblia ya kikatoliki(wakatoliki) haya makundi matatu wafuasi wao wengi hawajui wanaabudu nini, ili mradi nimezaliwa humo!

Mtu anajiita mkristo biblia hasomi, leo mnampa uongozi, anaapa kwa kutumia biblia asiyoifuata! mnategema nini hapo??
 
Ndg Mazingira,

Sometimes huwa napata shida kuelewa kama unachosema unakijua au unadhania huu ni mjadala wa kisiasa na kutumbukiza cheap shots, nyingine zikiwa ni za kijinga kabisa!

Zifuatazo ni hoja za kijinga ulizozidhihirisha kwenye hii post yako moja, achilia mbali ujinga mwingine nilioustahi kwenye posts zingine.

Mosi, Hoja yako kuhusu Mariamu kuzaa watoto wengine imejibiwa partly kwenye hiyohiyo post uliokuwa umeinukuu..Sasa jukumu ni lako kujifunza zaidi kuhusu hii habari na sio kuleta conclusion zako ulizokaririshwa.

Pili unasema Martin Luther aligundua 'Bible iliyofichwa'. I bet wewe ni mwongo au unaleta stori za vijiweni. Inaonekana una limitation kubwa sana ya elimu ya historia ya kanisa ..sasa siwezi kudiscuss zaidi cheap shots kama hizi maana itakuwa ni ku-insult intelligence yangu.

Tatu, unasema Wakatoliki wanaamini kuwa Mariamu ana nguvu kuliko Yesu. Hii inaonesha unatanguliza chuki au ni kuwa influenced na hadith za vijiweni. Wakatoliki wote tunajua Yesu ni Mungu, sehemu ya UTATU MTAKATIFU na Mariamu ni MJA TU. Sasa usiendelee kuji-embarass ..maana ukiendelea kwa spidi hiyo nadhani wengi wetu tutadhania umetoroka Mirembe!

Abdulhalim,
Haya nitajibu baadae endelea kutoa majibu ya zile hoja zingine kwenye post # 73.
 
MOSI, SIDHANI kama yote yanahitaji majibu mazee. Mengine ni ya kuelewa tu na ku-move on.

PILI, nitajibu maswali yako kwa nafasi yangu, maana hapa silipwi na wala hatuwezi kuwekeana timelines ..Nafanya yote haya kwa utumishi tu kwa kujinyenyekeza kubeba mizigo ya watu kama wewe, hata pale mnapoonesha ukaidi na lugha za kuitana ushetani..Hivyo bana relax wakati tunaendelea kujuzana..hakuna la haraka hapa...kama una haraka hire services za professional church doctors.
 
Unasema ninayoongea ni mawazo yangu binafsi? Yes ni mawazo yangu kwa mujibu wa facts nilizoziweka..inaonekana huu mjadala utakushinda ndg. Nimetoa maelezo in simplest and shortest form kuhusu kuomba ktk ku-respond kwenye hoja yako. Sasa kama kuna mahali kuna tatizo tuanzie kwenye majibu niliypkwisha leta ..kuanza kurejea tena kwenye maelezo ya jumla hakutasaidia kitu hapa.Hoja kuhusu maandiko nimeshafafanua zaidi ya mara nne lakini inaonekana kichwa chako hakitaki kupokea maarifat..sasa hilo sio kosa langu vumilia hivyohivyo tutafika tu. Kuitana majina na kuitana shetani ni kujichumia dhambi tu..ujumbe nadhani upo loud and clear kama una masikio utakuwa umeshasikia na kama una akili ilio safi utakuwa umeshaelewa.

Kuhusu Yesu sijaona hoja ya kujibu maana umeshajijibu mwenyewe. Kuhusu hiyo passage ya Mhubiri pia umejipatia jibu mujarabu wewe mwenyewe ila tu umeshindwa kuling'amua hilo. Mhubiri anaposema Bwana Mungu ni Mungu wa walio hai hana maana ya mtu alikufa kimwili..Mungu ni Mungu wa walio hai Kiroho ..Na ndio maana Mungu alipomtokea Musa alisema nanukuu :

Kutoka 3:6 inasema:- Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu..

Ibrahimu, Isaka na Yakobo..hawa walikwisha kuondolewa duniani kitambo kabla ya kipindi cha kutokewa Musa. Walikufa kimwili na sio kiroho. Kwa hiyo mtu aliyekufa kimwili lakini yu hai kiroho, ndio mwanzo wa concept nzima ya watakatifu tunaowaheshimu ndani ya Kanisa Katoliki..

Tungetumia tasfeer yako potofu ya andiko la Mhubiri ina maana hii passage ya kutokewa kwa Musa kule mlimani Sinai ingekuwa inai-contradict ile passage nyingine. Hivyo basi ndugu, kabla ya kurusha shutuma na kuwaita wenzako wanaoamini ktk Utatu, wanaoamini ktk Sadaka ya Yesu Msalabani, wanaoamini ktk Umungu wa Yesu kuwa ni wafuasi wa Shetani utafanya la maana ukitanguliza busara na kuwapa benefit of doubt kabla hujajichumia dhambi za rejereja.

Natumaini utauzingatia ushauri niliokupatia.

Ndugu Abdulhalim(huu ni ushauri tu),jamaa hatokuelewa kamwe for sure,upeo ni mdogo mno kuweza kukuele zaidi ya kutoa kashfa na kujichumia dhambi bure! Mi nilidhani angesema kuwa angetuombea Wakatoliki kwakuwa tumepotea badala yake anacondemn,sidhani kama Mungu anafurahia roho yoyote kupotea.Nilidhani angekuweka ktk maombi yake ili na wewe (japo hujapotea) kama umepotea basi ururudi kwenye mstari ujoin anapoabudu ila duh.....!lol.....sipati picha kama angekuwa kapewa fungua ya St Peter....sidhani kama kuna RC yeyote angetia timu kwenye uzima...teh teh teh
Concept nzito hizo kamwe hamtaelewana,na hayupo tayari kuelewa bali kukashifu tu bila kuwa na points za maana zaidi ya hadithi za vijiweni na mambo waliyokaririshwa na wachungaji wao!!
Unyenyekevu zero !
 
Ni kweli ndugu yangu..

Watu wengine wanazipenda dini zao kiasi cha kutenda dhambi kitaalamu hii inaitwa overzealotry.. Ni kweli hawa ndugu wawili wanaoongoza kukinzana na ukatoliki nilishawabaini kitambo kuwa hawapo hapa kupata elimu bali kubishana na kukataa kila nitakachosema...Wao walidhani wanayo theory of everything kumbe wamefunua kitabu na kugundua lugha wasiyoielewa sasa wanabaki kutapatapa na kila jibu utakalowapa wata-recycle hoja ambayo imekwisha jibiwa.

Taratibu tu tutaafikiana nani amepotoka maana kila kitu kitaachwa wazi, mwenye kuchagua kuelewa ataelewa asiyetaka shauri lake.
 
You know my teacher told me, 40 people they can say 1+1=3, and only who says 1+1=2 s/he can loose. However how many people are to our knowledge and belief.Facts remains facts.

You have said facts; they too know that, wasiojua ukweli huwa sikuzote watabisha hata kutukana.Tunapoeleza ukweli hata ule wa ndani wengi hawataki kuusikiliza kwani bongo zao zimeshajaa yale wanayoyaamini!

Kanisa katoliki is against bible in many ways! we can discuss one by one still some people somewhere wont belive it.

The church that killed christian who were spreading the gospel is catholic, this history is undeniable! when are taliking about ant-christ they all goes to RC! idol worship etc!

Is good religion though, is good organisation, but bible is not their book! is not centre of their belief.

Haiingii akilini kung'ang'ania kusema tunaamini bible usiyoifuata, kila kitu kina maelezo yake!!!!

Deep down their is no difference between RC and Muslim, yo can see how they relate in many ways , simply their 'father' is the same.

I can testify in many ways that RC and Muslim are not God's. However I can testify in many churches they are not different from them as per God's standard

we need to deeply know the origin of this religions, utajikuta kila siku mtu wa kupanic na kukasirika watu wanapoanza kuanika ukweli!

ukiujua ukweli na ukaamua kuufuata is even better, lakini naona wengi hapa wameshiba na umbumbumbu wakuamini wasichokijua! kuna ukweli unaoweza kukufanya ukawachukia wazazi wako. Maana what is going on ni kuwa maadam nimezaliwa kwenye familia ya kikristo basi ni mkristo , ungezaliwa mwislam je?? kuna ujasiri gani wa kusemana pasi wote hamjui mnaabudu nini na kwa basis gani.Na hii imewafanya waafrka wengi kuwa wanafaiki wa kutofuata wanayoyaamini!

JK Nyerere, atakuwa tu mtakatifu kwa mujibu wa RC and this does not relate to God's ways of judgement.

His ways are not our ways Isaiah 55:6-11

Siyo kweli hata kidogo. Sema Kanisa Katoliki limewazidi kwa mema mengi na mnaliona wivu, chuki, nk. Hamtaliweza hata mseme nini! Hilo linapeta! By the way, what are those God's ways of judgement that are hidden to Christians and only revealed to you? Je, wanaovaa mabomu na kuua 'innocent people' Uarabuni ni Wakatoliki?
 
Nahisi kama mahindi bisi yamekwisha...! 🙄

Yaani wameelemewa kiasi hata ukweli hawahuoni... lol!
 
Mmh! ndio maana pope akaenda kuwaomba radhi waaanga, walio athirika kwa njia moja ama nyingine... na wale wanao endelea kuathirika kila kukicha wataendelea kupata hayo mazuri yanayofanywa kila kukicha na hao wanao jiona kuwa ni wateule...!

Nashindwa kuelewa wakristu wa kimarekani wameenda kufanya nini uko arabuni kiasi ya kwamba wanaripuliwa.
 
Nahisi kama mahindi bisi yamekwisha...! 🙄

Yaani wameelemewa kiasi hata ukweli hawahuoni... lol!

Ndugu yangu X-Paster,nani hao wameelemewa kiasi hata ukweli hawauni?
Mana sijakupata hapo,mana zipe pande mbili tukicharibu kuelimishana.
Nashukuru.
 
Mazingira nahisi kuwa kuna mambo yapo nje ya huwezo wako wa kufikiria.

Uislam na ukatoliki wapi na wapi ndugu...!

Mimi ni mwanafunzi wa comparative Religion kwa hali hiyo najuwa nini nafanya, na nafahamu nini unaabudu na hao wakatoliki nini wanaabudu.

Wakati mwingi huwa nabakia kutabasamu sana kwa jamaa zangu hapa wanapong'ang'ania mambo na kukataa kujibu hoja kwa kuyumbisha mijadala na kujitia ujuwaji wa hapa na pale, lakini ni watupu... Ila sishangai ukiwa wewe ni mmoja wapo.

Open your mind, soma kisha tafakari, ikiwezekana muombe M'Mungu akuangazie ili ujuwe kweli ipo wapi.

Kujitia ushupavu wa kujiona kuwa wewe ndio bora zaidi ya wengine matokeo yake utawakejeli wenzio, na amani itatokea dirishani.

Tunafundishwa hivi:

Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anaye mjua zaidi aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka...

Shukran

Dah....hayo maandishi ya 'bold' umemjibu vizuri kweli huyo ndugu aliyekosa unyenyekevu japo kiduchu tu.Nimeyapenda sana ndg X-Paster hayo maneno !
 
I am not a Catholic. But I thought the miracles that make a person blessed and later a saint, happen after he has died.

If one starts counting the good things that Nyerere did for Tanzania etc. one has to count the mistakes committed too. I thought this country is this poor partly because of Nyerere's mistakes.

May the Almighty God rest his soul in eternal peace. Amen!
 
Abdulhalim,
Mbona umepakimbia hapa? Nasubiri majibu yako ya post # 73.
 
Back
Top Bottom