Kalunguyeye
Member
- Jan 30, 2009
- 49
- 0
Calm down..
Mboni unatype haraka haraka kama umepagawa na pepo? Andika kwa utuo maana kuandika kwa kukosea ni dalili ya kukosa uangalifu kwenye mambo mengi na hata haya yahusuyo imani na kuwashutumu wengine kuwa eti sio kondoo wa Kristu.
Ok, kukufahamisha .ni hivi..sitorespond maelezo ya website, maana website ni one -way communication..hapa tunajadili..inaletwa hoja ..inajadiliwa ..thats how we are supposed to make an understanding..Kwa misingi hiyo basi any sane man hawezi aka-throw li-website usoni kwa mwingine na kutegemea mjadala uanzie hapo..
Nasikitika kuwa sitoweza kujadiliana kwa staili hiyo.
Mmh...!Jamaa amesheheni chuki hadi basi!Hayo yapo mtandaoni tena mabaya zaidi ya hayo against RC.Na hiyo ni one's own perspective!
Bado hajakuletea hoja Bw.Abdulhalim.....
Pia naomba kukukumbusha kuwa hajakwambia anasali wapi!
Zidi kumjuza huyo ndugu yetu.