Halafu waandishi wetu wa habari ni hovyo kabisa...baada ya kuandika habari za kuhamisha ushindi na tahadhari wao wanaandika habari kishabiki...yaani habari za mipasho...Eti gazeti kubwa la michezo linaandika habari kishabiki...SIMBA YAFANYA KUFURU KONGO, yapangua hujuma...uandishi wa aina hii ni wa kitoto kabisa...baadala ya gazeti kuandika kwa uchambuzi na kutoa tahadhari eti wenyewe wanaandika habari za kufagilia...in fact maazeti ya Tanzania yana mchango mkubwa katika kuzorotesha na kuathiri maendeleo ya soka nchini mwetu...ovyo sana...baadala ya kuandika habari kuhusu technicalities na tactics za timu pinzani uwanjani eti wao wanaandika habari kishabiki na kwa lengo la kuuza magazeti...ovyo kabisa...