Enzi ya kushusha presha na Pepsi πΉπΉUnanikumbusha mbali sasaiv imepoa sana Lamomy kaokoka π
Njoo πEnzi ya kushusha presha na Pepsi πΉπΉ
Dah.! Ila kweli nimekua ss hivi mpk kina secretarybird wananitania nacheka siwachachui π€£
Ushatoka kifungoni we mbuni wa kijani πΉNjoo π
Sasaiv tutaishusha na kahawa sikuiz ukiingia selfika comment chache mno ban zilikuwa zinatembea duhEnzi ya kushusha presha na Pepsi πΉπΉ
Dah.! Ila kweli nimekua ss hivi mpk kina secretarybird wananitania nacheka siwachachui π€£
Ulijuaje kama wewe siyo mod π€£Ushatoka kifungoni we mbuni wa kijani πΉ
Kujishauri nafikiri ndio sahihi.Anajivuta kupokea cm
SawaKujishauri nafikiri ndio sahihi.
Tumia kitufe cha kuripoti tuone hayo matusi
Unaweza Kuta karipoti mara kibao ila hamjalifanyia kazi kuweni sana makini pindi tunapo ripoti ili mpate taarifa kwa wakati maana hata Mimi huwa naripoti haifanyiwi kazi mpaka niwafate pm badilikeni ndugu zanguTumia kitufe cha kuripoti tuone hayo matusi
Khaaa! Kumbe unaendaga hadi pm kuchongeaπ€£Unaweza Kuta karipoti mara kibao ila hamjalifanyia kazi kuweni sana makini pindi tunapo ripoti ili mpate taarifa kwa wakati maana hata Mimi huwa naripoti haifanyiwi kazi mpaka niwafate pm badilikeni ndugu zangu
Sio pm tu hata ofisini kwao naenda paleKhaaa! Kumbe unaendaga hadi pm kuchongeaπ€£
πππππ€£Sio pm tu hata ofisini kwao naenda pale
Mtego, kuna fisi zinaenda kupigwa ban baada ya kuzama pm kwa pupa hapaCookie inaonekana ni mrembo sana.
Hakuna reported post ambayo haifanyiwi kazi.Unaweza Kuta karipoti mara kibao ila hamjalifanyia kazi kuweni sana makini pindi tunapo ripoti ili mpate taarifa kwa wakati maana hata Mimi huwa naripoti haifanyiwi kazi mpaka niwafate pm badilikeni ndugu zangu
ππππHakuna reported post ambayo haifanyiwi kazi.
Siwapendi woteStaff members wanapiga kazi kubwa sana, leo nimejisikia tu kuwapostπ.
Tag staff member wako mmoja unaemkubali sana, hata kama ashawahi kukufutia uzi au kukulamba block/ban then ukamjua we mtaje tu maana sisi wote ni people.
View attachment 3226026
View attachment 3226027
View attachment 3226028
View attachment 3226029