Stamina ft Atan-ASIWAZE "Not true story changa la macho in business wise"

Stamina ft Atan-ASIWAZE "Not true story changa la macho in business wise"

Ni aibu mwanaume kuzungumzia maswala ya ndoa,mitandaoni kama mmeachana sema kwa ufupi tu tumeachana basi,mengine hayawahusu
mwamba lilimkaa sana rohoni na njia ya yeye kupata ahueni nikulizungumza, kila mtu ana aina yake ya kutoa kitu rohoni ili apate nafuu
 
Jana aliitwa clouds hakwenda akapigiwa roma akasema huo wimbo kaimba kitu kilichomtokea kweli,Na roma akasikitika sana maana ndoa ya stamina aliisimamia yeye pamoja na mkewe anasema imemtia doa maana ni ndoa yake ya kwanza kuisimamia inapovunjika inaonekana yeye kama msimamizi kashindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa
 
Jokajeusi,
Nimeambiwa sijafichwa lolote ndio maana sifichi nasema kuwa ni mmbaya au mfupi.
Je nikikuambia wewe unasura mbaya wala huvutii unamademu wenye sura mbaya unajisifu ila zero wewe ni marioo .
Unasubiri wafu approvide .
Je hiyo wewe inaakaje utapenda sikia jambo mmoja uwenda wewe hujui wenzako tumepiga hatua so kama wewe bado uko huko mwanzo ambapo katoto kazuri ni msichana umedoda katoto kazuri saizi ni mwanamke anayejitambua naukiona nasema jambo lazima niseme kama wewe unakuja kujilipua huku basi utajiju.
Nimemaliza ukiendelea na move on na comment zenye busara .
Unakuwa na mijisifa madharau na kujiona tafuta wanaopenda hivyo vitu sio mimi.
Hao wenye michapo na kila aina ya stress hu mwaka mimi sitaki kero.
@katoto kazuri ulielewa ulikua unamaanisha nini hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vip mkuu mke wa stamina amesharudi kwake maisha yanaendelea? Au bado wanafanya biashara

Au tuendelee kukazia Palepale kua wewe ni Mzee wa maono ya Ovyo Ovyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom