Stamina ft Atan-ASIWAZE "Not true story changa la macho in business wise"

Stamina ft Atan-ASIWAZE "Not true story changa la macho in business wise"

Ni aibu mwanaume kuzungumzia maswala ya ndoa,mitandaoni kama mmeachana sema kwa ufupi tu tumeachana basi,mengine hayawahusu
 
Kwenye music industry kuna mambo mengi. Kuna kipindi Jux na Vanessa kabla hawajaachana kweli ilionekana kama wameachana na kila mmoja akawa anapost kwenye IG a/c yake post za kuonesha kwamba the r /ship doesn't longer exist halafu ghafla wakatokea kwenye fiesta Moro wakaanza kuimbiana na kuombana msamaha kwenye stage. Usanii ni kuishi kimbinu, kutengeneza mazingira yakutrend na kupiga chapaa. Am no sure kama kweli ndoa ya stamina imevunjika. Let's watch and see while we enjoy our popcorns

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah , haya mhh , kumbe stamina ana kiba100 , mpaka ke yake ikaona isiwe issue , ikatafuta na na tango pori moja matata dogo dogo ya kumkuna stejini haahahahahahahah

#puchu+sio+uboho+unakuwa+mdogo+hatari+kama+wa+mtoto+mazee+tuacheni+hii kitu+aseee
 
Samahani kwa mwenye uelewa juu ya hii kitu anifafanulie. Youtube kumlipa mtu mwenye channel kutokana na viewers inawezekanaje na inafanyikaje
nshamckia foby anasema ili kupata hela kupitia YouTube ni lazima u emotize account yako
 
Ni aibu mwanaume kuzungumzia maswala ya ndoa,mitandaoni kama mmeachana sema kwa ufupi tu tumeachana basi,mengine hayawahusu
duku duku linatolewa kwa njia mbali mbali
 
Back
Top Bottom